BARUA: Boyfriend Wangu Hunitamkia Kutaka Kunioa Wakati Tunafanya Mapenzi, Je Nifanyeje...?

Nachanganyikiwa....

Boyfriend wangu hunitamkia kwamba anataka kunioa wakati tukiwa tunafanya mapenzi.

Kwenye muda ambapo anataka kufika kileleni, huwa anasema mambo tofauti tofauti kama "naomba tuoane", au "lini unataka kuolewa?"

Ila mara baada ya kumaliza, huwa anajifanya kama hakusema lolote kati ya yale anayokuwa akisema tukiwa kitandani.

Mimi ni mtu wa aibu na nashindwa kumuuliza juu ya hicho kitu, sababu sijui nini hasa anaweza kuja kusema ama kinaweza kufata mara baada ya kumuuliza.

Nifanye nini..?

No comments:

Post a Comment