Huyu Jamaa Hawezi Kuwa Sawa

Sijui ni kwa muda gani picha hii ipo kwenye mitandao ila daah...! Ujumbe wake unachekesha sana. 
Inavyoonekana Mzee huyu ni masikini, (inawezekana) ana njaa na ni mgonjwa, nadhani anachotakiwa kufanya kwanza ni kulijali tumbo lake ili aweze kuwa na nguvu na imara kwa ajili kwenda kupigana na hao jamaa.

No comments:

Post a Comment