20 BORA za TBC Fm OKTOBA 27

Wiki hii tumeona chart ikishindwa kuingiza wimbo mpya ndani, huku wimbo wa Diomond uitwao My Number One (Ngololo) ukiendelea kukamata nafasi ya kwanza kwa juma la pili mfululizo.
Wimbo wa Kama Huwezi wa Rama Dee Feat. Lady Jay Dee ndio uliokamilisha chart ukiwa kwenye nafasi ya 20, huku wimbo wa msanii toka Kanda ya Ziwa aitwaye Mavolume Feat. Spia uitwao Jiulize ndiyo ulikuwa Fukuto la chart hii....

1. My Number One - Diamond
2. Tupogo - Ommy Dimpoz Feat. J Martin
2. Wasiwasi - Vumbe
4. I Love You - Cassim Mganga
5. Nakomaa na Jiji - Shilole
6. Cheza Bila Kukunja Goti - AY & FA Feat. J Martin
7. My Baby - Quick Racka Feat. Ngwea & Shaa
8. Mwambie - Stamina Feat. Darasa & Warda
9. Pesonally  - P Square
10. Nakupenda Pia - Wyre Feat. Alaine
11. Nikumbatie - Joh Makini Feat. Fundi Samweli
12. Roho Yangu - Richie Mavoko 

13. Yahaya - Lady Jay Dee
14. Salam Zao - Ney Wamitego 
15. Pesa - Mr. Blue Feat. Becka Title & Akili The Brain 
16. Love Me - Izzo B Feat. Barnaba & Shaa
17. Weka Ngoma - Darasa Feat. Ditto
18. Kibabababa - Makomandoo
19. Kimbiji - Bob Jr.
20. Kama Huwezi - Rama Dee Feat. Lady JD

 

Je unakubaliana na chart hii kwa asilimia ngapi...?

No comments:

Post a Comment