BlackBerry Yaruhusu Rasmi Huduma ya BBM Kutumika kwa Watumiaji wa Simu Aina ya iPhone na Android
Kampuni ya BlackBerry imeruhusu rasmi utumikaji wa huduma yake ya BlackBerry Messenger kwa simu za Android na iPhones.
Sasa watumiaji wa simu za Samsung kwenye baadhi ya nchi za Afrika wanaweza ku-downlod huduma ya BBM kwenye Samsung Apps Store, huku watumiaji wa iPhone na aina nyingine ya simu za Android ambao ni watumiaji wa smartphone wataanza kuruhusiwa kutumia huduma hii ndani ya siku tatu zijazo.
Taarifa iliyotolewa na BlackBerry hapo jana imeeleza.
No comments:
Post a Comment