Nicole Scherzinger Bila Sidiria Ndani ya London (PICHA)


Alitumia mchana wa siku ya Alhamisi na vazi lililostili maungo yake pale alipotembelea duka moja la kuuza keki na mikate lililopo ndani ya jiji la London.

Ila jioni ilipofika mwanamuziki Nicole Scherzinger alibadilika kuwa wa aina ya tofauti kwa kivazi chake. 

Nicole mwenye umri wa miaka 35 alivaa nguo iliyoonyesha kuwa hakuwa amevaa sidiria ambayo ingeweza kusitili matiti yake, na muda huo alionekana akiwa anatoka kwenye mgahawa wa Club ya The Arts uliopo Mayfair mara baada ya kushiriki kwenye Show ya The Graham Norton.



No comments:

Post a Comment