Mrembo Anaswa na Kamera Pale Arsenal Ilipoifumua Fenerbahce


Ok.. Hakika timu ya Arsenal ilicheza mchezo mzuri na wakuvutia ila mshabiki huyu wa Fenerbahce alibahatika kupata tuzo ya muonekano bora kwa usiku ule.

Timu ya Arsenal ilibidi iweke shida zake za hivi karibuni pembeni na kuweza kufanikiwa kiulaini kuifunga Fenerbahce  kwa bao 3-0 ndani ya Istanbul.

Unamuonaje Blonde huyu, Je ni Mkali....?
read more "Mrembo Anaswa na Kamera Pale Arsenal Ilipoifumua Fenerbahce"

Brandy Aimba Kwenye Uwanja Mtupu

Brandy
Mwanamuziki Brandy alipangwa kufanya show ya kushtukiza pasipo watu kupewa taarifa yoyote kwenye Siku ya Nelson Mandela ya Michezo na Utamaduni, ila kutokana na mashabiki kutokuwa na taarifa karibia wote walitoka uwanjani hapo kwenye muda ambao mwanamuziki huyo alipopanda jukwaani.

Kwa kukumbusha tu ni kwamba, uwanja wa FNB uliopo Soweto, Afrika Kusini ulikuwa na wageni 90,000 waliofurika kwa siku nzima. Brandy alipojitokeza kwenye wakati wake muafaka ni watu kama 40 pekee waliokuwa wamebaki.

"Brandy ameimba kwenye uwanja mtupu. Huku taa zikiwa zimewaka uwanjani hapo," mwanamuziki Kabomo ali-tweet.

Uwanja wa FNB
Kutokana na hali hiyo inaelezwa kwamba Brandy hakuweza kuimba kwa muda mrefu. "Watu hawakuwa wanafahamu kwamba kutakuwa na tamasha baada ya michezo. Hakuna aliyekuwa anajua kwamba Brandy alikuwepo. Labda watu 40 ndio walishuhudia," Kabomo aliandika kwenye mtandao wa kijamii. "Alisitisha kuimba na kuondoka baada ya kuimba nyimbo mbili tu".
read more "Brandy Aimba Kwenye Uwanja Mtupu"

Bongo All Stars - Tokomeza Zero (AUDIO)


Huu ni wimbo uitwao Tokomeza Zero ambao umefanywa na nyota wakali wa Mziki wa Kizazi Kipya akiwemo Mwana FA,  Mwasiti, Diamond, Maunda Zorro, Peter Msechu, Stamina, Linah, Roma Mkatoliki, Linex, Keisha na Kala Jeremiah.

Lengo kuu la wimbo huu ni kuhamasisha Elimu na kukumbusha Wajibu na Jukumu la kila muhusika katika sekta hii anawajibika ipasavyo katika kusimamia Elimu na Matunda bora kwa kizazi cha sasa na baadae.

Wimbo huu Umetungwa na Kuandikwa na Lameck Ditto na kutayarishwa na Tudd Thomas.


Sikiliza na Download Hapa...

read more "Bongo All Stars - Tokomeza Zero (AUDIO)"

Japo Neno Moja Kwa Huyu Mtu...

Usain Bolt

read more "Japo Neno Moja Kwa Huyu Mtu..."

Tiketi za Kombe la Dunia 2014 Zaanza Kuuzwa


Tiketi kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia zitakazofanyika nchini Brazil mwakani zimeanza kuuzwa kupitia kwenye mtandao wa FIFA.

Jumla ya tiketi millioni 3.3 zinategemea kuuzwa kwenye ajili ya michuano hiyo.

