Mcheki Jamaa Akiimba Huku Akiwa na Nguo ya Ndani tu (PICHA)


Huyu ni mvulana huyu wa Burna akiwa anaimba na kucheza kwenye fainali za New Afrika Shrine Felabration usiku wa jana Jumapili Oct 20, ambapo aliamua kumuenzi mkongwe wa miondoko ya Afrobeat Marehemu Fela Anikulapo-Kuti kwa kuimba huku akiwa amevaa nguo ya ndani tu.

Cheki picha hii nyengine hapo chini....


No comments:

Post a Comment