Program ya Photoshop Inavyowabadilisha Mamodo Waonekane Warembo Zaidi [VIDEO]


Adobe Photoshop, ni program maalum kwa ajili ya kufanya editing za graphics, ilitengenezwa kwa ajili ili kuweza kusaidia wataalamu na watu wa kawaida kuweza kutengeneza kazi zao vizuri na kwa urahisi zaidi, ikiwa ni pamoja na ku-edit picha zao, michoro, nk. yote ni katika hali ya kuzifanya ziwe kwenye ubora zaidi.

Hivi sasa, Photoshop inatumika kubadilisha na kusafisha michoro mbalimbali ya kwenye kurasa nyingi kama sio zote ambazo kila makampuni ya uchapishaji hutumia.

Angalia video hapo chini uone program hii inavyotumika kumbadilisha msichana huyu kuwa kwenye muonekano tofauti na wa awali...


No comments:

Post a Comment