Avunjika Uume Baada ya Kuanguka Toka Kwenye Mti Alipokuwa Akifanya Mapenzi [PICHA]

Tukio moja la ajabu limetokea hivi karibuni, pale ambapo wapenzi wawili walipoamua kufanya mapenzi wakiwa juu ya mti.

Katika zoezi hilo la aina yake kwa bahati mbaya au sijui tuseme baada ya kunogewa jamaa alianguka kutoka juu ya mti huu na kuangukia sehemu zake za siri kitendo kilichosababisha maumivu makali kwake.

Wapenzi hao walikuwa kwenye siku ya tatu tu toka waanzishe mahusiano yao na waliamua kwenda kufanya mapenzi kwenye tawi la mti na shughuli ilipoanza na utamu kukolea ndipo kisanga hicho kilipotokea.

Inavyoonekana ni kwamba mwanaume huyo ambaye alikuwa yupo nusu utupu aliyejulikana kama Erik, alihitaji kujisogeza ili aweze kufaidi uhondo kwa karibu zaidi, na ndipo zoezi lao lilipoishia kwenye majanga pale jamaa alipopoteza uelekeo na kuanguka chini.

Erik alisema: "Mikono yangu iliteleza na nikajikuta nipo chini. Niliishia kujisikia poa ila gafla nilijikuta nipo chini."

Erik hakugundua nini kilikuwa kimetokea kwa mara ya kwanza - alikuwa ni demu wake Salina aliyeona uume wake ukiwa unatoka damu.

No comments:

Post a Comment