Showing posts with label MUSIC. Show all posts
Showing posts with label MUSIC. Show all posts

Nicky Minaj Ana Ujauzito wa Lil Wayne? Soma Jinsi Mashabiki Wao Wanavyosema

Ni rasmi: Sasa tumepata tetesi za fungua mwaka.

Kwa mujibu wa ThyBlackMan(dot)com, Nicki Minaj anaweza kuwa ni mjamzito na baba anaweza kuwa… Lil Wayne!

Kuna ushahidi mdogo kutetea hoja hii: hakuna vyanzo kwenye kumbukumbu, hakuna picha, hakuna nukuu na aina yoyote ya ushahidi.
 

Mtandao huu kirahisi tu umesema inaweza kuwa kweli, ila kuna tetesi za chini chini zinachemka kwa kasi kwenye mitandao juu ya uwezekano huu.

Kwa nini taarifa hiii naweza kuwa ya ukweli? Ikumbukwe… Lil Wayne mpaka sasa ana watoto wanne wa mama tofauti. Na Minaj aliwataja kwenye Tuzo za Muziki za Billboard wakati alipokuwa ana rap.

Pia wawili hawa walionekana wakiwa kwenye mahaba ya hali ya juu ndani ya video ya wimbo wa Minaj uitwao “High School”.

Je inawezekana kuwa walifanya tendo hilo hivi karibuni? Tena bila ya kutumia condom au kinga ya uzazi? Labda kweli inawezekana walifanya.
Inawezekana hizi tetesi zikawa za kweli, ila kama itakuwa ni kweli, watu wengi kwenye twitter wanapata hofu kwa mtoto atakayezaliwa:

Hapa kuna baadhi ya comments zilizoandikwa na mashabiki wao....

@BridgetRoush: “If the rumor is true… Nicki Minaj and lil Wayne’s baby will be one incoherent and messed up baby.”

@kthaqs: “Nicki minaj and lil Wayne are having a child……the two worst people in the music industry are reproducing….with each other. oh god lmao.”

@kesteff: “Rumor has it that Nicki Minaj and Lil Wayne are having a baby. And we thought Snooki having a child was a problem…”

@StarrTito: “Just saw that nicki minaj might be pregnant with Lil Wayne’s baby. I swear this better be rumor or I feel bad for the kid.”

@mrs_favor23: “Nicki Minaj is pregnant with Lil Wayne’s baby? Oh Lord help that little one.”
 

Weezy mpaka sasa ana watoto wanne, wote wanaonekana kufanya vizuri kwenye game kwa sasa, hivyo mambo hayatokuwa mabaya, sio?

Mpaka sasa Minaj hajasema neno lolote juu ya tetesi hizi, cha msingi tungoje ili tuone itakavyokuwa.
read more "Nicky Minaj Ana Ujauzito wa Lil Wayne? Soma Jinsi Mashabiki Wao Wanavyosema"

Shakira na Rihanna Kwenye Kava ya Singo Yao Mpya [PICHA]

Mnamo siku ya Alhamisi mashabiki wa Rihanna, 25, na mwanamuziki toka Columbia, Shakira, walipata fursa ya kuona kava ya singo ya nyota hawa wa kike ambayo inategemea kutoka hivi karibuni.
Singo hiyo inategemea kutoka January 14.

Cheki picha zao walivyokuwa wamevaa siku ya utambulisho huo.....


read more "Shakira na Rihanna Kwenye Kava ya Singo Yao Mpya [PICHA]"

Licha ya Kuwa na Mchumba Ludacris Azaa na Mwanamke Mwengine

Licha ya kuwa tayari ameshamchumbia demu wake wa siku nyingi aitwaye Eudoxie, hali hiyo hakumfanya Ludacris kushindwa kumpa mimba msichana mwengine.

Imeelezwa hivi karibuni kwamba mwanamke mwenye ujauzito wa Ludacris ni rafiki yake wa zamani, hii ni kwa mujibu wa taarifa. Luda na Tameka Fuller kwenye picha hapo juu waliwahi kusoma darasa moja kwenye Benjamin Banneker High School iliyopo Atlanta.

Waliwahi kuwa wanatoka miaka ya nyuma na wakawa wanaendelea kuwasiliana kwa kipindi kirefu. Ludacris na Tameka wamepata mtoto wa kike, Cai Bella Bridges, mnamo December 9 huku bado akiendelea kuwa na Eudoxie.
read more "Licha ya Kuwa na Mchumba Ludacris Azaa na Mwanamke Mwengine"

Goldie - Mshiriki wa Shindano la Big Brother na Nyota wa Muziki Toka Nigeria Ambaye Kifo Chake Kilishtua Wengi 2013

Moja kati ya kifo kilichotingisha bara la Africa ni cha mwanamuziki nyota toka nchini Nigeria  aitwaye Goldie, kifo chake kilitokea mnamo February 14, nchini Nigeria kimeelezwa kuwa ndiyo kifo kilichoshtua watu wengi sana kwa mwaka 2013.

