HABARI YA UKWELI YA MAISHA: Ilikuwaje Mwanamke Huyu Alilazimishwa Kufanya Mapenzi na Mbwa na Farasi (MUHIMU ISOME)


Mwanzoni wakati Internet ilipokuja kwenye jamii ya watu wa Afrika, watu wengi waliifurahia sababu ilisaidia kupunguza msongo wa huduma za mawasiliano dunia nzima, pia iliwezesha kuboreka na kuonekana kwa umuhimu wa mawasiliano kwa ujumla.

Iliwasaidia watu wengi kuweza ku-chat, kutuma mails na hata kusaidia katika shughuli mbalimbali za kibiashara. Na kadiri muda ulivyozidi kwenda wasichana wengi walikuja kugundua wanaweza kuitumia internet kwa ajili ya kuweza kuwapata marafiki wa ku-chat au hata wenza wa maisha.

Baadhi ya wasichana wamefaidika kwa kiasi kikubwa kwa kuitumia internet kuweza kuwapata watu wa kufunga nao ndoa au kuwa nao kimahusiano. Baadhi wameingia kwenye mitego toka kwa watu wa nchi za Magharibi hadi kufikia hatua kujuta kwa nini waliifahamu internet.

Hii hapa ni stori ya kweli inayomuhusisha msichana mmoja Mcameroon aliyefahamika kwa jina Elvire Axelle Tchamakoua.

NA HIVI NDIVYO ILIVYOTOKEA;

Axelle ni kahaba ambaye alikuwa akiuzwa kwa wanaume tofauti tofauti na ambaye awali aliamini ndiyo kila kitu kwake jamaa aliyefahamika kwa jina la Jean Claude (Mfanyabiashara wa Kifaransa). Hakujali kuwahudumia wateja wake kwa huduma za mbele au nyuma. Kwake yeye matumizi ya condom akiwa kazini ilikuwa haijalishi kwa maana iliwezesha yeye na huyo mwanaume wake kuwa wanaingiza hela zaidi. Amekuwa akifanya kazi hii kwa kitambo mpaka akawa ameizoea hali hiyo. Kitu cha kushangaza ni kwamba, Exelle ni msichana mdogo mwenye umri wa miaka 24 na ana cheti cha mafunzo ya mapambo na urembo. Iweje msichana mdogo kwenye umri wake awe na tamaa ya kupata hela za haraka? Ni swali ambalo watu wengi wamekuwa wakiuliza.

Kwa mujibu wa taarifa alikutana na huyo bosi wake, Jean Claude kwenye mtandao mnamo mwezi Oktoba 2011. Walikuwa na chat za kawaida kama ambavyo mtu mwengine yeyote anavyoweza kuwa anachat na mtu asiyemfahamu. Jean Claude alimueleza msichana huyo kwamba yeye ni mfanyabiashara anayeishi Marseille (Ufaransa) na ni mtu wa biashara za kuingia na kutoka. Axelle ambaye alifikiri kwamba amepata mwanaume wa maisha yake aliendeleza mawasiliano na Jean Claude Fayard na ilipofika mwezi Machi 2012 jamaa alikwenda kumtembelea msichna huyo kwao Cameroon. Kulikuwa na sherehe kubwa kwenye makazi ya shangazi yake Axelle yaliyopo Santa Barbara ndani ya jiji la Yaounde. Siku mbili tu alizokaa Cameroon, Jean Claude akamchumbia Axelle na kumuoa kwa ndoa ya asili na ya Kanisani. Ndoa zilifanyika tarehe 18 na 20 ya mwezi Machi 2012.

Jean Claude alifanya maandilizi yote ya safari kisha wote wawili wakasafirina kwenda Ufaransa tarehe 21 Machi mwaka huo huo. Jamaa pia aliwapa familia ya Axelle hela ya kutosha kwa ajili ya kujikimu. Ila hawakujua kwamba walikuwa wanamuuza binti yao kwenye biashara ya Utumwa wa ngono, familia kwa furaha na moyo mmoja ilibariki jambo hilo na kuwaaga nao wakaelekea Ufaransa.

