NOMA MBAYA: Kitu ya Kanye West Yatoka Nje Akiwa Anaimba Jukwani (PICHA)

Rapa wa Kimarekani, Kanye West alianzarasmi ziara yake ya Yeezus ndani ya Seattle mnamo Oct. 20 ambapo wakati anaimba kwenye jukwaa, alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu mara baada ya nyeti zake kuakisiwa na kamera.

Jamaa huyo mwenye umri wa miaka 36 alionyesha zaidi ya kile alichopanga kukionyesha  mara baada ya nguo yake ya ndani kuonyesha zaidi ya kile kilichokusudiwa kuonekana kwa nje, huku picha zikionyesha maungo yake kiukamilifu, ila kwa bahati nzuri nguo yake ya ndani ilifanikiwa kuzihifadhi vizuri nyeti zake.

Cheki picha hii hapo chini...


Kanye alivaa suruali ya kata-k ambayo ilionyesha boxer yake nyeusi, jaketi pasipokuwa na nguo ya ndani, na sanamu nyeusi ya kufunika uso.

Cheki na picha hii hapo chini...


No comments:

Post a Comment