Showing posts with label EVENTS. Show all posts
Showing posts with label EVENTS. Show all posts

TENA: Waumini Wanywa Mkojo wa Ng'ombe kwa Ajili ya Kutibu Kansa, Kisukari, Matatizo ya Tumbo na Kuondo Vipara Kichwani [PICHA]

Kwa mujibu wa Daily Mail, Waumini wa Hindu wanaamini kwamba Ng'ombe ni mnyama aliyebarikiwa na wanasema mkojo wake unasaidia kuponya vitu mbalimbali.

Japokuwa wanasisistiza kwamba mkojo wa ng'ombe unaotakiwa kunywewa ni ule wa ng'ombe bikira - ambaye hajawahi kuzaa. Pia, mkojo unatakiwa kuchukuliwa kabla ya jua kutoka na hapo ndipo mkojo huo unapokuwa na matokeo mazuri.

Pia wamesema kwamba kunywa mkojo wa ng'ombe ndio njia bora ya kuondoa vipara kwenye kichwa.
 

Angalia picha hapo chini..
Jairam Singhal, 42, ambaye amekuwa akinywa mkojo wa ng'ombe kwa zaidi ya muongo mmoja ametoa ushuhuda juu ya faida za kiafya zinazosababishwa na mkojo huo::

    ‘Nilikuwa na kisukari, ila toka nimeanza kunywa mkojo wa ng'ombe, kiwango cha kisukari nimeweza kukikabili. Mtu mmoja aliniambia kunywa mkojo wa ng'ombe ni mzuri kwa afya. Tumekuwa na ng'ombe hapa kwa zaidi ya miaka 12, hivyo kitu cha kwanza kukifanya asubuhi ni kuchukua mkojo wa ng'ombe na kuunywa.’


Cheki picha zaidi hapo chini...





read more "TENA: Waumini Wanywa Mkojo wa Ng'ombe kwa Ajili ya Kutibu Kansa, Kisukari, Matatizo ya Tumbo na Kuondo Vipara Kichwani [PICHA]"

Avunjika Uume Baada ya Kuanguka Toka Kwenye Mti Alipokuwa Akifanya Mapenzi [PICHA]

Tukio moja la ajabu limetokea hivi karibuni, pale ambapo wapenzi wawili walipoamua kufanya mapenzi wakiwa juu ya mti.

Katika zoezi hilo la aina yake kwa bahati mbaya au sijui tuseme baada ya kunogewa jamaa alianguka kutoka juu ya mti huu na kuangukia sehemu zake za siri kitendo kilichosababisha maumivu makali kwake.

Wapenzi hao walikuwa kwenye siku ya tatu tu toka waanzishe mahusiano yao na waliamua kwenda kufanya mapenzi kwenye tawi la mti na shughuli ilipoanza na utamu kukolea ndipo kisanga hicho kilipotokea.

Inavyoonekana ni kwamba mwanaume huyo ambaye alikuwa yupo nusu utupu aliyejulikana kama Erik, alihitaji kujisogeza ili aweze kufaidi uhondo kwa karibu zaidi, na ndipo zoezi lao lilipoishia kwenye majanga pale jamaa alipopoteza uelekeo na kuanguka chini.

Erik alisema: "Mikono yangu iliteleza na nikajikuta nipo chini. Niliishia kujisikia poa ila gafla nilijikuta nipo chini."

Erik hakugundua nini kilikuwa kimetokea kwa mara ya kwanza - alikuwa ni demu wake Salina aliyeona uume wake ukiwa unatoka damu.
read more "Avunjika Uume Baada ya Kuanguka Toka Kwenye Mti Alipokuwa Akifanya Mapenzi [PICHA] "

Ukichaa wa Nicky Minaj Kwenye Picha Akinyonya na Kushikilia Titi [PICHA]

Dizaini kama anamuita Lil Wayne hivi kimtindo, wewe unaonaje...

Kumetokea kuwepo kwa mashindano mengi ya kijinga mojawapo ni hili la nyota wengi kupiga picha zikionyesha utupu wao au mambo ya ajabu wanayoyafanya, wa kwanza alikuwa ni Miley Cyrus, akafata Maheedah na Nicki sasa ameingia kwenye shindano.


Safari hii hajaonyesha ngozi wa mwili wake kihivyo bali amepiga picha akiwa kwenye pozi tofauti na matata sana.... Moja ilimuonyesha akiwa ananyonya vidole vyake na nyingine ikimuonyesha ameshikilia titi lake...