Bei ya tiketi inategema kuwa kati ya $90 kwenye raundi ya kwanza ya michuano hiyo mpaka kiasi cha $990 kwenye mechi ya mwisho ya fainali itaakayofanyika kwenye uwanja wa Maracana ndani ya jiji la Rio de Janeiro.
read more "Tiketi za Kombe la Dunia 2014 Zaanza Kuuzwa"

Sammy B - Mwana (AUDIO)

Sammy B

Sikiliza na Download Hapa...

read more "Sammy B - Mwana (AUDIO)"

Biz za Machiz By FidoVato - Making the Video & Behind The Scenes









read more "Biz za Machiz By FidoVato - Making the Video & Behind The Scenes"

Cheki Mshabiki wa Arsenal Akimbwatukia Wenger Kumtaka Atumie Hela Kusajili Wachezaji (PICHA)

Mshabiki na Wenger

read more "Cheki Mshabiki wa Arsenal Akimbwatukia Wenger Kumtaka Atumie Hela Kusajili Wachezaji (PICHA)"

Pope Francis Amuonya Mchezaji wa Italia Mario Balotteli

Pope na Balotelli
Hivi karibuni Pope Francis aliwapa somo nyota wa mpira wa miguu akiwemo Lionel Messi na Mario Balotelli juu ya majukumu yao, akiwaeleza “hakuna nafasi ya mtu mmoja mmoja”.

Pope aliongea na wachezaji hao wa timu za Taifa za Italy na Argentina jijini Vatican kwenye mkesha wa mechi ya kirafiki baina ya timu hizo mbili jijini Rome.

Aliwaambia alikuwa yupo njia panda juu ya timu ya kuishangilia, akisema: “Itakuwa ni ngumu kwangu, ni bahati nzuri tu ni mechi ya kirafiki! Na tuwe na hakika kwamba ipo hivyo.”

Pope mwenye umri wa miaka 76, ni mshabiki wa muda mrefu wa klabu toka Argentina iitwayo San Lorenzo, aliwataka wachezaji wa timu hizo kuhakikisha wanatumia umaarufu wao kuonyesha mifano bora kwa mashabiki wao.

“Ninyi, wachezaji wapendwa, ni mashuhuri sana. Watu wanafata mifano yenu, ndani na nje ya uwanja. Mna majukumu ya kijamiii”.
 
Pia alimtania mchezaji wa AC Milan, Balotelli, ambaye mara nyingi amekuwa akiandikwa kwenye vichwa vya habari kutokana na tabia mbaya, akisema: “Hapa Vatican, wananiambia kwamba mimi sina nidhamu!”
Pope Akiwa na Messi na Buffon

Pope Akiwa na Wachezaji wa za Taifa za Italia na Argentina
read more "Pope Francis Amuonya Mchezaji wa Italia Mario Balotteli"

TBC fm TOP 20 Wiki Iliyoishia August 18

1. Pesonally  - P Square {#1wk3}
2. Yahaya - Lady JD
3. Kama Huwezi - Rama Dee Feat. Lady JD
4. I Love You - Kassim Mganga
5. Bila Kukunja Goti - Mwana FA & AY Feat. J Martin 
6. Majanga - Snura {#1wk2}
7. Nakupenda Pia -Wyre Feat. Alaine 
8. Antenna - Fuse ODG 
9. Nani Kamwaga Pombe Yangu -  Madee Feat. Raymond {#1wk4}
10. Nikumbatie - Joh Makini Feat. Fundi Samweli
11. Wasi Wasi - Vumbe
12. Weka Ngoma - Darasa Feat. Ditto
13. Joto Hasira - Lady JD Feat. Prof. Jay {#1wk4}
14. Sina Imani - Shetta Feat. Richie Mavoko
15. Tupogo - Ommy Dimpoz Feat. J Martin
16. My Baby - Quick Racka Feat. Ngwea & Shaa
17. Ukimona - Diamond
18. Love Me - Izzo B Feat. Barnaba & Shaa
19. Nakomaa Na Jiji - Shilole {MPYA}
20. Muziki Gani - Ney Wamitego Feat. Diamond {#1wk4}

Kila siku ya Jumapili Saa 8 mpaka 10 Jioni kupitia TBC fm na Dan Chibo


read more "TBC fm TOP 20 Wiki Iliyoishia August 18"

Maswali ya Msingi Kujiuliza Juu ya Huyu Trafiki Feki


Hii habari ya yule trafiki feki aliyekamatwa na kudai alifanya kazi hiyo kwa miaka kumi na tano na kwamba alirithi sare kutoka kwa ndugu yake, inanipa maswali ambayo ningependa unisaidie majibu yake:-

