PICHA KALI ZA MVUTO: Beyonce Akiwa na Kivazi Matata cha Ngozi

Mwanamuziki mashururi toka nchini Marekani ambaye pia ni Muandishi wa nyimbo na Muigizaji Beyonce, hapa akionyesha umbo lake matata kwenye picha zake mpya alizopiga. Hakika anavutia kwenye kivazi matata cheusi cha ngozi....

Mcheki picha zaidi hapo chini...




No comments:

Post a Comment