Cheki picha hapo chini....




read more "Ukichaa wa Nicky Minaj Kwenye Picha Akinyonya na Kushikilia Titi [PICHA]"

Mchungaji Nchini Afrika Kusini Awafanya Waumini Wake Wale Majani [PICHA na VIDEO]

Mchungaji Daniel Lesego wa Kanisa la Rabboni Centre ambalo lipo eneo la Ga-Rankuwa, Kaskazini mwa Pretoria, amewafanya Waumini wa Kanisa lake wale majani alipokuwa akihubiri juu ya nguvu za Mungu kuwa zinaweza kumfanya mwanadamu ale kitu chochote.

Alisema Mchungaji huyo: “Njooni na le ili macho yenu yaweze kuona. Simon Peter alisema: Naenda kuvua, hii si sawa. Alirudi tena kwenye sehemu ambayo Yesu alimkuta. Haya ni aina ya majabu ambayo yatasababisha wengi kutubu sababu huu ni ujumbe kupitia miujiza, alama na maajabu. Yesu hakuja kwa namna ya kirafiki sababu wao walikuwa wakifanya kile ambacho hakuwaagiza kufanya.”

“Paul anasema: Nabeba kifo cha Yesu ndani yangu sababu yeye anaula mwili wake.”


Angalia zaidi picha na video hapo chini....


Daniel Lesego





Video ya Mchungaji huyo....

read more "Mchungaji Nchini Afrika Kusini Awafanya Waumini Wake Wale Majani [PICHA na VIDEO]"

MAAJABU YA DUNIA: Samaki Aina ya Sato Aingia Tumboni mwa Msichana wa Miaka 12 Kupitia Sehemu za Siri Huko Mara

MAISHA ya mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 12, (jina tunalihifadhi), anayesoma darasa la tano Shule ya Msingi Bwanza, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, yako hatarini baada ya kurukiwa na samaki aina ya sato, kuingia sehemu ya siri na kukimbilia tumboni.
Tukio hilo limetokea Januari mosi mwaka huu, saa 11 alfajiri, wakati mtoto huyo akichota maji katika Ziwa Victoria ili aweze kumwagilia bustani ya nyanya, vitunguu iliyopo kandokando ya ziwa hilo.

Akizungumza na Majira, kaka wa mtoto huyo (jina tunalihifadi), mwenye miaka 31, alisema tukio hilo limewashangaza wakazi wa Kijiji cha Bwanza na vitongoji vyake.


Alisema mdogo wake alikuwa akichota maji katika ziwa hilo akiwa amechuchumaa ndipo samaki huyo anayedaiwa kuwa mwenye ukubwa wa nchi nne, aliruka kutoka majini, kuingia sehemu yake ya siri na kukimbilia tumboni.


"Mdogo wangu alifanya jitihada za kumvuta ili aweze kumtoa lakini alikimbilia tumboni na kuanza kupata maumivu makali,kutokwa na damu nyingi baada ya kuparazwa na miba ya
mgongo wa samaki huyo.


"Baada ya tukio hilo, alirudi nyumbani kwa shida akijivuta na kuugulia maumivu... alimweleza mama na ndugu zake juu ya mkasa huu, walimchunguza na kujaribu kuingiza mkono sehemu za siri wakidhani watampata lakini hawakufanikiwa," alisema.


Aliongeza kuwa, baada ya kumpeleka zahanati iliyopo kijijini hapo, hali yake ilizidi kuwa mbaya akilalamika maumivu makali tumboni ambapo familia inaamini tukio hili limetokana na imani za kishirikina hivyo waliamua kumtoa katika zahanati hiyo.


"Tulimpeleka kwa mganga wa kienyeji kijiji cha Amuyebe, wilayani Ukerewe... katika hali ya kawaida samaki hawezi kumrukia mtu sehemu yake ya siri na kuzama tumboni.


"Pamoja na kuchukua uamuzi wa kumpeleka kwa mtaalamu, hali yake bado inazidi kuwa mbaya, hata baba yetu alifariki katika mazingira yenye utata mwaka 2003," alisema.


Aliongeza kuwa hata kaka zake watatu na mtoto huyo nao walifariki kwa mfululizo mwaka 2004, 2005, 2006 ambao vifo vyao viligubikwa na utata mkubwa.


Mwenyekiti wa Kitongoji cha Alwego anakoishi mtoto huyo, Bi. Reticia Bituro, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo limewashangaza watu na kuahidi uongozi wa kitongoji hicho utaendelea kufanya uchunguzi zaidi.


Diwani wa Kata ya Napindi, Bw. Elias Magoti ambaye yuko safari kuhudhuria kikao cha Baraza la Madiwani Bunda Mjini,alikiri kupokea taarifa za tukio hilo kwa mshangao mkubwa.