Ukweli juu ya mpango huu ni kwamba Jean Claude ni dalali wa biashara ya ngono (pimp) ambaye huwa anakuja Afrika na kuchukua wasichana kisha kuwapeleka kufanya utumwa wa kazi ngono nchini Ufaransa. Sababu Axelle hakuwa anafahamu juu ya hili, hakika katu asingetamani hata kufahamua internet ni nini maisha mwake. Kwani mara baada ya wawili hao kufika nchini Ufaransa, waliishi kwenye kwenye mji uliojulikana kama Clermont Ferrand kwa muda wa miezi 9 kabla ya kuhamia sehemu nyingine mpya iliyojulikana kama Lourdes. Ni kwenye mji huu ambapo Axelle alikutana na maisha magumu ambayo hakuwahi kuyafikiria maishani.

Siku chache baada ya kuwasili Lourdes, mwanaume mmoja aligonga hodi na kuingia ndani akisema alihitaji kuonana na Jean Claude. Maskini Axelle alichofahamu yeye ni kwamba, mgeni yule alikuwa ni mfanyabiashara mwenzake na mume wake.  Wakati Axelle akimuita mume wake huku akiwa anamuangalia mgeni, alishtushwa na na kauli ya mume wake iliyomwambia "fanya lolote ambalo mgeni atakutaka ufanye".

Siku chache baadae mara baada ya kutoka kazini, Jean Claude alimkalisha chini Axelle kisha akampa masharti ya kazi. Alimueleza kwamba anatakiwa kulipa hela zote alizotumia walipokuwa Cameroon. Alipiga mahesabu yaliyozidi euro 3,000, na atafanya kazi naye kwa miaka miwili mbele. Axelle ambaye ilikuwa haongei alihisi kama alikuwa anaota. Hali ilikuwa mbaya zaidi kwani Jean Claude alikusanya kila kitu cha msichana huyo vikiwemo vitu binafsi na dokumeti zake kisha akavificha. Pia msichana huyo alizuiliwa kupiga simu ya aina yoyote nje.

Kila siku alikuwa na wateja wa kiume ambao walikuwa wanakuja kwa ajili ya huduma za mbele na nyuma kwa muda wote walipohitaji huduma. Aliamrishwa kufanya chochote wateja walichohitaji. Walikuwa hawatumii kinga yoyote walipokuwa wakijamiiana. Siku moja Jean Claude alirudi nyumbani akiwa na mteja aliyekuja na mbwa. Jamaa huyo ambaye alijulikana kwa jina la Loiseau yeye aliweka hela ya malipo kwenye akaunti ya Jean Claude. Axelle ambaye hakuwa anajua kama hili litatokea alisukumwa kwenye chumba na kuamuriwa kufanya ngono na mbwa yule kitendo ambacho alikifanya. Inasemwa kwamba Jean Claude huwa anatengeneza hela nyingi pale Axelle anapofanya ngono na wanyama kitendo kilichofanya dili hizo kuwa za kila siku.

Baada ya kuridhika kwa kuona msichana huyo keshaingiliwa na mbwa, Jean Claude aliondoka na Mr Loiseau wakimuacha Axelle peke yake ndani. Baada ya kujaribu kutoroka kwa mara kadhaa, msichana huyo alifanikiwa kuvunja mlango na kukimbia mtaani ambapo alikutana na Wacameroon wenzake waliokuwa wanaishi kwenye mji huo. Walimsaidia kumpeleka Ubalozini ambapo aliwaelezea mkasa wote. Polisi nao kwa haraka wakafanikiwa kufika nyumbani kwa Jean Claude ambapo walikuta ushahidi uliothibitisha kuwa kweli alimteka msichana huyo pamoja na mashitaka mengine. Mara moja Jean Claude alikamatwa huku akiwa anasubiri hukumu. Wakati huo Axell alipanda ndege na kurudi nyumbani kwao Cameroon na moja kwa moja alipelekwa hospitali kwa vipimo na matibabu zaidi.

Angalia vile ambavyo Internet inaweza kufanya kwa vijana wa nchi zetu, sio kila king'aacho ni dhahabu.

Wapendwa kaka na dada zangu, kama kuna mmoja kati ambaye angeweza kuzisikia baadhi ya stori kusikitisha za Waafrika wanaokimbilia mataifa ya wazungu, hakika sidhani kama mtu ataweza kutaka kimbilia huko pasipo uhakika. Yote kwa yote nyumbani ni nyumbani hata kama serikali zetu na wa wanasiasa hutuangusha.

Nini ambacho binafsi yako unafikiri juu ya hili, nahitaji mchango wako....

