Showing posts with label Love And Relationship. Show all posts
Showing posts with label Love And Relationship. Show all posts

Hawa ni Makahaba Waliwafanya Marapa Mashuhuri Kuzama Kwenye Penzi Zito - Amber Rose, Blac Chyna, Maliah Michel [PICHA]

Yalipita ni zile siku ambazo ili mwanamke aweze kupata mwanaume ilibidi awe mwanamke bora kweli kweli.

Siku hizi wanaume wengi weusi hupenda kuwa na wanawake ambao kwa namna moja ama nyingine mwanzoni walionekana kuwa wameshindikana nao huchukua jukumu la kuwabadilisha kuwa mademu wa ukweli.

Kanye West kwa Amber ni mfano tosha kuwa mmoja kati ya wanaume waliowapenda wasichana walioshindikana kuwafanya wawe wanawake haswa.

Wiz Kalifa alizama kwenye mapenzi kwa Amber Rose naye aliweza kumbadilisha kuwa mwanamke anayeheshimika na jamii.

Rappa Tyga alizama kwenye mapenzi na kahaba maarufu aliyejulikana kama Black Chyna, hii ni mara baada ya kumuona akiwa anafanya kazi yake kwenye klabu moja ya usiku, kwa sasa wamechumbiana na wana mtoto mmoja.

Mfano mwengine ni kama ilivyo kwa Amber ambaye amebadilika na kuwa mwanamke anayejiheshimu tofauti na mwanzoni, kama unakumbuka aliwahi kuwa na mahusiano na Kim na Kanye.

Hii ni kuthibitisha kwamba hata wale wasichana ambao tunaona kwamba wameshindikana kabisa kwenye jamii yetu inabidi tujue kwamba nao wanaweza kubadilika na kupenda kweli.

Ishu kuu hapa ni juu ya hawa marapa au wanaume kuzama kwenye mapenzi na hawa wanawake, kuna mifano mingi ningeweza kukuwekea ila kwa hiki nnachotaka kukifikisha hapa hii michache inatosha.

Nimekuwa nikijiuliza nyota au maceleb wa kibongo kama wanaweza kufunguka na kuwa wazi juu ya kutoka na makahaba, binafsi na labda wengi wetu tunajua kwamba huwa wanakutana nao japo wengi wao hufanya kwa siri.

Je mwanaume wa Kitanzania anaweza kufunguka ya kuwa anatoka na kahaba mpaka ifike hatua ya kumuoa?

Inawezekana kwa sasa mahusiano yanayojilikana sana kumuhisisha kahaba na mwanamuziki ni kati ya Wiz na Amber, naamini hii inatokana na ukweli kuwa wanaendana.

Ikumbukwe mwanzoni Wiz alikuwa anatoka na Natalie Nunn ambaye alionekana kwenye video chafu ya Olu Mantain na katika mchakato wa video hiyo ndipo alipokutana na Amber Rose na ikawa hivyo.
Kanye alianza, alionyesha Ulimwengu kwamba mtu yeyote anweza kuwa na mahusiano ya kawaida hata akiwa na tofauti gani na ndipo mahusiano yake na Amber Rose yalipoanza.


Tyga, Black Chyna na Mtoto wao

Black Chyna
Siku hizi Black Chyna anavaa vitu vya thamani vinavyotengenezwa na wanamitindo wakubwa yote ni kwa hisani ya mpenzi wake Tyga.

Black Chyna
Labda nikukumbushe kitu kingine ambacho inawezekana ulikuwa hukifahamu, achana na Rihanna, mnamo mwaka 2009 kipindi ambacho Drake alikuwa anatoka kwenye game, alikutana na kahaba aitwaye Maliah Michel na kuzama naye kwenye dimbi la mapenzi kiasi cha kufikia hatua Drake alindika wimbo kumzungumzia msichana huyo.

Licha ya mapenzi yake kwa Riri, bado Drake alikuwa anaenda kupitia mlango wa nyuma kwa kahaba huyo, inasemekena kwamba nyimbo nyingi za Drake zinazozungumzia kuumizwa kimapenzi zimekuwa zikimlenga msichana huyo.

Drake na Maliah Michel
Kwa kumalizia tu, kama ulikuwa hufahamu, mwanamuziki Eve E na Lady Gaga kabla hawajawa wenye majina waliyonayo nao sasa pia nao walianzia kwenye makahaba.

Eve E

read more "Hawa ni Makahaba Waliwafanya Marapa Mashuhuri Kuzama Kwenye Penzi Zito - Amber Rose, Blac Chyna, Maliah Michel [PICHA]"

Naomba Msaada..! Mume wa Dada Yangu Ananitaka [BARUA]

Toka nilipohamia nyumbani kwa dada yangu, mume wake amekuwa akisumbua sana maisha yangu, kwanza alinitumia meseji na nilidhani ilikuwa ni utani, jana usiku tu, na kwa makusudi ametoka kunishika kalio langu nilipokuwa jikoni napika, hakika nilikasirika sana mpaka nilikataa kula na dada yangu aliniuliza kwa nini naonekana kama nimekasirika? Sikuwa na neno la kumjibu sababu yule mume wa dada alikuwa ananiangalia machoni.

Mchana wa leo alinitumia meseji nyingine akinieleza kwamba dada yangu anategemea kusafiri siku ya Ijumaa na atarudi Jumapili hivyo atakuwa na mimi kwa muda wote na kwa raha zake, hebu fikiria? Je nahitaji kumueleza dada yangu juu ya hili na je atajisikiaje? Sababu nisingependa kuzua matatizo kati yao.