"Nitalifuatilia kwa karibu baada ya kurudi kijijini kwa kufanya uchunguzi ili kubaini kilichotokea kwani sijawahi kusikia tukio kama hili katika umri nilionao," alisema.
Taarifa zilizopatikana kutoka Ukerewe anakotibiwa mtoto huyo, zilisema kwa sasa hawezi kuzungumza akizidi kulalamika maumivu makali ya tumbo na samaki huyo bado hajatolewa. 


Chanzo: Gazet MAJIRA
read more "MAAJABU YA DUNIA: Samaki Aina ya Sato Aingia Tumboni mwa Msichana wa Miaka 12 Kupitia Sehemu za Siri Huko Mara"

Nissan Wazindua Aina Mpya ya Tax za London

Watengenezaji wa gari aina ya Nissan wameanzisha aina mpya ya gari za usafiri wa binafsi zilizoitwa London black cab, gari hii ina injini ambayo itakuwa na uwezo mkubwa sana kimazingira mbali zaidi ukilinganisha na wapinzani wake.

Aina hii mpya ya Tax, ambayo imekuja na injini ya petrol ya 1.6 badala ya injini ya dizeli ya 2.5 inafaa kwa ajili ya tax za magari ya kwenye miji mingi mikubwa.

Cheki picha zaidi hapo chini...



read more "Nissan Wazindua Aina Mpya ya Tax za London"

NDOA YA MASHOGA - Mtangazji wa Habari Marc Malkin Amuoa Patna wake Fabian Fuentes [PICHA]

Kama ni mpenzi wa kuangalia E! News, basi utakuwa unamfahamu Marc Malkin. Yeye ndiye muhariri mkuu na muandishi mtandao huo wa burudani ambao huwa unatoa habari za nyota wa Hollywood kwa 24/7.

Amemuoa patna wake wa siku nyingi aitwaye Fabian Fuentes ndani ya LA.

Kupitia ukurasa wake wa twitter hivi ndivyo alivyoandika Marc Malkin


read more "NDOA YA MASHOGA - Mtangazji wa Habari Marc Malkin Amuoa Patna wake Fabian Fuentes [PICHA]"

Akutwa Ameanguka Mbele ya Fremu za Maduka Katika Harakati za Ushirikina Ilala [PICHA]

Mzee mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina mnamo alfajiri ya siku ya Jumamosi alikutwa uchi wa mnama akiwa ameanguka mbele ya nyumba moja iliyopo eneo la Ilala, Sharif Shamba kwa kile kinachoaminika kuwa ni masuala ya kishirikina.
Kwa mujibu wa mashahidi wa mwanzo kumuona wamenieleza kuwa jamaa huyo alikutwa akiwa uchi wa mnyama huku akiwa hajitambui na akishindwa kuongea kwa kile kinachoonekana kuwa alikuwa amechoshwa kwa kuzidiwa nguvu na wale aliokuwa akipambana nao.

Jamaa huyo alikutwa akiwa na tunguli na vifaa vingine vya kishirikina huku mwili wake ukiwa na hirizi za haja.

"Mazingira aliyokutwa nayo inaonyesha wazi kuwa jamaa alikuwa kwenye harakati zake za kishirikini na ndipo ilipotokea kuzidiwa nguvu na mmoja kati ya wapambanaji wenzake," alisema shahidi mmoja.


"Inavyoonekana huyu jamaa alikuwa kwenye safari zake ila baada ya kupita kwenye anga hizi ndege yake ilizidiwa nguvu na kujikuta ikianguka kwenye eneo hili," alifunguka shahidi mwengine.

Haikufahamika moja kwa moja jamaa huyo alitumwa na nani ila imeelezwa kuwa sehemu aliyokutwa ameanguka ni mbele ya maduka matatu yenye ushindani wa hali ya juu kibiashara katika eneo hilo.

Baada ya muda kidogo Polisi walifika na kumchukua jamaa huyo na kwenda naye kituoni ila bado haijafahamika mustakabari huo uliishiaje.

Agalia picha zaidi hapo chini....
Akiwa uchi wa mnyama hajitambui

Baadhi ya vitu alivyokutwa navyo
read more "Akutwa Ameanguka Mbele ya Fremu za Maduka Katika Harakati za Ushirikina Ilala [PICHA]"

MAAJABU: Kutana na Msichana Atokaye Machozi na Jasho la Damu [PICHA]

Miaka minne iliyopita msichana huyu mwenye umri wa miaka 19, Delfina Cedeno, alianza kupata tatizo hili la ajabu, lililokuwa likimfanya alie na kutoka jasho la damu. Kwa kuongeza zaidi, wakati mwengine damu zimekuwa zikitoka hata kwenye kucha na kitovu.