TAFADHALI USISAHAU KU-SHRE KWA FAMILIA NA MARAFIKI... UNAWEZA KUWA UNAOKOA MAISHA YA MTU KAMA SIO YA WATU.
read more "HABARI YA UKWELI YA MAISHA: Ilikuwaje Mwanamke Huyu Alilazimishwa Kufanya Mapenzi na Mbwa na Farasi (MUHIMU ISOME)"

Program ya Photoshop Inavyowabadilisha Mamodo Waonekane Warembo Zaidi [VIDEO]


Adobe Photoshop, ni program maalum kwa ajili ya kufanya editing za graphics, ilitengenezwa kwa ajili ili kuweza kusaidia wataalamu na watu wa kawaida kuweza kutengeneza kazi zao vizuri na kwa urahisi zaidi, ikiwa ni pamoja na ku-edit picha zao, michoro, nk. yote ni katika hali ya kuzifanya ziwe kwenye ubora zaidi.

Hivi sasa, Photoshop inatumika kubadilisha na kusafisha michoro mbalimbali ya kwenye kurasa nyingi kama sio zote ambazo kila makampuni ya uchapishaji hutumia.

Angalia video hapo chini uone program hii inavyotumika kumbadilisha msichana huyu kuwa kwenye muonekano tofauti na wa awali...


read more "Program ya Photoshop Inavyowabadilisha Mamodo Waonekane Warembo Zaidi [VIDEO]"

Forbes Yataja Orodha ya Watu Wenye Nguvu Zaidi Duniani, Putin Ambwaga Obama (LISTI)


Hii ni orodha ya watu wenye nguvu zaidi Duniani, chakushangaza tofauti na watu wengi walivyotegemea orodha hii inaonyesha kwamba Rais wa Russia, Vladimir Putin aniongoza huku  Rais wa Marekani Barack Obama akiwa chini yake kwenye nafasi ya pili.

read more "Forbes Yataja Orodha ya Watu Wenye Nguvu Zaidi Duniani, Putin Ambwaga Obama (LISTI)"

Jamaa Aukata Uume Wake Sababu Hakuwahi Kupata Demu [PICHA+HABARI]


Jamaa mmoja nchini China ameukata uume wake mara baada kuchukizwa na hali ya kutokuwa na demu kwa kipindi kirefu, na mara baada ya kitendo hicho jamaa alikimbizwa hispitali kwa matibabu.

Alipofikishwa hospitali madaktari walimueleza wasingeweza kumsaidia sababu kipande cha uume alioukata kiliachwa sehemu ambayo alilifanya tendo hilo, hivyo ikaamuliwa arudi nyumbani kwake akakichukue ili aweze kupata matibabu.
 
Yang Hu, 26, alifanikiwa kurudi tena hospitali, huku akiwa na watu kadhaa, madaktari walimueleza kwamba kipande kilichokatwa kilipoteza damu nyingi sana hivyo ingeshindikana kuweza kukiunga tena.
 
Marafiki wa Yang walisema kila kukicha jamaa alikuwa anatingwa sana na mawazo kutokana na ukweli kwamba toka alipohamia jijini hapo hakuwahi kupata demu.

Mbaya zaidi, walisema, jamaa alikuwa akifanya kazi kwa masaa mengi kwenye kiwanda cha nguo ndani ya Jiaxing, kwenye jimbo la Zhejiang Mashariki ya China, huku wakihisi kuwa ndiyo kitu kilichomsababisha kutokuwa na muda wakukutana na mwanamke.

Msongo kichwani ulizidi kuongezeka kwa kasi, kiasi cha kumfanya kuzidi kujisikia vibaya zaidi, mnamo tarehe 27 Oktoba mara baada ya kurudi nyumbani majira ya saa 3 usiku jamaa alikodi chumba na kuamua kuukata uume wake kutokana na kuona kwamba hakikuwa ni kitu cha maama na hakikuwa na faida naye, huku akiamini kitendo hicho kingeweza kumsaidia kuacha kufikiria juu ya maswala ya mademu.
read more "Jamaa Aukata Uume Wake Sababu Hakuwahi Kupata Demu [PICHA+HABARI]"

Yupi ni Bomba Zaidi Kati ya Demu wa C. Ronaldo, Messi na wa Neymer...?

Je yupi ni mkali kati ya hawa mademu wa wachezaji nyota duniani kwa sasa...?
read more "Yupi ni Bomba Zaidi Kati ya Demu wa C. Ronaldo, Messi na wa Neymer...?"

