Tiketi za Kombe la Dunia 2014 Zaanza Kuuzwa


Tiketi kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia zitakazofanyika nchini Brazil mwakani zimeanza kuuzwa kupitia kwenye mtandao wa FIFA.

Jumla ya tiketi millioni 3.3 zinategemea kuuzwa kwenye ajili ya michuano hiyo.

Bei ya tiketi inategema kuwa kati ya $90 kwenye raundi ya kwanza ya michuano hiyo mpaka kiasi cha $990 kwenye mechi ya mwisho ya fainali itaakayofanyika kwenye uwanja wa Maracana ndani ya jiji la Rio de Janeiro.

No comments:

Post a Comment