Hali hii ilipomuanza, alianza kwa kulia machozi mekundu, kutokwa na damu puani na kunyunyukwa nywele kichwani.

Hali ilipokuwa mbaya, alikuwa akienda hedhi kwa siku 15 mpaka ikafika kipindi alihitaji kuongezwa damu kutokana na hali hiyo iliyokuwa ngumu. Licha ya vipmo vingi alivyofanya, madaktari wa mji wake wa Veron, kwenye Jamhuri ya Dominica, walishindwa  kumsaidia.

Cedeno alisema: 'Hali hii ilipoanza kwangu sikuwa najua nini cha kufikiri - nilishtushwa na kuogopa.

Anasema alijisikia vibaya kutokana na hali aliyokuwa nayo mpaka ikambidi aondoke nyumbani kwao alipokuwa akiishi na mama yake aitwaye Mariana, 36.

Aliacha shule huku marafiki zake wengi wakimtenga kutokana na hali hiyo wakihofu kupata maambukizo au usumbufu kutokana na hali yake.

'Nilitengwa, ila Mungu mkubwa. Kwa sasa najisikia poa maana baada ya muda mrefu nimeanza kujisikia vizuri.'

Miezi michache baadae alifanikiwa kupata boyfriend, Recaris Avila, ambaye alimtembelea hospitali mara baada ya kusikia stori yake.



Sasa, miaka minne baada yote kuanza, madaktari wa wamefanikiwa kutatua tatizo lake.


read more "MAAJABU: Kutana na Msichana Atokaye Machozi na Jasho la Damu [PICHA]"

Heri ya Krismasi kwa Wadau Wote


Tusherehekee Krismasi hii kwa Upendo, Amani na Utulivu kama Jadi Yetu.....

Nawapenda Sana,

Dan Chibo

25, December 2013
read more "Heri ya Krismasi kwa Wadau Wote"

Waoana Hadharani Wakiwa Uchi wa Mnyama Huku Umati wa Watu Ukishuhudia [PICHA]


Wanandoa wawili walikamtwa kwenye siku ya harusi yao baada ya kufunga ndoa wakiwa uchi wa mnyama mtaani katika kile kilichosemekana ni kampeni yao kupinga sheria ya San Francisco inayokataza watu kuwa watupu.

Bibi harusi Gypsy Taub, 44, na bwana harusi Jamyz Smith, 20 walikamatwa ndani ya dakika chache baada ya kubadilishana viapo.

Kwa mujibu wa Taub:  'Hii ni katika kupinga sheria ya utupu, najua watu wa wapo nyuma yangu.'

Harusi hiyo iliendeshwa na mwanaharakati anayetetea kufutwa kwa sheria ya utupu aitwaye George Davis, wa Kanisa la Universal Life.

Mara baada ya kusoma kutoka kwenye kitabu chake Kitakatifu, kinachoitwa 'Erotic Art,' Davis alisema: 'Natangaza kuwa ninyi ni mke na mume.'

'Watu husherehekea kwa njia yoyote wanayojisikia kuwa poa nayo, mmoja kati ya watu waliowatakia mema wanandoa hao alisema, akiongeza: 'Ni kitu kizuri wanachokifanya. Hakuna aliyeumizwa. Hakuna aliyeathiriwa.'

Angalia picha hapo chini....






read more "Waoana Hadharani Wakiwa Uchi wa Mnyama Huku Umati wa Watu Ukishuhudia [PICHA]"

KIAMA: Timu ya Wanawake ya Mchezo wa Rugby Yapiga Picha za Utupu Katika Kujitolea [PICHA +18]


Timu ya wanawake ya Chuo cha Oxford inaonekana imeamua kushika vichwa vya watu na habari kwa ujumla mara baada ya kuamua kuja na karenda yao ya kujitolea ya mwaka 2014.


Picha hizo za rangi nyeusi na nyeupe (black-and-white) zilipigwa kwenye jiji la Idyllic na zimetumika kwenye karenda ambazo zimekuwa zikiuzwa kwa £10, pesaambazo zitatumika katika kuchangia kampeni ya Oxford juu ya tahadhali dhidi ya ufahamu wa afya.