1. Kwa miaka yote hiyo ni kwamba zile sare zilikuwa hazichakai ama..?
2. Kwa miaka yote hiyo imewezekana vipi afanye kazi hiyo pasipo kujulikana na alitumia mbinu gani kufanikisha utapeli wake...?
3. Kwa miaka yote hiyo alikuwa anasimama barabarani peke yake na jeshi la polisi lilikuwa wapi kushindwa kumbaini mfanyakazi wao feki...?
4. Je unadhani anastahili adhabu au labda anahitajika kuongezewa elimu ya utrafiki ili aendeleze fani maana kaonyesha kuwa ana vipaji vingi..?
5. Na je kama huyu kabainika je unadhani ni wangapi wa aina yake watakuwa wameenea mabarabarani ambao mpaka sasa hawajabainika...?
6. Jeshi la Polisi tunaliweka kwenye nafasi gani kutokana na ishu hii...?

read more "Maswali ya Msingi Kujiuliza Juu ya Huyu Trafiki Feki"

Friday DADAz Nite Ndani ya GALAPO Club MASAI Ilala Usiku wa Leo (Ijumaa)

 Friday DADAZ NiTe is Back.. @GALAPO Club MASAI (Ilala)
Ijumaa HII na kila IJUMAA kwa Warembo na Ma'staa wa Bongo..
Usiku wa LEO Swagga ni WEWE kwa YAKO ITUPIE utakavyo...
Ngoma KaLi kwenye Milazo ya Kufa Mtu na Dj Mickie Love (Michael Saduka) na Dan Chibo Mpk CHWEEE....
Kama KaWa DADAz ni FREE na KAKAz ni Bk/-4 tu...


Ni Kuanzia saa 3 Usiku, Legoooo.....!
read more "Friday DADAz Nite Ndani ya GALAPO Club MASAI Ilala Usiku wa Leo (Ijumaa)"

Je ni Sahihi kwa Mama Kumnyonyesha Mtoto Kwenye Mikusanyiko ya Watu...?

Mama na Mwana
Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia baadhi ya wamama wakiwa wanawanyonyesha watoto zao kwenye kadamnasi ya watu, hususani kwenye magari ya jamii kama daladala na safarini.

Je unadhani ni sahihi na ni kitendo cha kistaarabu na kama sio ni nini hasa huyu mzazi alistahili kufanya ili aweze kumnyamazisha mtoto anayelia kwa sababu ya njaa?

Upi mchango wako juu ya hili.....
read more "Je ni Sahihi kwa Mama Kumnyonyesha Mtoto Kwenye Mikusanyiko ya Watu...?"

Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama Kutoa Album ya Hip Hop

Michelle Obama
Michelle Obama anategemea kuachia album ya hip hop. Na hapa ni hivi, hapana, ila yeye hautomsikia akishuka mistari.
 
Katika jitihada zake mfululizo wa kupigania matizo ya watoto kupitia kampeni inayoitwa “Let’s Move!”, First Lady huyo ameungana na vikundi vya Healthier America na Hip Hop Public Health Foundation ili kuzindua album hiyo yenye mchanganyiko wa wasanii watakaotoka na album yenye nyimbo 19, huku lengolikiwa ni kuwashawishi watoto kujifunza namna nzuri kuchagua vyakula vyenye afya.

Wasanii kama Run DMC, Ashanti, Doug E. Fresh, Monifah na mshindi wa shindano la American Idol Jordin Sparks wote wanashiriki kuchangia sauti zao kwenye album hiyo ambayo itaitwa Songs for a Healthier America.
read more "Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama Kutoa Album ya Hip Hop"

Polisi Wamkamata Aliyemuua Msuya

Said Mwema
Polisi wamefanikiwa kumtia mbaroni mfanyabiashara tajiri wa madini ya Tanzanite huko Mirerani anayetajwa kuwa ndiye aliyepanga na kukodi watu waliomuua bilionea Erasto Msuya.

Habari za uhakika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi zimedai kuwa mfanyabiashara huyo alikamatwa mwishoni mwa wiki na jana na juzi alikuwa akihojiwa na makachero.

Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, mfanyabiashara huyo ndiye aliyetoa fedha za kununulia pikipiki mbili zilizotumika katika mpango huo na pia alitoa fedha kwa ajili ya kununua simu mpya na laini mpya.

“Tumewakamata watu wametupa mwanga mzuri na huyo mfanyabiashara ndiye aliyetoa fedha za kununua pikipiki na siku moja kabla ya tukio zilihifadhiwa nyumbani kwake,” alidokeza polisi mmoja.

Habari hizo zimedai kuwa polisi pia imewahoji mawakala wa kampuni za simu ambao walitumiwa kusajili laini mpya za simu zilizotumika kumpigia marehemu na kutumika kupanga mauaji hayo.

Pikipiki hizo mbili, zilinunuliwa siku moja kabla ya tukio zikahifadhiwa nyumbani kwa mfanyabiashara huyo hadi siku iliyofuata ambapo aliwakabidhi wauaji na zote zimekamatwa.

Mahojiano kati ya mfanyabiashara huyo na Polisi yamekuwa yakifanyika kwa siri na katika kituo cha polisi (jina tunalo) na kwamba mambo ni mazuri lakini hakitatajwa jina lake.

“Tumewakamata watu wametupa mwanga mzuri 
na huyo mfanyabiashara ndiye aliyetoa fedha za kununua pikipik
 na siku moja kabla ya tukio zilihifadhiwa nyumbani kwake,” 

Taafira
Polisi.

CHANZO: Gazeti MWANANCHI
read more "Polisi Wamkamata Aliyemuua Msuya"

Sitatokea Hadharani Mpaka Nirudi Kwenye Umbo Langu - Kim Kardashian (PICHA)

Kim Kardashian
Kesho itakuwa ni mwezi wa pili toka Kim Kardashian alipojifungua mtoto wake wa kike aliyepewa jina la North West, na hakika mvuto wa kipindi ambacho huwa anashiriki kwenye TV umekuwa ni mdogo kutokana na kutokuwepo kwake toka alipojifungua na kuitwa mama.

Hii ni kutokana na yeye kukataa kuonekana kwenye jamii mpaka pale atakaporejea kwenye umbo lake la awali, chanzo kimoja kimeieleza US Weekly, hakuna sababu ya msingi iliyoelezwa kwa yeye kujificha nyumbani kwa mama yake maeneo ya Calif, “moja kwa moja ni ile hali anayoiona juu ya umbo lake.”

Kim hakuweza kuhudhulia kwenye shughuli ya dada yake mdogo Kylie iliyofanyika Nobu Malibu mnamo Aug. 10, huku akielezea kuwa alishindwa kupata gari la kumbebea North kama ndiyo sababu iliyomfanya ashindwe kuhudhulia.

Kim “alisema akija toka nje na kupigwa picha kwa mara ya kwanza anahitaji kuonekana mwenye mvuto, mkali na moto,” chanzo toka ndani ya familia kililieleza jarida hilo, huku kikiongeza kwamba lengo ni kushuka na kufikisha uzito wa paundi 115.

Mpaka sasa Kim ameshakata uzito wa paundi 30 chanzo hicho kilisema, kazi kubwa imekuwa ni katika kuzimalizia nyingine 30.

Kim Alipokuwa Mjamzito
read more "Sitatokea Hadharani Mpaka Nirudi Kwenye Umbo Langu - Kim Kardashian (PICHA)"

Wacheki Waschana Hawa Wanavyojiacha Watupu Sababu ya Matamasha (PICHA)


Haya ni mambo ambayo yanaonekana kuongezeka kwa kasi kwa siku za hivi karibuni, wanawake wengi wamekuwa hawaheshimu maumbile yao kama ambavyo ilikuwa kwa wanawake wa miaka ya nyuma (zamani) katika kipindi ambacho watu walikuwa wakikuwa kiumri kama ilivyo kwa sisi katika kipindi hiki.

Angalia picha zaidi hapo chini [Pekee kwa 18+]...