Naomba ushauri -
read more "Naomba Msaada..! Mume wa Dada Yangu Ananitaka [BARUA]"

Mama Afunguka - Napata Hisia za Kimapenzi Pale Mwanangu wa Miezi Saba Anaponyonya Maziwa [BARUA]

Hii inashangaza sana, na mama huyu ameamua kufunguka kutokana na hali hii inayomtatiza kwa sababu kweli anahitaji msaada. Hili ni chozi lake...
   Mimi ni nesi pia ni mama mwenye mtoto na ni mke wa mtu. Huwa nalowa na wakati mwengine kuja kabisa wakati ninapokuwa namnyonyesha mtoto wangu mwenye miezi 7 ambaye ni wa kwanza kumzaa. Anaponyonya maziwa yangu... gosh!

    Nini kinaendelea kwangu? Je kuna wamama wengine ambao wanahisia kama za kwangu? Nini naweza kufanya kuifanya hali hii isiendelee? Je ndiyo kusema naanza kuwa na hisia za kufanya mapenzi na mtoto wangu au ni ni hiki hasa? Tafadhali naomba msaada wenu kimawazo!
read more "Mama Afunguka - Napata Hisia za Kimapenzi Pale Mwanangu wa Miezi Saba Anaponyonya Maziwa [BARUA]"

Inakustaajabisha: Je Haya ni Mapenzi ya Kweli?




Nitumie kile ambacho ungependa wengine wakifahamu kwenye INBOX ya Facebook au kupitia namba yangu +255787670680
read more "Inakustaajabisha: Je Haya ni Mapenzi ya Kweli?"

Nimekolea kwa Aliyekuwa Demu wa Rafiki Yangu. Je Nifanyeje?

Nimejikuta nipo kwenye mapenzi na aliyekuwa demu wa rafiki yangu. Rafiki yangu na huyu demu walikuwa kwenye mahusiano katika kipindi cha mwaka mmoja ila wakaja achana.

Kwa sasa huyu rafiki yangu ana demu mwengine na haonekani kuwa na nia ya kutaka kumrudia huyu aliyekuwa wake hapo awali ambaye kwa sasa nimejikuta nikikolea kwake.

Japokuwa ni mkubwa kwangu kwa zaidi ya miezi sita ila ukweli ni kwamba nampenda.

Naomba ushauri nini nifanye....?
read more "Nimekolea kwa Aliyekuwa Demu wa Rafiki Yangu. Je Nifanyeje?"

Sababu 12 kwa Nini Wanaume Wengi Huwaacha Wanawake Zao [MAALUM KWA WANAWAKE]

Hii maalumu kwa wasichana wote wa kitaa. Hivi umeshawahi kuwa na muda kisha ukafikiria sababu za kwa nini mwanaume wako alikuacha?

Kwa nini hakupendi? Kwa nini penzi lake kwako lilikufa? Kwa nini mwanaume wako alibadilika gafla? Kwa nini wanaume hawaingii tena kwenye dimbwi la mapenzi na wewe? Kwa nini unaendelea kuwa singo miaka na miaka?

FAHAMU: Baadhi ya sababu hizi zinaweza kuwa nyuma mbele au mbele nyuma. Baadhi ya wanaume pia hufanya hivi. Nao pia wanatakiwa wajifunze kutokana na vidokezo hivi.

1. Unadanganya Sana
Wanaume sio wajinga. Hufahamua pale wanapokuwa wanadanganywa. Usijaribu kuficha wewe ni nani sababu unafikiri jamaa hatokupenda wewe kama wewe. Huwezi kumfanya mjinga daima na mara baada ya ukweli kujitokezahatoweza kuja kukuamini tena. Hivyo ni vyema kuwa wewe kwa watu unaotoka nao.

2. Huna Shukurani Kwa Vitu Vidogo Anavyokufanyia
Baadhi ya wanaume sio wazuri katika kuelezea hisia zao, ila hujaribu kutumia njia zao mbadala. Wakati mwengine ni kwa kitu kidogo kama kuja kukuchukua na kwenda kukununulia keki akifahamu kuwa ni kitu ukipendacho. Mara nyingi matendo ya namna hii huweza kufanyika bila wewe kujua, kama mwanaume anajaribu kukuonyesha kama anajali na unakuwa kama hauoni, atafikiri kuwa wewe haujali au haumpendi. Onyesha unajali kwa jitihada anazofanya kwako.

3. Unatuma Meseji na Kupiga Simu Sana
Wanaume hupenda kujisikia wao ni muhimu. Kama muda wote mkiwa mnapata chakula cha jioni na wewe uko bize na simu yako huona kama hamuwajali. Ufumbuzi wa hili ni kwa wewe kuzima simu yako ili uweze kumpa muda wote yeye. Hakika, fikiria juu ya hilo kisha uache.

4. Wewe Ni Mtu Wa Kujichanganya Sana
Wanaume hupenda kura raha, ila pia hupenda kutulia, kama utakuwa unakwenda baa na disco kama mara tatu kwa wiki, muda sio mrefu mwanaume wako atachoka na hiyo hali. Kwanza kabisa hali hiyo haileti maendeleo kabisa na hupoteza muda kikifanywa kwa kupitiliza. Hivyo mwanume anaweza kukuacha pia kwa hilo. Kama unahitaji kuwa kwenye mahusiano ya ukweli unatakiwa uache mambo yote kutokatoka usiku. Simaanishi kwamba usiwe unatoka kabisa,ila fanya hivyo mara moja moja.