Hakika haikuwa Nigeria peke yake hata na kwa baadhi ya nchi za Afrika Tanzania ikiwa ni mojawapo, Goldie aliwahi kushirikiana na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Ambwene Yesaya maarufu kama AY kwenye wimbo wake uitwao Skibobo.

Pia alikuwa ni mmoja kati ya washiriki wa shindano maarufu la The Big Brother Africa, ambalo lililomfanya afahamike na jamii kubwa ya watu wa Bara la Afrika na Duniani kwa ujumla.

Alifariki kwenye Hospitali ya Reddington iliyopo Kisiwa cha Victoria, Lagos. Kifo kilimkuta katika kipindi alichokuwa amerudi Nigeria toka California, ambapo alikwenda kushuhudia Tuzo za Grammy akiwa na Kenny Ogungbe, ambaye alikuwa ni bosi wa lebo yake iitwayo Kennis Music. 

Ilitaarifiwa kwamba msichana huyo alikuwa anajisikia maumivu makali ya kichwa kabla ya kukimbizwa hospitali, na alifariki mara tu baada ya kufika hospitali.
read more "Goldie - Mshiriki wa Shindano la Big Brother na Nyota wa Muziki Toka Nigeria Ambaye Kifo Chake Kilishtua Wengi 2013"

Chati ya TBC fm [TOP 20 Desemba 8]

CHATI KAMILI WIKI HII....

1. Pesa - Mr. Blue Feat. Becka Title & Akili The Brain {Wiki3@#1}
2.
Roho Yangu - Richie Mavoko 
3. Nakomaa na Jiji - Shilole 
4. I Love You - Cassim Mganga
5.
My Number One - Diamond {Wiki5@#1}
6. Mwambie - Stamina Feat. Darasa & Warda
7. Kibabababa - Makomandoo
8.
Salam Zao - Ney Wamitego 
9. Wasiwasi - Vumbe 
10. Tema Mate - Madee 
11. Tupogo - Ommy Dimpoz Feat. J Martin {Wiki4@#1}
12. Siri Ya Mchezo - Fid Q Feat. Juma Nature  
13. Weka Ngoma - Darasa Feat. Ditto 
14. Utata - Matonya 
15. Cheza Bila Kukunja Goti - AY & FA Feat. J Martin 
16. Bashasha - Bob Jr. Feat Vanessa Mdee
17. My Baby - Quick Racka Feat. Ngwea & Shaa  
18. Skelewu - Davido {MPYA}
19. Pesonally  - P Square {Wiki5@#1}
20. Nakupenda Pia - Wyre Feat. Alaine 

Je unakubaliana na chart hii kwa asilimia ngapi...?


read more "Chati ya TBC fm [TOP 20 Desemba 8]"

Chapa Nyingine By Chegge Feat. Gift [AUDIO]


Hii ni ngoma mpya ya Chegge toka TMK, amemshirikisha mwanadada aitwaye Gift na Production ni ya Dunga.

Isikilize na Ishushe hapa....
 
read more "Chapa Nyingine By Chegge Feat. Gift [AUDIO]"

Nisamehe By Angella Karashani a.k.a Angel [AUDIO]


Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la mwaka huu la Tusker Project Fame, Angella Karashani(Angel) ameachia wimbo wake mpya uitwao Nisamehe. Wimbo huo umetayarishwa na producer Nash Designer kwenye studio za Surround Sound Studios na umeandikwa kwa asilimia kubwa zaidi na Deddy, ambaye ni msanii wa ragga na dance hall hapa nchini.


Mwimbo huu ambao ulitayariswa kabla ya Angel kujiunga na mashindano ya Tusker Project Fame season 6, umepokelewa vizuri na watanzania na unaendelea kupigwa kwenye radio mbali mbali baada ya kutolewa rasmi jumatatu ya tarehe 2 december 2013.

"Hivi sasa niko kwenye maandalizi ya kutengeneza video ya wimbo wangu so East Africa should get ready for it in a few weeks. I also plan to release its remix after a months or so which I have done with a very well reputed artists in Tanzania. Pia niko kwenye mbio za kuambaa Album yangu itakayo kua na nyimbo zisizopungua nane zenye maadi tofauti tofauti" alisema Angel

"Nashukuru sana Tusker Project Fame kwa kuniandalia mazingira mazuri na nawasii sana sana watanzania waendelee kumpigia kura HIsia maana anastaili kushinda na ni kura zetu tu zitakazo mpa huo ushindi"

Pia napenda kukukumbusha kua huyu ni yule Angel aliyeshirikiswa kwenye wimbo wa Ommy Dimpoz "baadae" na akapata nafasi ya kugombania tuzo za kilimanjaro music awards kama msanii chipukizi mwaka huu, 2013.

Sikiliza na Download hapa

read more "Nisamehe By Angella Karashani a.k.a Angel [AUDIO]"

Abdul Kiba Feat. Ally Kiba - Kajiinamia [AUDIO]


Huu ni wimbo mpya wa Abdul Kiba aliomshirikisha Ally Kiba unakwenda kwa jina la Kajiinamia...

Usikilize hapa chini..

read more "Abdul Kiba Feat. Ally Kiba - Kajiinamia [AUDIO]"