Je wanawake wanahitaji kufika mbali kote huku kimavazi pale wanapokuwa kwenye matamasha...?
read more "Wacheki Waschana Hawa Wanavyojiacha Watupu Sababu ya Matamasha (PICHA)"

Kanye West Anunua Gari Mbili za $1.2 Million Kila Moja Ili Kuilinda Familia Yake (PICHA)


Kwa mujibu wa taarifa, Kanye West ametumia kiasi cha $1.2 million kila moja kwa ajili ya ya kununulia magari mawili za kuwalinda Kim K na mtoto wao wa kike, North.

Gari hilo la chuma lenye rangi ya dhahabu ambalo linalotengenezwa na Dartz Motorz (kwenye picha juu) linasemekana kuwa lina mazingira yanayosaidia kukwepa vitendo vya utekwaji, uporwaji na aina nyinginezo za matatizo ambayo mara nyingi huwapata watu matajiri mitaani'

Gari hii imetengenezwa kwa namna ambayo hata likipigwa na mabomu madogo kama aina ya grenade lina uwezo wa kustahimili mikiki yake.

'Kanye anafahamu fika familia yake mpya inaangaliwa na wengi, na malengo yake ni kuhakikisha anayapata magari hayo mapema na hasa lile la Kim katika kipindi ambacho atakuwa hajaanza ziara yake ya kimuziki ndani ya US ndani ya mwezi October,'  chanzo kiliieleza Daily Star.
read more "Kanye West Anunua Gari Mbili za $1.2 Million Kila Moja Ili Kuilinda Familia Yake (PICHA)"

Mwanamitindo Naomi Campbell Ajiachia na Bikini Matata (PICHA)

Kwenye Pozi
 Mwanamitindo Model Naomi Campbell akiwa ametulia na bikini nyeupe kwenye boti ndani ya Formentera, Spain juzi kati (Aug. 11).

Naomi mwenye umri wa miaka 43 alionekana akiwa mwenye furaha sambamaba na marafiki. Kwa wiki nzima sasa Campbell amekuwa akila bata ndani ya Hispania, alichomoza akiwa na akiwa na bikini hiyo nyeupe maeneo ya Marbella mnamo siku Jumapili.

Naomi Campbell
read more "Mwanamitindo Naomi Campbell Ajiachia na Bikini Matata (PICHA)"

Mugabe Akubali Kuuza Uranium kwa Iran

Rais Robert Mugabe Akimkaribisha Rais wa Iran Mahmoud Ahmadinejad Mwaka 2010
Serikali ya Zimbabwe imeingia mkataba wa siri kwa ajili ya kuiuzia Iran mali ghafi zinazosaidia kutengeneza vifaa vya nyukilia, hii ikiwa ni kinyume na sheria za kimataifa.

“Nimeuona (Mkataba wa mkataba wa awali) [a memorandum of understanding] wa kusafirisha madini ya uranium kwa wa Iran,” alisema Naibu Waziri wa Madini wa Zimbabwe, Gift Chimanikire.

Makubaliano hayo ambayo inataarifiwa kwamba yalitiliwa saini mwaka jana, yanategemea kugonga vichwa vya Miji ya Mataifa ya Mashariki.

Marekani na Muungano wa Ulaya walishaweka vikwazo kwa nchi ya Iran juu mpango wake kinyukilia na taarifa toka Tehran zilisisitiza mpango juu ya nishati hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya nguvu ya matumizi ya kawaida ya kinishati, kitu ambacho Marekani sambamba na Umoja huo wa Ulaya walihofia kuwa huenda ilikuwa ni kwa ajili ya kutengeneza mabomu.
read more "Mugabe Akubali Kuuza Uranium kwa Iran"

Hatimaye Queen Latifah Azungumzia Juu ya Ishu Inayomuandama ya Usagaji (PICHA)

Queen Latifah Akiwa na Janette Jenkins
Mara zote amekuwa ni mtu wa kutopenda kuzungumzia maisha yake ya ndani, kitu ambacho kimekuwa ni mjadala mkubwa miongoni mwa mijadala inayomuhusu yeye.

“Sidhani kama inahitajika kujadili juu ya maisha yangu binafsi kwenye show hii au hata show nyingine,” alisema Latifah alipokuwa akiongea huku akiwa anapata mlo wa mchana.