5. Kujifanya Unajua Kila Kitu
Wanawake ni watu poa: sote tunajua hili, ila baadhi ya wanawake wanhisi kuwa wanajua kila kitu, hakuna mtu anayempenda mtu anayejifanya anajua kila kitu. Unapokuwa unasisitiza kuwa jamaa yako ni hayupo sahihi inaweza sababisha ile kwako. Hata kama wakati mwengine unafahamu kwamba wewe uko sawa kuhusu jambo fulani acha yaishe. Ni vyema kumfanya mtu mwengine kuwa mshindi.

6. Usiogope Kula
Hapa kuna ukweli juu ya dunia hii: Wanaume hupenda kula chakula. Usipokula wakati yeye anakula, utamfanya ajisikie vibaya. Huitaji kula chips kuku kila siku, ila jitahidi kuleta ushirikiano pale anapokuwa anakula japo kwa wewe kuagizia japo matunda.

7. Mtu Wa Kutojitegemea Vyakutosha
Inapotokea maisha kwenda hovyo kitu cha kwanza kwako nimkukimblia kwa wazazi kwa msaada, inaweza kumfanya mwanaume ajisikie vibaya. Ni vyema kuwa na mipango ya kusaidiana, ila kama unampigia simu mama yako sababu kucha yako imeng'oka, au sababu jamaa yako hajalipa bili za vitu muhimu, au sababu ameacha hela kidogo nyumbani, ama amechelewa kurudi, kama hajala chakula ulichopika... Hii itaonyesha hutokuwa na uwezo wa kukabiliana na matatizo makubwa yakija kutokea.

8. Haufanyi Kazi Ila Unataka Kutumia Kama Millionea
Kama unahitaji kufanya manunuzi siku nzima, ni vyema ukawa na hela zako kuweza kutekeleza hilo. Wanaume hawapendi kutoka jasho kutwa nzima. Wakati mwengine wanawake wengi wanapenda ushindani, wanapenda kununua vitu ambavyo haviendani na uwezo wa kipato chao. Wanapenda kujionyesha kuwa wanacho sababu alimuona mwenzake akiwa nacho. Wanaume hawapendi hili; watakutema sababu ya kuwa mtu wa matumizi makubwa.

9. Unahitaji Umbadilishe
Wanaume hujipenda kwa vile walivyo. Wako walivyo kwa sababu, zaidi ni kwa maisha. kama hajui kuvaa unaweza kumnunulia t-sheti  mpya, ila usijlazimishe kitu chochote kwake. Kama anapenda kuvaa Jeans, T-shirts na raba simpo fahamu kuwa huo ndio mtindo wake… Usijaribu kumbadilisha aanze kuwa anavaa suti vazi ambalo hajazoe kulivaa. Fanya kumpenda kama alivyo. Kama huvutiwi na vile alivyo, mtafute mwengine atakayekufanya uwe na furaha. Ila kumbuka kuna mtu anaweza kuwa ni hodari wa kuvaa ila hana penzi la kweli na moyo wako.

10. Unashindwa Kuchagua Sehemu Ya Kula Dinner:
Kama mkitoka kwa ajili ya chakula cha usiku fanya mamuzi ya kuchagua sehemu moja na shikiria msimamo huo. Wanaume huwa hawapendi kufanya maamuzi yanayobadilika badilika. Kama unahitaji kwenda zaidi ya sehemu moja, kumbuka wikiendi ijayo pia ipo.

11. Kujifanya Kama Mwisho wa Dunia
 Hakuna kitu asichopenda mwanaume pale ambapo mwanamke anapojifanya kama ni mwisho wa dunia, labda tu sababu alikuta keki yake anayoipenda imeisha dukani alipokwenda kuinunua. Hata kama ni muhimu kwako fanya kuipotezea. Wanaume hupenda kupotezea mambo kitu ambacho nawe unaweza.

12. Kuwa Karibu Sana Na Rafiki Zake
Wanaume huwa hawaongezi marafiki mara kwa mara. Marafiki walionao huwa ni muda mrefu. Unapojaribu kuingia katikati ya mwanume wako na rafiki zake unakuwa unatengeneza vipingamizi vya wawili kati yenu. Mwanaume anaweza kukuacha sababu ya ukaribu wako na rafiki zake. Atajiona hayupo salama; ataingiwa na wivu na kuanza kupoteza uaminifu kwako hali kitu kinachoweza kumfanya akuache na hata kuwachukia rafiki zake kimoja. usiwe karibu na rafiki zake kwa sana; usiwasiliane nao bila ya yeye kufahamu labda kama yuko poa na hali hiyo. Ongea nao mara nyingi kama sio zote wakati yupo nao.

Naamini nimeyajenga kwa baadhi yenu, Fanya kuacha Comment kama nimesaidia kukupa kitu cha ziada....
read more "Sababu 12 kwa Nini Wanaume Wengi Huwaacha Wanawake Zao [MAALUM KWA WANAWAKE]"

Ameniacha na Kumfata Mwanamke Mwengine Mpya; Nifanyeje Aweze Kunirudishia Pesa Nilizomkopesha...?

Mwanamke huyu alikuwa akimpa hela mpenzi wake akitegemea kuwa angekuja kumuoa, ila mambo yakawa ndivyo sivyo....

