Amoo Hadji: Mtu Ambaye Hajaoga kwa Miaka 60 [PICHA]

Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 80 raia wa Iran, Amoo Hadji, inaelezwa kwamba mwili wake haujawahi kugusa maji (hajaoga) kwa miaka 60.

Hakika ngozi yake inatisha, na unaweza kubahatika kuyaona macho yake japo kwa mbali ila harufu inayotoka kwenye mwili wake ni mbaya na kali sana.

Sababu juu ya hilo ni rahisi: amegoma kuoga  kwa miaka sitini, basi.

Shuka chini uangaliepicha zaidi....










No comments:

Post a Comment