“Kuna sehemu ya maisha yangu ambayo jamii na mimi tunashirikiana, ila kuna maisha ya sehemu nyingine ambayo ni yangu pekee ambayo inabidi yawe yangu, kivyangu vyangu.” alisema Queen Latifa.

“Ni jukumu lake kuchagua kipi ambacho angependa kuongea,” alisema Holly Jacobs, muongozaji mkuu wa vipindi vya Sony Pictures Television. “Haiwezekani kuwa sawa, kwangu mimi sababu tunafanya kipindi kikubwa, kipindi cha uburudishaji na kufurahia maisha yote.

Kuna tofauti kati ya kuzungumzia maisha binafsi ya mtu na mtazamo wa mtu pamoja na upokeaji wa wanadamu kwa vile wanavyoliona jambo au kulitafsiri.

Na naheshimu kwamba watu wanahitaji kuweka mipaka kwa chochote wanachohitaji kukizungumzia.”
read more "Hatimaye Queen Latifah Azungumzia Juu ya Ishu Inayomuandama ya Usagaji (PICHA)"

Wamiliki 10 Matajiri wa Vilabu vya Soka Duniani, Sheikh Mansour wa Man City Hayumo


10. Roman Abramovic (Chelsea, England) $10.2 billions

9. John Fredricksen (Velerenga, Norway) $11.5 billions

8. Paul Allen (Seatle Sounders, United States) $15.0 billions.

7. Francois Pinault (Stade Rennes, France) $15.0 billions.

6. Rinat Akhmetov (Shakhtar Donetsk, Ukraine) $15.4 billions.

5. Lakshmi Mittal (Queens Park Rangers, England) $16.5 billions.

4. Alisher Usmanov (Arsenal, England) $17.6 billions.

3. George Soros (Manchester United, England) $19.2 billions.

2. Amancio Ortega (Deportivo La Coruna, Spain) $57 billions.

1. Carlos Slim (Club Pachuca, Mexico, Club Leon, Mexico, Real Oviedo, Spain) $73.0 billions.

DOKEZO: Sheikh Mansour, mmiliki wa timu ya Manchester City na Nasser Al-Khelaifi, mmiliki wa PSG wameachwa kwenye horodha hii sababu utajiri wao ni wa kifamilia na hapa wa waliokuwa wanaangaliwa ni wale wenye utajiri binafsi....

CHANZO: Sulia.com
read more "Wamiliki 10 Matajiri wa Vilabu vya Soka Duniani, Sheikh Mansour wa Man City Hayumo"

Bilionea Msuya Kuzikwa Leo, Jeneza Lafunguliwa kwa ‘Rimoti’

Marehemu Erasto Msuya
Mazishi ya kifahari yanaandaliwa na familia ya marehemu Erasto Msuya, huku ikielezwa kuwa jeneza litakalotumika kubeba mwili wake linafunguka kwa kutumia ‘rimoti’

Msuya aliyeuawa wiki iliyopita, anazikwa leo huku familia ikitangaza kutokulipiza kisasi kwa waliohusika, badala yake wamemwachia Mungu.
Kinachovutia katika msiba huo ni jeneza lililobeba mwili wa mfanyabiashara huyo lililoagizwa Nairobi, la aina yake huku likifunguliwa kwa kutumia ‘rimoti’.
Jeneza hilo lililoagizwa kutoka Kampuni ya Montezuma & Monalisa Funeral Home, linafunguliwa kwa kubonyeza kifaa maalumu hata mhusika anapokuwa mbali.
Hali hiyo ilionekana kuwaacha na mshangao maelfu ya waombolezaji waliofika kuaga mwili wakati wa ibada iliyofanyika nyumbani kwake, Kwa Iddi, wilayani Arumeru.
Mfanyabiashara huyo aliyeuawa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 20 na watu wasiojulikana, anazikwa leo nyumbani kwao eneo la Kairo Mirerani, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara.
Kaka wa marehemu, Israel Msuya, alisema jana kuwa mazishi hayo yatafanyika makaburi ya familia ya mzee Elisaria Msuya ‘Kikaango’, baba wa marehemu Erasto.
Kwa mujibu wa Kamati ya Maandalizi ya mazishi hayo inayoongozwa na kaka mkubwa wa familia ya Msuya, Gady, zaidi ya Sh100 milioni zimepangwa kugharimia shughuli za maombolezo na mazishi.

