Avunja Rekodi ya Kuwa Mwanamke Mwenye Matiti Makubwa Asilia Duniani [PICHA]


Annie Hawkins-Turner ndio jina lake halisi, kwa sasa ana umri wa miaka 53 toka Atlanta, Georgia ambaye anavaa bra ya saizi 102ZZZ, hakika naye ni mashuhuri kwa maana dunia inamfahamu kutokana na rekodi yake ya kuingia kwenye Kitabu cha Guinness World Record kwa kuwa ni mwanamke mwenye matiti makubwa zaidi kuwahi tokea duniani.

Mwanamke huyu mwenye rekodi ya kuwa na matiti makubwa zaidi Duniani hajaajili mtu yeyote kwa ajili ya kumfanyia ulinzi ili kuweza kumlinda na watu enye nia mbaya na yeye ambao huyahitaji matiti yake kwa udi na uvumba. Nadhani wanaume wengi huyahitaji matiti yake.

Matiti yake yameweza kumsaidia kumpa nafasi ya kuingia kwenye tasnia ya uigizaji na filamu kutokana na umbile la kipekee alilonalo, kituambacho kinamfanya kuwa ni modo wa kipekee. Mpaka sasa ameshashiriki kwenye video anazojiongoza yeye binafsi katika kuziatengeneza zinazoweza kufika ya zaidi ya 250.

Cheki picha zaidi hapo chini....



No comments:

Post a Comment