HII NDIO STORI KAMILI

Tulikuwa na mpenzi wangu kwenye mahusiano kwa miaka mitatu na mpango wetu ilikuwa ni kufunga ndoa. Mwaka jana mwezi April alinichumbia ila kutokana na mambo ya kifamilia harusi yetu ilishindikana mwezi kama huu mwaka jana yaani November 2012. Licha ya kuvunjika kwa uchumba wetu, ila tulikuwa tukionana mara kadhaa mpaka tulipokuja kuachana rasmi mwezi August mwaka huu.

Mwanzoni nilikuwa na imani kwamba labda tungeweza kuyamaliza matatizo yetu na kusonga mbele na mipango ya ndoa ila haikutokea hivyo. Na sasa hapa ndipo kwenye tatizo...

Mwaka jana tukiwa kwenye penzi moto moto nilimpa aliyekuwa mpenzi wangu kiasi cha sh. millioni 5 kwa ajili ya mradi aliokuwa akijihusisha nao. Nilimkopesha hizo hela sababu niliamini angekuja kuwa mume wangu na kama biashara ingefanikiwa ingeweza kutusaidia wote wawili.

Ila mara baada ya kutengana na akiwa yupo na mahusiano mengine kiukweli nazihitaji hela zangu. Nimekuwa nikimuuliza kwa miezi miwili iliyopita na amekuwa akinijibu utumbo huku akiwa hapokei simu yangu.

Kiukweli biashara anayoifanya inaonekana kufanya vizuri na amekuwa akiingiza hela kwa sana.

Je ni sahihi kwa mwanamke mwengine kufarahia matunda ya jasho langu? Nazihitaji hela zangu, nifanyeje niweze kuzipata...?
read more "Ameniacha na Kumfata Mwanamke Mwengine Mpya; Nifanyeje Aweze Kunirudishia Pesa Nilizomkopesha...?"

HABARI YA UKWELI YA MAISHA: Ilikuwaje Mwanamke Huyu Alilazimishwa Kufanya Mapenzi na Mbwa na Farasi (MUHIMU ISOME)


Mwanzoni wakati Internet ilipokuja kwenye jamii ya watu wa Afrika, watu wengi waliifurahia sababu ilisaidia kupunguza msongo wa huduma za mawasiliano dunia nzima, pia iliwezesha kuboreka na kuonekana kwa umuhimu wa mawasiliano kwa ujumla.

Iliwasaidia watu wengi kuweza ku-chat, kutuma mails na hata kusaidia katika shughuli mbalimbali za kibiashara. Na kadiri muda ulivyozidi kwenda wasichana wengi walikuja kugundua wanaweza kuitumia internet kwa ajili ya kuweza kuwapata marafiki wa ku-chat au hata wenza wa maisha.

Baadhi ya wasichana wamefaidika kwa kiasi kikubwa kwa kuitumia internet kuweza kuwapata watu wa kufunga nao ndoa au kuwa nao kimahusiano. Baadhi wameingia kwenye mitego toka kwa watu wa nchi za Magharibi hadi kufikia hatua kujuta kwa nini waliifahamu internet.

Hii hapa ni stori ya kweli inayomuhusisha msichana mmoja Mcameroon aliyefahamika kwa jina Elvire Axelle Tchamakoua.

NA HIVI NDIVYO ILIVYOTOKEA;

Axelle ni kahaba ambaye alikuwa akiuzwa kwa wanaume tofauti tofauti na ambaye awali aliamini ndiyo kila kitu kwake jamaa aliyefahamika kwa jina la Jean Claude (Mfanyabiashara wa Kifaransa). Hakujali kuwahudumia wateja wake kwa huduma za mbele au nyuma. Kwake yeye matumizi ya condom akiwa kazini ilikuwa haijalishi kwa maana iliwezesha yeye na huyo mwanaume wake kuwa wanaingiza hela zaidi. Amekuwa akifanya kazi hii kwa kitambo mpaka akawa ameizoea hali hiyo. Kitu cha kushangaza ni kwamba, Exelle ni msichana mdogo mwenye umri wa miaka 24 na ana cheti cha mafunzo ya mapambo na urembo. Iweje msichana mdogo kwenye umri wake awe na tamaa ya kupata hela za haraka? Ni swali ambalo watu wengi wamekuwa wakiuliza.

Kwa mujibu wa taarifa alikutana na huyo bosi wake, Jean Claude kwenye mtandao mnamo mwezi Oktoba 2011. Walikuwa na chat za kawaida kama ambavyo mtu mwengine yeyote anavyoweza kuwa anachat na mtu asiyemfahamu. Jean Claude alimueleza msichana huyo kwamba yeye ni mfanyabiashara anayeishi Marseille (Ufaransa) na ni mtu wa biashara za kuingia na kutoka. Axelle ambaye alifikiri kwamba amepata mwanaume wa maisha yake aliendeleza mawasiliano na Jean Claude Fayard na ilipofika mwezi Machi 2012 jamaa alikwenda kumtembelea msichna huyo kwao Cameroon. Kulikuwa na sherehe kubwa kwenye makazi ya shangazi yake Axelle yaliyopo Santa Barbara ndani ya jiji la Yaounde. Siku mbili tu alizokaa Cameroon, Jean Claude akamchumbia Axelle na kumuoa kwa ndoa ya asili na ya Kanisani. Ndoa zilifanyika tarehe 18 na 20 ya mwezi Machi 2012.