Avunja Rekodi ya Kuwa Mwanamke Mwenye Matiti Makubwa Asilia Duniani [PICHA]


Annie Hawkins-Turner ndio jina lake halisi, kwa sasa ana umri wa miaka 53 toka Atlanta, Georgia ambaye anavaa bra ya saizi 102ZZZ, hakika naye ni mashuhuri kwa maana dunia inamfahamu kutokana na rekodi yake ya kuingia kwenye Kitabu cha Guinness World Record kwa kuwa ni mwanamke mwenye matiti makubwa zaidi kuwahi tokea duniani.

Mwanamke huyu mwenye rekodi ya kuwa na matiti makubwa zaidi Duniani hajaajili mtu yeyote kwa ajili ya kumfanyia ulinzi ili kuweza kumlinda na watu enye nia mbaya na yeye ambao huyahitaji matiti yake kwa udi na uvumba. Nadhani wanaume wengi huyahitaji matiti yake.

Matiti yake yameweza kumsaidia kumpa nafasi ya kuingia kwenye tasnia ya uigizaji na filamu kutokana na umbile la kipekee alilonalo, kituambacho kinamfanya kuwa ni modo wa kipekee. Mpaka sasa ameshashiriki kwenye video anazojiongoza yeye binafsi katika kuziatengeneza zinazoweza kufika ya zaidi ya 250.

Cheki picha zaidi hapo chini....



read more "Avunja Rekodi ya Kuwa Mwanamke Mwenye Matiti Makubwa Asilia Duniani [PICHA]"

T.B Joshua Atabiri Kiongozi wa Moja ya Nchi za Afrika Mashariki Kutekwa (MUHIMU)

T.B Joshia
Hali ya tahadhari imetolewa na watu kuingia katika maombi kutokana na utabiri mzito uliotolewa na mtume maarufu barani Afrika T.B Joshua kutoka kanisa la Scoan Nigeria ambaye katika ibada ya juzi Jumapili ametabiri kwamba kuna moja kati ya nchi ya Afrika Mashariki lakini sio Kenya, kiongozi wake atatekwa na watu ambao yeye hawajui wala sababu za kiongozi huyo kutekwa hazijui.

Akizungumza kwenye ibada ya juzi kanisani kwake, mtume huyo amesema nchi ambayo ipo kwenye hatari ya kukutwa na tukio hilo, ni ile iliyowahi kupatwa na matatizo wakati watu wake wakiwa wanakunywa na kucheza huku akiongeza kwamba tukio hilo linatokea tena.

Tukio la namna kama hiyo binafsi nalifananisha lile lililotokea nchini Uganda ambao kuna kipindi kulitokea na tukio la bomu kulipuka wakati watu wakiwa wanangalia mashindano ya kombe la dunia.

T.B Joshua hakutaka kutaja jina la kiongozi huyo wala nchi anayotokea ingawa ameshaambiwa na Mungu na kusema kwamba endapo Mungu atamtaka kutaja jina la kiongozi na nchi atokayo atafanya hivyo. Ila kwa sasa amewataka wana Afrika Mashariki kumuomba sana Mungu ili jambo hilo lisitokee.

Tazama video hapo chini upate maelezo zaidi....
read more "T.B Joshua Atabiri Kiongozi wa Moja ya Nchi za Afrika Mashariki Kutekwa (MUHIMU)"

NANI ALIYEFANYA POA ZAIDI....? P Square Vs Michael Jackson (CHEKI)


NANI ALIYEFANYA POA ZAIDI?

Ni siku nyingine tunakutana na sio mbaya asubuhi kama hii tukapata vitu vya kutuchangamsha huku vikituburudisha...

Hebu fanya kuweka comment hapo chini....!
read more "NANI ALIYEFANYA POA ZAIDI....? P Square Vs Michael Jackson (CHEKI)"

Mtu Mrefu Kuliko Wote Duniani Sultan Kosen Afunga Ndoa Uturuki (PICHA)

Hakika hili ni jambo la heri na kuvutia kwa namna moja ama nyingine, ama sivyo Sultan Kosen angeweza kuwa na wakati mgumu kuweza kumpata mwanamke ambaye wangeweza endana ili waweze kuishi naye maishani.

Mtu huyu mrefu kuliko wote duniani ana urefu wa mita 2.51 zaidi ambazo ni sawa na futi mbili na inchi saba ambazo amemzidi mwanamke aliyemuoa aitwaye Merve Dibo.

