PICHA: Rihanna Ndani ya Hijabu Akiwa Abu Dhabi


Unapokuwa Rome, inakubidi uishi na kuwa kama Waroma.

Bad Gal Riri kwa sasa yupo ndani ya Abu Dhabi, United Arab Emirate na hapa kupitia ukurasa wake wa Instagram amewashirikisha watu kwa picha zake alizopiga akiwa Msikitini.





No comments:

Post a Comment