Jean Claude alifanya maandilizi yote ya safari kisha wote wawili wakasafirina kwenda Ufaransa tarehe 21 Machi mwaka huo huo. Jamaa pia aliwapa familia ya Axelle hela ya kutosha kwa ajili ya kujikimu. Ila hawakujua kwamba walikuwa wanamuuza binti yao kwenye biashara ya Utumwa wa ngono, familia kwa furaha na moyo mmoja ilibariki jambo hilo na kuwaaga nao wakaelekea Ufaransa.

Ukweli juu ya mpango huu ni kwamba Jean Claude ni dalali wa biashara ya ngono (pimp) ambaye huwa anakuja Afrika na kuchukua wasichana kisha kuwapeleka kufanya utumwa wa kazi ngono nchini Ufaransa. Sababu Axelle hakuwa anafahamu juu ya hili, hakika katu asingetamani hata kufahamua internet ni nini maisha mwake. Kwani mara baada ya wawili hao kufika nchini Ufaransa, waliishi kwenye kwenye mji uliojulikana kama Clermont Ferrand kwa muda wa miezi 9 kabla ya kuhamia sehemu nyingine mpya iliyojulikana kama Lourdes. Ni kwenye mji huu ambapo Axelle alikutana na maisha magumu ambayo hakuwahi kuyafikiria maishani.

Siku chache baada ya kuwasili Lourdes, mwanaume mmoja aligonga hodi na kuingia ndani akisema alihitaji kuonana na Jean Claude. Maskini Axelle alichofahamu yeye ni kwamba, mgeni yule alikuwa ni mfanyabiashara mwenzake na mume wake.  Wakati Axelle akimuita mume wake huku akiwa anamuangalia mgeni, alishtushwa na na kauli ya mume wake iliyomwambia "fanya lolote ambalo mgeni atakutaka ufanye".

Siku chache baadae mara baada ya kutoka kazini, Jean Claude alimkalisha chini Axelle kisha akampa masharti ya kazi. Alimueleza kwamba anatakiwa kulipa hela zote alizotumia walipokuwa Cameroon. Alipiga mahesabu yaliyozidi euro 3,000, na atafanya kazi naye kwa miaka miwili mbele. Axelle ambaye ilikuwa haongei alihisi kama alikuwa anaota. Hali ilikuwa mbaya zaidi kwani Jean Claude alikusanya kila kitu cha msichana huyo vikiwemo vitu binafsi na dokumeti zake kisha akavificha. Pia msichana huyo alizuiliwa kupiga simu ya aina yoyote nje.

Kila siku alikuwa na wateja wa kiume ambao walikuwa wanakuja kwa ajili ya huduma za mbele na nyuma kwa muda wote walipohitaji huduma. Aliamrishwa kufanya chochote wateja walichohitaji. Walikuwa hawatumii kinga yoyote walipokuwa wakijamiiana. Siku moja Jean Claude alirudi nyumbani akiwa na mteja aliyekuja na mbwa. Jamaa huyo ambaye alijulikana kwa jina la Loiseau yeye aliweka hela ya malipo kwenye akaunti ya Jean Claude. Axelle ambaye hakuwa anajua kama hili litatokea alisukumwa kwenye chumba na kuamuriwa kufanya ngono na mbwa yule kitendo ambacho alikifanya. Inasemwa kwamba Jean Claude huwa anatengeneza hela nyingi pale Axelle anapofanya ngono na wanyama kitendo kilichofanya dili hizo kuwa za kila siku.

Baada ya kuridhika kwa kuona msichana huyo keshaingiliwa na mbwa, Jean Claude aliondoka na Mr Loiseau wakimuacha Axelle peke yake ndani. Baada ya kujaribu kutoroka kwa mara kadhaa, msichana huyo alifanikiwa kuvunja mlango na kukimbia mtaani ambapo alikutana na Wacameroon wenzake waliokuwa wanaishi kwenye mji huo. Walimsaidia kumpeleka Ubalozini ambapo aliwaelezea mkasa wote. Polisi nao kwa haraka wakafanikiwa kufika nyumbani kwa Jean Claude ambapo walikuta ushahidi uliothibitisha kuwa kweli alimteka msichana huyo pamoja na mashitaka mengine. Mara moja Jean Claude alikamatwa huku akiwa anasubiri hukumu. Wakati huo Axell alipanda ndege na kurudi nyumbani kwao Cameroon na moja kwa moja alipelekwa hospitali kwa vipimo na matibabu zaidi.

Angalia vile ambavyo Internet inaweza kufanya kwa vijana wa nchi zetu, sio kila king'aacho ni dhahabu.

Wapendwa kaka na dada zangu, kama kuna mmoja kati ambaye angeweza kuzisikia baadhi ya stori kusikitisha za Waafrika wanaokimbilia mataifa ya wazungu, hakika sidhani kama mtu ataweza kutaka kimbilia huko pasipo uhakika. Yote kwa yote nyumbani ni nyumbani hata kama serikali zetu na wa wanasiasa hutuangusha.

Nini ambacho binafsi yako unafikiri juu ya hili, nahitaji mchango wako....

TAFADHALI USISAHAU KU-SHRE KWA FAMILIA NA MARAFIKI... UNAWEZA KUWA UNAOKOA MAISHA YA MTU KAMA SIO YA WATU.
read more "HABARI YA UKWELI YA MAISHA: Ilikuwaje Mwanamke Huyu Alilazimishwa Kufanya Mapenzi na Mbwa na Farasi (MUHIMU ISOME)"

BARUA: Boyfriend Wangu Hunitamkia Kutaka Kunioa Wakati Tunafanya Mapenzi, Je Nifanyeje...?