Jamaa huyu ambaye ni mkulima wa nchini Uturuki alifunga ndoa iliyofuatiwa na sherehe kubwa mwishoni mwa juma, hakika ni furaha sana kwake mara baada ya kupoteza tumaini kwa muda mrefu kama angeweza kuja kumpata atakayempenda.





read more "Mtu Mrefu Kuliko Wote Duniani Sultan Kosen Afunga Ndoa Uturuki (PICHA)"

20 BORA za TBC Fm OKTOBA 27

Wiki hii tumeona chart ikishindwa kuingiza wimbo mpya ndani, huku wimbo wa Diomond uitwao My Number One (Ngololo) ukiendelea kukamata nafasi ya kwanza kwa juma la pili mfululizo.
Wimbo wa Kama Huwezi wa Rama Dee Feat. Lady Jay Dee ndio uliokamilisha chart ukiwa kwenye nafasi ya 20, huku wimbo wa msanii toka Kanda ya Ziwa aitwaye Mavolume Feat. Spia uitwao Jiulize ndiyo ulikuwa Fukuto la chart hii....

1. My Number One - Diamond
2. Tupogo - Ommy Dimpoz Feat. J Martin
2. Wasiwasi - Vumbe
4. I Love You - Cassim Mganga
5. Nakomaa na Jiji - Shilole
6. Cheza Bila Kukunja Goti - AY & FA Feat. J Martin
7. My Baby - Quick Racka Feat. Ngwea & Shaa
8. Mwambie - Stamina Feat. Darasa & Warda
9. Pesonally  - P Square
10. Nakupenda Pia - Wyre Feat. Alaine
11. Nikumbatie - Joh Makini Feat. Fundi Samweli
12. Roho Yangu - Richie Mavoko 

13. Yahaya - Lady Jay Dee
14. Salam Zao - Ney Wamitego 
15. Pesa - Mr. Blue Feat. Becka Title & Akili The Brain 
16. Love Me - Izzo B Feat. Barnaba & Shaa
17. Weka Ngoma - Darasa Feat. Ditto
18. Kibabababa - Makomandoo
19. Kimbiji - Bob Jr.
20. Kama Huwezi - Rama Dee Feat. Lady JD

 

Je unakubaliana na chart hii kwa asilimia ngapi...?
read more "20 BORA za TBC Fm OKTOBA 27"

Matonya Awa Mbogo Hewani (MUHIMU ISOME)

Matonya a.k.a Tonya
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kiazi kipya nchini Matonya a.k.a Tonya Time, hivi karibuni alijikuta anashindwa kuhimili machungu yake kiasi cha kujikuta akitumia lugha isiyo rasmi wakati akiwa anafanya mahojiano live kwenye kipindi cha The Takeover kinachorushwa na kituo cha TBC fm.

Hali hiyo ilitokea mara baada ya mimi kumuliza kama kuna watu wanahusika kukwamisha maendeleo ya muziki wake, na wakati anajibu swali hilo huku akionekana kuwa na uchungu juu ya jambo hilo, Matonya alijikuta akisema neno la kizungu F**k kutokana na kuona kukwazwa na watu alioshindwa kuwataja.

"Kuna watu wapo kwa ajili ya kuziba riziki za wenzao ila mimi nasimama kupambana nao ila inasikitisha sana kwa nini iwe hivi... f**k" alisema Matonya.

Kwa sasa Matonya ana wimbo mpya ambao siku hiyo alifika studio kuuzindua rasmi, wimbo unaokwenda kwa jina la UTATA.
read more "Matonya Awa Mbogo Hewani (MUHIMU ISOME)"

Rihanna Ajianika Mnyama kwa Ajili ya Jarida la GQ

Mrembo huyu mara zote hupenda kuwa yeye ni msaka pesa, hasa inapokuja ishu inayohusisha mkwanja wa nguvu.

Fanya kucheki picha zaidi hapo chini unisome....




Kama inavutia hivi... Ila zaidi kwa wasichana....!
read more "Rihanna Ajianika Mnyama kwa Ajili ya Jarida la GQ"

Beyonce ni Mjamzito Akitegemea Kupata Mtoto wa Pili

Imetaarifiwa kwamba Beyoncé na Jay-Z wanategemea kupata mtoto wa pili. Vyanzo mbalimbali vimeeleza ikiwemo E! Online huku ikisema kwamba mwimbaji huyo kwa sasa ni mjamzito.

Taarifa juu ya uwezekano wa Beyonce kuwa na ujauzito zilianza kuenea hivi karibuni mara baada ya mwanamuziki huyo kuahirisha tamasha lake alilotakiwa kulifanya nchini Belgium kwa kile kilichoelezwa kimetokana na ushauri wa daktari huku akitakiwa kupata mapumziko ya kutosha.