Wachezaji wa timu hiyo waliamua kuja na mpango huo mara baada ya timu ya wanaume kutoka na toleo lao mwaka jana, kisha wao wakaelezwa: “Kama ingekuwa ni ninyi kwenye picha basi tungenunua moja.”
Oxford University’s women’s team are likely to have gripped the attention of rugby-phobics by releasing their unclad charity calendar for 2014.
The classy black-and-white shots were taken around the idyllic city, and the calendar is being sold for £10 to raise money for Oxford’s mental health awareness campaign, Mind Your Head.

The team members decided to go ahead with the idea after the men’s team released their own edition last year, and were told: “If it was you in the pictures then we’d buy one.” - See more at: http://www.brimtime.com/2013/12/endtime-womens-rugby-team-go-completely.html#more
Oxford University’s women’s team are likely to have gripped the attention of rugby-phobics by releasing their unclad charity calendar for 2014.
The classy black-and-white shots were taken around the idyllic city, and the calendar is being sold for £10 to raise money for Oxford’s mental health awareness campaign, Mind Your Head.

The team members decided to go ahead with the idea after the men’s team released their own edition last year, and were told: “If it was you in the pictures then we’d buy one.” - See more at: http://www.brimtime.com/2013/12/endtime-womens-rugby-team-go-completely.html#more
Oxford University’s women’s team are likely to have gripped the attention of rugby-phobics by releasing their unclad charity calendar for 2014.
The classy black-and-white shots were taken around the idyllic city, and the calendar is being sold for £10 to raise money for Oxford’s mental health awareness campaign, Mind Your Head.

The team members decided to go ahead with the idea after the men’s team released their own edition last year, and were told: “If it was you in the pictures then we’d buy one.” - See more at: http://www.brimtime.com/2013/12/endtime-womens-rugby-team-go-completely.html#more

Oxford University’s women’s team are likely to have gripped the attention of rugby-phobics by releasing their unclad charity calendar for 2014.
The classy black-and-white shots were taken around the idyllic city, and the calendar is being sold for £10 to raise money for Oxford’s mental health awareness campaign, Mind Your Head.

The team members decided to go ahead with the idea after the men’s team released their own edition last year, and were told: “If it was you in the pictures then we’d buy one.” - See more at: http://www.brimtime.com/2013/12/endtime-womens-rugby-team-go-completely.html#more
read more "KIAMA: Timu ya Wanawake ya Mchezo wa Rugby Yapiga Picha za Utupu Katika Kujitolea [PICHA +18]"

Jamaa Atembea Juu ya Kamba Akiwa Uchi wa Mnyama Huku Kamba Akiifunga Kwenye Sehemu Nyeti [PICHA]


Watu hawa wa ajabu walikutwa kwenye tamasha la highline wakiwa wanatembea juu ya kamba kwa umbali wa mita 61 huku wakiwa uchi wa mnyama - cha ajabu zaidi ni jamaa huyu aitwaye Andy Lewis ambaye tofauti na wenzake yeye aliamua kwenda mbali zaidi.

Wakitembea juu ya kamba hizo ambazo zilipita juu toka kwenye ardhi iliyokuwa chini kwa urefu wa mita 30, hakika jamaa waliyaweka maisha yao kwenye hatari kama sio kifo huku wakiwa wako uchi wa mnyama.

Majasiri hao waliacha nguo zao pembeni na kuvaa kamba moja ambayo waliifunga kwenye mguu na kiuno, ila kwa ishu ya Andy Lewis yeye ilikuwa ni ya kipekee zaidi kwani yeye aliifunga kamba hiyo kwenye uume wake.

Angalia picha hapo chini...




read more "Jamaa Atembea Juu ya Kamba Akiwa Uchi wa Mnyama Huku Kamba Akiifunga Kwenye Sehemu Nyeti [PICHA]"

Kate Middleton na Prince William Wahudhuria Uzinduzi wa Filamu ya Mandela


Kate Middleton na Prince William jioni hii wamehudhuria kwenye uzinduzi wa filamu ya Mandela - Long Way to Freedom, uzinduzi uliofanyika jijini London ndani ya Leicester Square.

Kate aliingia akiwa amevaa gauni la Roland Mouret, ambalo lilimfanya aonekane kama mke wa mfalme! Oh ngoja kwanza, kweli ni hivyo! :-)



Duke na Duchess wa cambridge walionekana kuwa wamepenedeza kwa nguo walizozivaa, nguo ambazo zilionekana kufanana na zile ambazo walizivaa kwenye tukio la black tie ambalo lilifanyika mwezi May 2012.

Angalia picha hapo chini....



read more "Kate Middleton na Prince William Wahudhuria Uzinduzi wa Filamu ya Mandela"