Nachanganyikiwa....

Boyfriend wangu hunitamkia kwamba anataka kunioa wakati tukiwa tunafanya mapenzi.

Kwenye muda ambapo anataka kufika kileleni, huwa anasema mambo tofauti tofauti kama "naomba tuoane", au "lini unataka kuolewa?"

Ila mara baada ya kumaliza, huwa anajifanya kama hakusema lolote kati ya yale anayokuwa akisema tukiwa kitandani.

Mimi ni mtu wa aibu na nashindwa kumuuliza juu ya hicho kitu, sababu sijui nini hasa anaweza kuja kusema ama kinaweza kufata mara baada ya kumuuliza.

Nifanye nini..?
read more "BARUA: Boyfriend Wangu Hunitamkia Kutaka Kunioa Wakati Tunafanya Mapenzi, Je Nifanyeje...?"

Binti wa Miaka 22 Kwenye Penzi Zito na Baba wa Kambo (USHAURI)

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22 na kwa sasa nipo chuo…. Ninapokuwa likizo nyumbani, huwa napenda kutoka na kutembea na baba yangu kuliko mama yangu.

Nina hili tatizo, nimekuwa nikivutiwa na baba yangu licha ya kujitahidi hali hiyo isitokee inashindikan. Juzi kati wakati mama yangu alipokwenda kwenye harusi nilimshawishi baba na tukaishia kufanya mapenzi.

Kiukweli nina mpenzi ila nimejikuta nikvutiwa zaidi na baba yangu na sielewi ni kwa nini. Najisikia kufanya mapenzi naye tena na tena....

Nifanye nini kuiondoa hali hii....?

Sababu ameniambia mimi ni mtamu kuliko mama (Yeye ni baba yangu wa kambo, ila ni mtamu sana).

Naomba msaada....
read more "Binti wa Miaka 22 Kwenye Penzi Zito na Baba wa Kambo (USHAURI)"

BARUA: Mke wa Boyfriend Wangu ni Bosi Wangu Mpya, Nifanyeje...?


Wapendwa Wasomaji....

Nimechanganyikiwa, kwa maana hivi karibuni nimetoka kupata kazi na nimekuja kugundua kwamba bosi wangu ni mke wa boyfriend wangu.

Siku za nyuma tumekuwa tukikutana na mwanamke huyu, cha kushangaza ni hili nililokutana nalo, hakika limenipa mshtuko, mara baada ya kugundua kwamba mke wa boyfriend wangu ndiye bosi wangu mpya.

Ila kitu cha kushangaza juu ya hili ni kwamba, toka nimejiunga na kampuni hiyo, mwanamke huyu hajajionyesha kama ni mtu ambaye mimi na yeye tunafahamiana toka siku za nyuma.

Hakika naogopa, hivyo swali langu ni hili; Je napaswa kujifanya kwamba kila kitu kipo sawa na kwamba simfahamu huyu mwanamke..? Au bora nitimke zangu, niache kazi na kutafuta kazi sehemu nyingine...?

Kitu kinachonichanganya zaidi ni juu ya huyu mwanaume tunayechangia, kamwe sioni kama kuna uwezekano wa mimi na yeye kuachana. Na sehemu ninayofanyakazi kiukweli masirahi yake ni mazuri ambayo kila mtu angependa kufanya kazi hapo.

Tafadhali naomba ushauri, nini napaswa kufanya...?
read more "BARUA: Mke wa Boyfriend Wangu ni Bosi Wangu Mpya, Nifanyeje...?"

''Natembea na Mume wa Dada Yangu na Yeye Anataka Kunioa Mimi'' - Msichana Huyu Anataka Msaada (BARUA)

Mimi Msichana mwenye Umri wa miaka 23..

Nimekuwa kwenye mahusiano na mume wa dada yangu kwa mda wa miaka mitano sasa bila dada yangu kufahamu.


Kuna wakati huwa tunakaa pamoja yaani mimi, dada yangu na mme wake, ila wakati mwengine huwa naamua kukaa mbali nao kutokana na hali ya kujishtukia.

Mahusiano yetu yalianza kipindi nilipomaliza elimu ya sekondari uhusiano unaoendelea mpaka sasa nikiwa chuo.

Sijui hata ilitokeaje ila nimejikuta nikiingia kwenye mapenzi mazito sababu yeye ndiye aliyekuwa mwanaume wangu wa kwanza, na mpaka sasa nampenda naye ananipenda sana, na hivi sasa nipo kwenye hatua za mwisho za kumaliza chuo huku miezi michache ikiwa imebaki.


Nimemwambia inabidi tuvunje mahusiano sababu sitaki dada yangu afahamu juu ya hili ila yeye anasisitiza kuwa anataka kunioa mimi. Nimechanganyikiwa kwa sasa sababu nahitaji nitulie baada ya masomo yangu.


Je nifanyeje kuwafanya watengane..?
read more "''Natembea na Mume wa Dada Yangu na Yeye Anataka Kunioa Mimi'' - Msichana Huyu Anataka Msaada (BARUA)"

Nashindwa Kujizuia Kutofanya Mapenzi na Wateja Je Nifanyeje..? (BARUA)


Nimekuwa nikifanya mapenzi na wanaume ninao wahudumia kwenye baa moja ambapo huwa nafanya kazi na hakika nimekuwa nikijirahisisha na kutumika kiurahisi.