Beyonce amekuwa akisikika mara kwa mara akisema kuwa anahitaji kupata mdogo wa Blue Ivy. “Ningependa kupata watoto zaidi. Nafikiri mtoto wangu anahitaji kampani. Binafsi napenda kuwa dada mkubwa… kwa namna flani, inapotakiwa kutokea,” aliieleza  ABC News.


Nitaendelea kukutaarifu zaidi juu ya habari hii itakavyokwenda
read more "Beyonce ni Mjamzito Akitegemea Kupata Mtoto wa Pili"

Ndiyo Kusema Wanawake Wamefikia Hatua Hii...?

Ukiona Mwanamke anaanza "kumuomba" Mwanaume amuoe, ni dhahili kwamba umri unatakuwa unamtupa mkono.

Kweli au Uongo...?
read more "Ndiyo Kusema Wanawake Wamefikia Hatua Hii...?"

Nokia Yazindua Tablet ya Kwanza ya Windows


Tablet ya kwanza ya Windows aina ya Nokia imezinduliwa rasmi mnamo siku ya Jumanne.

Kwa kuanzia, kifaa hiki cha Nokia, kilichopewa jina la Lumia 2520, kilizinduliwa siku moja ambapo kampuni ya Microsoft nayo ilizindua tablet yake mpya iitwayo Surface 2 iliyoingia sokoni moja kwa moja.

Inaaminika kwamba Microsoft bado haijamiliki biashara ya vifaa vya Nokia, na kama itakuwa imemiliki, kuna swali litakalokuwa linajitokeza kwamba, Surface 2 na Lumia 2520 zinaweza endelea kuwepo? Sababu zinaonekana kufanana kwa mambo mengi sana.
read more "Nokia Yazindua Tablet ya Kwanza ya Windows"

Nicole Scherzinger Bila Sidiria Ndani ya London (PICHA)


Alitumia mchana wa siku ya Alhamisi na vazi lililostili maungo yake pale alipotembelea duka moja la kuuza keki na mikate lililopo ndani ya jiji la London.

Ila jioni ilipofika mwanamuziki Nicole Scherzinger alibadilika kuwa wa aina ya tofauti kwa kivazi chake. 

Nicole mwenye umri wa miaka 35 alivaa nguo iliyoonyesha kuwa hakuwa amevaa sidiria ambayo ingeweza kusitili matiti yake, na muda huo alionekana akiwa anatoka kwenye mgahawa wa Club ya The Arts uliopo Mayfair mara baada ya kushiriki kwenye Show ya The Graham Norton.



read more "Nicole Scherzinger Bila Sidiria Ndani ya London (PICHA)"

BARUA: Boyfriend Wangu Hunitamkia Kutaka Kunioa Wakati Tunafanya Mapenzi, Je Nifanyeje...?

Nachanganyikiwa....

Boyfriend wangu hunitamkia kwamba anataka kunioa wakati tukiwa tunafanya mapenzi.

Kwenye muda ambapo anataka kufika kileleni, huwa anasema mambo tofauti tofauti kama "naomba tuoane", au "lini unataka kuolewa?"

Ila mara baada ya kumaliza, huwa anajifanya kama hakusema lolote kati ya yale anayokuwa akisema tukiwa kitandani.

Mimi ni mtu wa aibu na nashindwa kumuuliza juu ya hicho kitu, sababu sijui nini hasa anaweza kuja kusema ama kinaweza kufata mara baada ya kumuuliza.

Nifanye nini..?
read more "BARUA: Boyfriend Wangu Hunitamkia Kutaka Kunioa Wakati Tunafanya Mapenzi, Je Nifanyeje...?"

NOMA MBAYA: Kitu ya Kanye West Yatoka Nje Akiwa Anaimba Jukwani (PICHA)

Rapa wa Kimarekani, Kanye West alianzarasmi ziara yake ya Yeezus ndani ya Seattle mnamo Oct. 20 ambapo wakati anaimba kwenye jukwaa, alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu mara baada ya nyeti zake kuakisiwa na kamera.

Jamaa huyo mwenye umri wa miaka 36 alionyesha zaidi ya kile alichopanga kukionyesha  mara baada ya nguo yake ya ndani kuonyesha zaidi ya kile kilichokusudiwa kuonekana kwa nje, huku picha zikionyesha maungo yake kiukamilifu, ila kwa bahati nzuri nguo yake ya ndani ilifanikiwa kuzihifadhi vizuri nyeti zake.

Cheki picha hii hapo chini...