"zaidi ya Sh100 milioni zimepangwa
kugharimia shughuli za maombolezo na mazishi"
  
Imesema
Kamati ya Mazishi

CHANZO: Gazeti Mwananchi
read more "Bilionea Msuya Kuzikwa Leo, Jeneza Lafunguliwa kwa ‘Rimoti’"

Pafyumu ya Beyonce Yatajwa Kuwa Bora Kati ya Pafyumu za Watu Mashuhuri Duniani


Pafyumu ya mwanamuziki maarufu toka nchini Marekani Beyonce Knowles iitwayo Heat (Catch The Fever) imetajwa kuwa ndiyo pafyumu bora kimauzo miongoni mwa pafyumu za watu mashuhuri Duniani kwa sasa.
read more "Pafyumu ya Beyonce Yatajwa Kuwa Bora Kati ya Pafyumu za Watu Mashuhuri Duniani"

Je Umeshawahi Kumuona Cheetah Akicheza Mpira wa Miguu...? Huyu Hapa... (PICHA)

Aina hizi za Cheetah wanaocheza mpira wa miguu huwa hawana haja ya kufata sheria rasmi za mchezo huo. Wageni kwenye Lodge ya Akwaaba iliyoyo Rustenburg, Afrika Kusini hufanikiwa kuona vipaji vya paka hawa wakubwa kwenye sehemu ya wazi ya eneo hilo.

Cheetah hawa ambao ni kaka na dada wanaojulikana kwa majina ya Lucky na Leila wameishi na kukuzwa na binadamu toka walipokuwa wadogo mpaka sasa wakiwa na uwezo wa kukimbia kilometa 70 kwa saa.

Wanyama hawa wenye umri wa miaka minne sasa mbali ya uwezo wa kukimbia kwa kasi pia wana uwezo wa kupokea pasi, kukokota mpira na kutoa pasi.

Chini ni maelezo kwa picha.....

READ MORE:  http://news.naij.com/42286.html







read more "Je Umeshawahi Kumuona Cheetah Akicheza Mpira wa Miguu...? Huyu Hapa... (PICHA)"

Kutana na Waschana Hawa Walioamua Kutembea Mitaani Wakiwa Wamevaa Jeans na Bra tu.... (PICHA)

Nini ni hasa ambacho kinaweza ingia akilini kwako kutokana na kitendo cha waschana hawa kuamua kutembea mitaani wakiwa wamevaa pea ya jeans, viatu virefu na bra pekee....?

Hakika si kitu kingine bali ni moja kati ya sehemu za promosheni ya aina mpya ya InvisaBra ambayo haina mikanda au kamba za kushikilia (strapless, backless brĂ¡) ikifahamika kuwa moja kati ya aina ya bra iliyochota mioyo ya wanawake wengi Duniani kwa sasa.

Wiki iliyopita mitaa ya Regent, jijini London ilikumbwa na kisanga hiki ikishuhudia waschana wapatao kumi hivi wakionekana kupita mitaa hiyo huku wakiwa wamevaa viatu virefu, jeans za blue na bra hizo.
read more "Kutana na Waschana Hawa Walioamua Kutembea Mitaani Wakiwa Wamevaa Jeans na Bra tu.... (PICHA)"