Ni mwanamke ambaye nipo singo na nina umri wa miaka 28. Nimekuwa nikifanya kazi ya kuuza vinywaji laini na vigumu na kwenye moja ya baa iliyopo kwenye vituo vikubwa kwa muda wa miaka mitatu sasa. Wengi kati ya wateja wetu ni madereva wa maroli, wengi wao hutokea kuvutiwa na mimi ambapo huishiakuniachia hela kama keep change. Huwa nawapa namba yangu ya simu na kuonana nao mara baada ya kazi.

Ngono ni kitu kitamu na chenye hisia za ajabu kwa maana wakati mwengine hujikuta asubuhi nikiwa nipo ndani ya roli au nikiwa na mwanaume kitandani, mtu ambaye wakati mwengine sikumbuki hata tulikuatana vipi na kuahidiana nini hasa.

Wiki iliyopita kulikuwa na mtu ambaye nilimpenda, tulifanya mapenzi matamu. Muda tu baada ya kuingia ndani tulivuana nguo na kuanza kulana denda kwa sana, alikuwa ni mstaarabu na nilivutiwa naye.

Baada ya muda tukavaa nguo bila kuongea neno lolote. Alipokuwa anaelekea mlangoni alisema "ntakutafuta". Nilijua hakuwa mkweli juu ya kuniona tena. Kwa maana ndivyo ambavyo wanaume wengi wamekuwa wakiniambia ila kiukweli huyu alikuwa tofauti.

Ila nashindwa kujizuia kuacha kulala na wanaume ambao nilishawahi kukutana nao. Wakati mwengine najisikia kama kuonyesha kuwa kweli namaanisha juu ya nnachokisema ila bado naishia kujiona mimi ni mrahisi na niliyetumika sana. Kiukweli nahitaji kuacha hili.

Nahitaji kupata mtu ambaye nitatulia naye na kuanzisha familia ila siwezi kusema hapana kwenye ngono, japokuwa wakati mwengine huwa napendelea tu ku-kiss na kushikana ila huishia pale pale, Sijui huwa nafanya nini hasa yaani ni kama sijielewi.

Kwa nini siwezi kuwa na mwanaume kwa zaidi ya usiku mmoja.....?
read more "Nashindwa Kujizuia Kutofanya Mapenzi na Wateja Je Nifanyeje..? (BARUA)"

Alikuwa na Mahusiano na Dada Yangu, kwa Sasa Tupo Kwenye Dimbwi la Mapenzi! Nifanyeje...?

Alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada yangu walipokuwa chuo pamoja miaka ya nyuma, kwa sasa mimi na huyu jamaa tunafanya Masters kwenye chuo kimoja na tupo kwenye dimbwi la mapenzi.

Dada yangu kwa sasa ameolewa, ila moyoni kama sina amani kutokana na ukweli kwamba jamaa alishawahi kutoka na dada yangu na sasa anataka kutoka na mimi pia.

Nifanye?

Lara.
read more "Alikuwa na Mahusiano na Dada Yangu, kwa Sasa Tupo Kwenye Dimbwi la Mapenzi! Nifanyeje...?"

Je ni Vibaya Kuoa au Kuolewa na Mume au Mke wa Rafiki Aliyefariki? (MUHIMU SOMA BARUA HII)

Mapenzi na Upweke
Hakika kifo ni kitu ambacho kila mmoja wetu ni lazma akipitie, wengine hupoteza maisha kwenye ujana wao na wengine hufariki wakiwa wazeee kabisa.

Katika muda wowote ule ila bado inabaki kuwa vyote ni vifo, iwe leo au kesho ila ukweli unabaki pale pale kwamba siku moja tutakuja kuyaaga haya maisha na kuwaacha wanaotupenda kuwa kwenye majonzi makubwa.

Kwa sasa wewe  ni mzima na unasoma habari hii, ningependa kukuuliza hili swali: unadhani sio sahihi kwa rafiki yako wa karibu kumuoa mkeo au kuolewa na mmeo pale utapofariki?

Wakati unatafakari juu ya swali hili, fanya kujiweka kwenye viatu hivi huku ukisoma barua hii iliyotumwa na mmoja kati ya wadau ambaye alikuwa anataka kupata ushauri na majibu toka kwetu juu ya hali hii:
 

Habari DC,

Nilikuwa na rafiki ambaye namchukulia zaidi ya best friend na tulifahamiana toka tukiwa wadogo.
Alifariki muda ama miaka minne iliyopita na mume wake anahitaji tuingie kwenye uhusiano wa ndani zaidi utakaotufikisha kwenye ndoa.
Yeye na marehemu rafiki yangu ambae alikuwa mke wake  wa ndoa walibahatika kupata watoto wawili na kwa kipindi sasa nimekuwa nikitembelea nyumbani kwake mara kwa mara kuwaona watoto sababu nimetokea kuwapenda.
Kilichopo na kinachoendelea sasa, nafikiri mume wa marehemu rafiki yangu ananiona mimi  kama mama yao hao watoto na anataka tutambulike rasmi kwa ndugu jamaa na marafiki juu ya nia yake ya kunifanya niwe mke wake.
Sijui nini cha kufanya.....
Je ni vibaya kwa mimi kuolewa na yeye...?
read more "Je ni Vibaya Kuoa au Kuolewa na Mume au Mke wa Rafiki Aliyefariki? (MUHIMU SOMA BARUA HII)"

Tennis: Federer Ashuka Nafasi ya 5, Nadal Sasa Yupo Nafasi ya 4 Kwenye Viwango vya Dunia


Roger Federer ameshuka kwenye horodha ya wacheza tenisi duniani mpaka kwenye nafasi ya tano, hiki ni kiwango cha chini kabisa toka aliposhika nafasi hiyo mnamo tarehe 23 June 2003, wiki mbili kabla hajashinda taji lake la Wimbledon kwa mara ya kwanza kati ya rekodi zake 17 za ushindi wa Grand Slam.

