Je ni Sahihi kwa Mama Kumnyonyesha Mtoto Kwenye Mikusanyiko ya Watu...?

Mama na Mwana
Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia baadhi ya wamama wakiwa wanawanyonyesha watoto zao kwenye kadamnasi ya watu, hususani kwenye magari ya jamii kama daladala na safarini.

Je unadhani ni sahihi na ni kitendo cha kistaarabu na kama sio ni nini hasa huyu mzazi alistahili kufanya ili aweze kumnyamazisha mtoto anayelia kwa sababu ya njaa?

Upi mchango wako juu ya hili.....

No comments:

Post a Comment