TBC fm TOP 20 Wiki Iliyoishia August 11

1. Pesonally  - P Square
2. Yahaya - Lady JD
3. Kama Huwezi - Rama Dee Feat. Lady JD
4. Majanga - Snura
5. I Love You - Kassim Mganga
6. Bila Kukunja Goti - Mwana FA & AY Feat. J Martin 
7. Nani Kamwaga Pombe Yangu -  Madee Feat. Raymond
8. Antenna - Fuse ODG 
9. Nakupenda Pia -Wyre Feat. Alaine 
10. Joto Hasira -Lady JD Feat. Prof. Jay
11. Nikumbatie - Joh Makini Feat. Fundi Samweli
12. Sina Imani - Shetta Feat. Richie Mavoko
13. Shout Up - Jos Mtambo Feat. Pipi 
14. Wasi Wasi - Vumbe
15. Ukimuona - Diamond
16. Muziki Gani - Ney Wamitego Feat. Diamond
17. Weka Ngoma - Darasa Feat. Ditto
18. My Baby - Quick Racka Feat. Ngwea & Shaa
19. Love Me - Izzo B Feat. Barnaba & Shaa
20. Nakomaa Na Jiji - Shilole {MPYA}

Kila siku ya Jumapili Saa 8 mpaka 10 Jioni kupitia TBC fm na Dan Chibo
read more "TBC fm TOP 20 Wiki Iliyoishia August 11"

Mke Amuokoa Mume Aliyetaka Kujiua Toka Ghorofani kwa Kushikilia Boxer

Mwanamke Huyu Ilibidi Amshikilie Jamaa kwa Dakika 20 Mpaka Waokoaji Walipofika
Mwanaume mmoja aliyetaka kujiua ilibidi aokolewe mara baada ya kujirusha toka ghorofani na mkewe kuwahi kuikamata boxer yake.

Mashahidi wanasema Ling Su alining'inia kwa muda wa dakika 20 kabla ya mapolisi na waokoaji kufika.
 
Alikuwa ananing'inia toka kwenye ghorofa ya sita maeneo ya Changchun, jimbo la Jilin, mashariki ya China.
 
Mlango kwenye nyumba hiyo ulikuwa umefungwa, kitendo kilichozuia shughuli ya uokowaji huo kuwa wa haraka.
 
'Tulisikia sauti na kelele na kulikuwa na mtu akinaning'inia dirishani huku mke wake akiwa ameishikilia boxer yake,' alisema mpita njia mmoja.

'Hakika alikuwa na nguvu za kutosha kuweza kumshikilia huku akiwa anapiga kelele kutaka msaada.
 
'Tulikuwa tunataka kutoa msaada ila nyumba ilikuwa imefungwa na tulishindwa kuuvunja mlango' waliongezea kwa kusema.

Majirani walichungulia kupitia madirishani mwao ili kuona kwa ukaribu tukio hilo.

Waokowaji walifanikiwa kumvuta na kumuokoa jamaa huyo mwenye umri wa miaka 45 aitwaye Wang Li, ambaye anasemekana kuwa na msongo wa mawazo kutokana na kutokuwa na kazi.


Waokoaji Walifanikiwa Kumuokoa Jamaa Huyu Mwenye Msongo wa Mawazo ya Kutokuwa na Kazi
 (DailyMail)
read more "Mke Amuokoa Mume Aliyetaka Kujiua Toka Ghorofani kwa Kushikilia Boxer"

Mwanaume Anayemla Uroda Muwakilishi wa Nigeria Ndani ya Jumba la BBA Kumbe Ana Mpenzi

Angelo na Demu Wake
Angelo, muwakilishi wa Afrika Kusini kwenye jumba la Big Brother Africa ambaye amekuwa akifanya mapenzi na muwakilishi wa Nigeria aitwaye Beverly Osu usiku na mchana, mbele na nyuma, ukweli ni kwamba jamaa yupo kwenye mahusiano na mwanamitindo mmoja mrembo.

Na ndiyo maana pale Beverly alipomuuliza kama anaweza kuwa na mwanamke kama yeye, Angelo alisema kwamba hawezi kusema kama ataweza endelea kuwa naye akiwa nje ya BBA, na licha ya kujibiwa hivyo Beverly aliendelea mbele na kuamua kumtanulia miguu jamaa.


Chini pale angalia meseji za kimapenzi ambazo Angelo amewahi kuziandika kwa mschana wake:
Demu wa Angelo

Tweets za Angelo Alizokuwa Akimtumia Demu Wake

read more "Mwanaume Anayemla Uroda Muwakilishi wa Nigeria Ndani ya Jumba la BBA Kumbe Ana Mpenzi"