Kanye alivaa suruali ya kata-k ambayo ilionyesha boxer yake nyeusi, jaketi pasipokuwa na nguo ya ndani, na sanamu nyeusi ya kufunika uso.

Cheki na picha hii hapo chini...


read more "NOMA MBAYA: Kitu ya Kanye West Yatoka Nje Akiwa Anaimba Jukwani (PICHA)"

PICHA KALI ZA MVUTO: Beyonce Akiwa na Kivazi Matata cha Ngozi

Mwanamuziki mashururi toka nchini Marekani ambaye pia ni Muandishi wa nyimbo na Muigizaji Beyonce, hapa akionyesha umbo lake matata kwenye picha zake mpya alizopiga. Hakika anavutia kwenye kivazi matata cheusi cha ngozi....

Mcheki picha zaidi hapo chini...




read more "PICHA KALI ZA MVUTO: Beyonce Akiwa na Kivazi Matata cha Ngozi"

BlackBerry Yaruhusu Rasmi Huduma ya BBM Kutumika kwa Watumiaji wa Simu Aina ya iPhone na Android


Kampuni ya BlackBerry imeruhusu rasmi utumikaji wa huduma yake ya BlackBerry Messenger kwa simu za Android na iPhones.

Sasa watumiaji wa simu za Samsung kwenye baadhi ya nchi za Afrika wanaweza ku-downlod huduma ya BBM kwenye Samsung Apps Store, huku watumiaji wa iPhone na aina nyingine ya simu za Android ambao ni watumiaji wa smartphone wataanza kuruhusiwa kutumia huduma hii ndani ya siku tatu zijazo.

Taarifa iliyotolewa na BlackBerry hapo jana imeeleza.
read more "BlackBerry Yaruhusu Rasmi Huduma ya BBM Kutumika kwa Watumiaji wa Simu Aina ya iPhone na Android"

Je Wadada Mnaweza Ufanya Mchuchumio Huu Kama Kiatu Chako cha Mtoko..?


Cheki mchuchumio huu wa miguu ya kuku kuku, hakika hakuna kinachoshindikana chini ya jua.

Mdada, unawezaufanya mchuchumio huu kiatu chako cha mtoko?

Mwanaume, unaweza kumruhusu baby wako atoke na mchuchumio huu?
read more "Je Wadada Mnaweza Ufanya Mchuchumio Huu Kama Kiatu Chako cha Mtoko..?"

Hii ni Official Cover ya Singo Iitwayo MDUDU By Solo Thang Feat. Mr. Blue


Hii ni Official Cover ya singo mpya ya Solo Thang akimshirikisha Mr. Blue, inayoitwa MDUDU ambayo inayotegemea kutoka hivi karibuni.

Kaa mkao wa kula.....
read more "Hii ni Official Cover ya Singo Iitwayo MDUDU By Solo Thang Feat. Mr. Blue"

Hii ni Shule ya Kwanza Duniani Inayotoa Mafunzo ya Ngono, Ada Yake ni £1,400 Kwa Temu (MUHIMU ISOME)

Hii ni shule ya kwanza inayotambulika rasmi Duniani kwa kutoa mafunzo ya ngono, ikifunza aina za mitindo ya kufanya ngono na namna ya kumuhudumia mwenza kwa mbinu mbalimbali.

Kwenye kila darasa katika kila shule mara zote hutokea kuwepo kwa mtoto ambaye huwa hafanya homework zake. Ndio maana ake, mpaka ilipokuja kutokea kufunguliwa kwa milango ya chuo hicho kilichopo Austria kwenye jiji la Vienna kinachojulikana kwa jina la Austrian International Séx School.

Shule hiyo hutoza £1,400 kwa temu moja, huku kikitoa mafunzo hayo kwa njia ya nadhalia na vitendo.

Wanafunzi wa shule hiyo huchanganywa na kuishi kwenye hostel moja ambapo hushauliwa wasaidiane kufanya ‘assignments’ zao.

Mkuu wa shule hiyo - Ylva-Maria Thompson - mtu ambaye huwezi mshangaa, ni nyota ya filamu za ngono na ni mtangazaji wa vipindi vya ngono kwenye TV.

Mwanamke huyo mwenye miaka 51 amesema: ‘Nia ni kuwafanya watu wawe wapenzi wazuri, kufahamu aina mbalimbali za mitindo ya kufanya ngono, namna ya kumshughulikia mwenza wako, kuzifahamu sehemu nyeti za mwili na kuwafundisha watu namna nzuri za ushiriki wa tendo la ngono.

