Je Wadada Mnaweza Ufanya Mchuchumio Huu Kama Kiatu Chako cha Mtoko..?


Cheki mchuchumio huu wa miguu ya kuku kuku, hakika hakuna kinachoshindikana chini ya jua.

Mdada, unawezaufanya mchuchumio huu kiatu chako cha mtoko?

Mwanaume, unaweza kumruhusu baby wako atoke na mchuchumio huu?

No comments:

Post a Comment