Baada ya kushindwa kuiona wiki ya pili ya michuano ya Wimbledon ya 2013, akitolewa kwenye mashindano ndani ya raundi ya pili na Sergiy Stakhovsky, Federer, 31, sasa ameanguka kwa nafasi mbili chini toka nafasi ya tatu aliyokuwa anashikilia.

Muingereza wa kwanza kutwaa taji hilo toka mwaka 1936, Andy Murray, 26, ameendelea kushika nafasi ya pili, nyuma ya mshindi wa pili wa michuano hiyo kwa mwaka huu Novak Djokovic.

Rafael Nadal, ambaye alishinda taji la French Open, kwa sasa anashika nafasi ya nne nyuma ya Mspanishi mwenzake David Ferrer, ambaye alifika robo fainali.

Serena Williams ambaye alitolewa kwenye michuano hiyo na Mjerumani Sabine Lisicki kwenye raundi ya nne bado anaendelea kuongoza ka upande wa wanawake, akishikilia nafasi ya kwanza ya viwango vya wanawake wacheza tenisi Duniani.
read more "Tennis: Federer Ashuka Nafasi ya 5, Nadal Sasa Yupo Nafasi ya 4 Kwenye Viwango vya Dunia"

Je Unaweza Kumuamini Rafiki Yako kwa Mpenzi Wako...?


Swali la Siku: Je Unaweza kuamini rafiki yako na mpenzi wako...?
read more "Je Unaweza Kumuamini Rafiki Yako kwa Mpenzi Wako...?"

Mpenzi Wangu Ameniacha Kwakuweka Picha Hii Facebook


Msichana huyu anahitaji msaada na ninadhani kwamba ni vyema kkwa upata ushauri toka vyanzo mbalimbali kunaweza kumsaidia kupata ufumbuzi wa ishu yake.

Siku njema kwenu wote. Nimekuwa nikifikiria sababu moja iliyomfanya mpenzi wangu anipende ni kwamba yeye anafahamu kuwa mimi huwa napenda picha kuliko kitu chochote, na mpaka ikafikia kipindi nikifikia uamuzi wa kununua kamera moja ya gharama sana.


Kwenye picha kati ya nyingi nilizokuwa najipiga nikagundua kwamba nimeipenda picha hii sana tu na nikataka rafiki zangu waione na hata watoe maoni yao, hivyo nikaamua kuiweka kwenye facebok.

Huwezi amini kilichotokea mara baada ya kuweka tu picha hiyo jamaa yangu akaniacha. Tafadhali nahitaji mnisaidie sababu nampenda sana....!
read more "Mpenzi Wangu Ameniacha Kwakuweka Picha Hii Facebook"

Je Kutembea na Wavulana 15 ni Idadi Kubwa kwa Msichana Mwenye Miaka 22...?

 
Mara zote nilikuwa nikipanga kwamba nitabaki na bikira yangu mpaka nitakapokuja kuolewa...

Nilijitahidi kubaki na msimamo huo mpaka nilipofikisha umri wa miaka 22 bikira yangu nikaipoteza japo nilikuwa naipenda sana.

 Ni mwaka wa 4 sasa na nimeshatembea na wanaume zaidi ya 15, kwa sasa nipo kwenye mahusiano ambayo naamini yanaweza kunifikisha mpaka kwenye ndoa.

Siku moja mpenzi wangu aliniuliza kabla ya kuwa na yeye nilishakuwa na wanaume wangapi nilijisikia aibu sana kutaja idadi ya ukweli na nikamjibu watano...!

Je kutembea na wavulana 15 ni idadi kubwa..? Je ni idadi gani ya wanaume kwa umri nilionao ni sahihi...?
read more "Je Kutembea na Wavulana 15 ni Idadi Kubwa kwa Msichana Mwenye Miaka 22...?"

Wanawake Wenye Tattoo Ni Rahisi Zaidi Kufanya Mapenzi Kwenye Siku Ya Kwanza (UCHUNGUZI)

Najua wanawake wengi wanaweza kutoipenda hii habari (Hasa wale wenye tattoo). Ila kwa mujibu wa Profesa mmoja wa Kifransa amesema, kama wewe ni msichana mwenye tattoo ni rahisi ukalala na mwanaume siku ya kwanza mnapokutana.
 
Pia amesema wanawake wenye tattoo huwa ni wenye mvuto zaidi ni rahisi kuingilika.
 
Matokeo ya utafiti huo yamekuja baada ya timu kutoka Chuo cha de Bretagne-Sud cha nchini Ufaransa kuzunguka na kupita kwenye fukwe mbalimbali na kuja na matokeo hayo.

Wanawake 11 wenye umri kiasi wamegundulika kuwa ndio wenye mvuto zaidi nje ya kundi la wanawake 58 waliotembelea fukwe mara 20 katika kipindi cha majira ya joto, na asilimia 50 kati yao huweka tattoo za muda chini kidogo nyuma ya miili yao, tattoo ambazo baadae huwa wanakuja kuzifuta.
read more "Wanawake Wenye Tattoo Ni Rahisi Zaidi Kufanya Mapenzi Kwenye Siku Ya Kwanza (UCHUNGUZI)"