Licha ya hivyo shule hiyo imekuwa ikipata vikwazo kadhaa, ambapo matangazo ya TV yanayoonyesha watu wakifanya ngono yamepigwa marufuku, huku wengi wakisema shule hiyo ipo kwa ajili ya kufanya biashara ya ngono.

Kuna yeyote anayependa kwenda kusoma shule hii japo kwa mwaka mmoja...?
read more "Hii ni Shule ya Kwanza Duniani Inayotoa Mafunzo ya Ngono, Ada Yake ni £1,400 Kwa Temu (MUHIMU ISOME)"

Mwanamichezo Mzito Kuliko Wote Duniani Kupunguza Uzito

Manny Yarbrough a.k.a Tiny
Akiwa anaelekea kustaafu kucheza mchezo wa mieleka aina ya Sumo, Manny Yarbrough antaka kufanya maamuzi sahihi ya maisha yake.

Akiwa na umri wa miaka 49 jamaa huyu ambaye pia hujulikana kama "Tiny" anataka kupunguza uzito kutoka ule aliona sasa wa paundi-719, huku muda wake wa kustaafu ukikaribia kufika hapo mwakani.

Ameieleza ABC News kwamba lengo lake ni kurudi kwenye hali aliyokuwa nayo katikati ya miaka ya 1980 kipindi ambacho alikuwa yupo chuo kwenye jimbo la Morgan, Fox Sports imetaarifu.
read more "Mwanamichezo Mzito Kuliko Wote Duniani Kupunguza Uzito"

Binti wa Miaka 22 Kwenye Penzi Zito na Baba wa Kambo (USHAURI)

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22 na kwa sasa nipo chuo…. Ninapokuwa likizo nyumbani, huwa napenda kutoka na kutembea na baba yangu kuliko mama yangu.

Nina hili tatizo, nimekuwa nikivutiwa na baba yangu licha ya kujitahidi hali hiyo isitokee inashindikan. Juzi kati wakati mama yangu alipokwenda kwenye harusi nilimshawishi baba na tukaishia kufanya mapenzi.

Kiukweli nina mpenzi ila nimejikuta nikvutiwa zaidi na baba yangu na sielewi ni kwa nini. Najisikia kufanya mapenzi naye tena na tena....

Nifanye nini kuiondoa hali hii....?

Sababu ameniambia mimi ni mtamu kuliko mama (Yeye ni baba yangu wa kambo, ila ni mtamu sana).

Naomba msaada....
read more "Binti wa Miaka 22 Kwenye Penzi Zito na Baba wa Kambo (USHAURI)"

Kim Kardashian & Kanye Wachumbiana

Kim na Kanye
Hatimaye Kim & Kanye wamechumbiana rasmi. Kanye alizua jambo kwenye birthday ya kutimiza miaka 33 ya Kim. Hii ni kwa mujibu wa E!

Kim Kardashian na Kanye West wamechumbiana, E! Online imethibitisha. Kanye alizua swali ambalo kama hakuwa anafahamu jibu lake, pale alipomuuliza Kim kama yupo tayari kuolewa naye.

Tumaini langu kwamba mda si mrefu tutapata maelezo ya kina juu ya habari hii kutoka kwa wahusika wenyewe.
read more "Kim Kardashian & Kanye Wachumbiana"

Mcheki Jamaa Akiimba Huku Akiwa na Nguo ya Ndani tu (PICHA)


Huyu ni mvulana huyu wa Burna akiwa anaimba na kucheza kwenye fainali za New Afrika Shrine Felabration usiku wa jana Jumapili Oct 20, ambapo aliamua kumuenzi mkongwe wa miondoko ya Afrobeat Marehemu Fela Anikulapo-Kuti kwa kuimba huku akiwa amevaa nguo ya ndani tu.

Cheki picha hii nyengine hapo chini....


read more "Mcheki Jamaa Akiimba Huku Akiwa na Nguo ya Ndani tu (PICHA)"

PICHA: Rihanna Ndani ya Hijabu Akiwa Abu Dhabi


Unapokuwa Rome, inakubidi uishi na kuwa kama Waroma.

Bad Gal Riri kwa sasa yupo ndani ya Abu Dhabi, United Arab Emirate na hapa kupitia ukurasa wake wa Instagram amewashirikisha watu kwa picha zake alizopiga akiwa Msikitini.





read more "PICHA: Rihanna Ndani ya Hijabu Akiwa Abu Dhabi"