Michael Jordan Aoa Kwa Mara Ya Pili

Michael Jordan na Mke Wake Yvette Prieto
Mchezaji nguli wa zamani wa NBA na mmiliki wa Charlotte Bobcats, Micheal Jordan ameoa kwa mara nyingine tena.

Hii ni mara baada ya pili kwa nyota huyo wa zamani wa mpira wa kikapu kuoa baada ya kuachana mke wake wa kwanza aliyeishi nae kwa miaka 17, kuzaa naye watoto watatu kisha kutengana mnamo mwaka 2006.

Micheal Jordan na mchumba wake, Yvette Prieto, mwenye miaka 35 ambaye ni modo, walichumbiana mnamo mwezi December na kuonana nae mwisho wa juma lililopita pande za Palm Beach, Florida, kwenye shughuli iliyohudhuliwa na ndugu pamoja na marafiki wachache.

Reception ya harusi hiyo ilifanyika kwenye kiwanja cha gofu cha Jordan, kilichopo karibu na nyumbani kwake. Huku wanamuziki kama Robin Thicke na mshindi wa Tuzo za Grammy Usher na The Source wakitumbuiza kwenye sherehe hiyo.

 
Hongera Michael Jordan na Mke Mpya....

read more "Michael Jordan Aoa Kwa Mara Ya Pili"

Balotelli: Kama Madrid Watawafunga Na Kuwatoa Dortmund, Nitaruhusi Mpenzi Wangu Alale Nao

 
Balotelli Na Demu Wake
Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester City striker anaonekana kuwa na uhakika kwamba Dortmund watafanikiwa kufuzu kwenye michuano hiyo ya mabingwa Wa Ulaya, Balotelli amesema ataruhusu kikosi kizima cha timu hiyo ya Hispania kulala na mchumba wake, kama wataweza kuwafunga na kuitoa timu hiyo ya ujerumanai.

Kwenye gazeti la Kispanish liitwalo AS and Marca, mchezaji huyo wa kimataifa wa Italia amenukuliwa akisema:  ‘Kama Real Madrid watatoka nyuma kwenye mechi hiyo ya Klabu Bingwa na kushinda, basi nitamruhusu demu wangu alale nao!’ alisema Balottelli.

Kwenye mechi iliyopita timu ya Dortmund iliikimbiza vibaya Real kwenye mchezo uliochezwa ndani ya uwanja wa Westfalen, huku wachezaji wao kama Robert Lewandowski, Mario Gotze na Marco Reus wakionekana kuisambaratisha vibaya beki ya Real.
read more "Balotelli: Kama Madrid Watawafunga Na Kuwatoa Dortmund, Nitaruhusi Mpenzi Wangu Alale Nao"

Jamaa Amnyoga Mpenzi Wake Na Kisha Kukimbia Jijini Mwanza

Haya Ni Matukio Ya Kusikitisha
Mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Winfrida Simon amenyongwa na mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Juma Marwa katika eneo la Bugarikwa lililopo nje kidogo la jiji la Mwanza.

Mwanaume huyo alitoweka baada ya kufanya kitendo hicho na jeshi la polisi hivi sasa linamsaka kutokana na mauaji hayo.

Taarifa zaidi kufata …………
read more "Jamaa Amnyoga Mpenzi Wake Na Kisha Kukimbia Jijini Mwanza"

Mchezaji Wa NBA Afichua Kwamba Yeye Sio Ridhiki

Jason Collins
Mchezaji wa kati kwenye ligi ya mpira wa kikapu ya nchini Marekani (NBA) Jason Collins amekuwa mwanaume wa kwanza anayecheza kwenye michezo mikubwa ya kulipwa kukiri kwamba si ridhiki.

Jamaa mwenye umri wa miaka 34, ambaye amewahi kuichezea timu za Washington Wizards na Boston Celtics katika msimu uliopita, aliwaeleza waandishi wa habari za michezo:

"Sikupanga mimi ndio niwe mtu wa kwanza ambaye nacheza kwenye timu kubwa ya Marekani kusema nipo hivi. Ila sababu kweli niko hivyo, najisikia raha kuanzisha mazungumzo haya. Natamani nisingekuwa kama mtoto nipo ndani ya darasa kisha akinyoosha mkono na kusema 'nipo tofauti'. Kama ningekuwa na njia zangu, basi kuna mtu mwengine angekuwa ameshafanya hivyo. Hakuna aliyefanya hivyo, na ndio sababu nainua mkono wangu juu.

Collins aliendelea, "Wakati nipo mdogo nilikutana na mwanamke. Na pia nilimchumbia. Nilidhani nilihitajika kuishi maisha hayo. Nilidhani nahitaji kumuoa mwanamke na kulea watoto nae. Nimekuwa nikijiambia mwenyewe kwamba anga ingekuwa nyekundu, ila nilifahamu mara zote kwamba ni ya blue."

read more "Mchezaji Wa NBA Afichua Kwamba Yeye Sio Ridhiki"

Ni Kwa Nini Wanaume Wengi Huvutiwa Na Matiti Ya Wanawake?

Najua wengi wenu mnaweza kuniona kama nnachokiongea au kuuliza katika kutaka kujua ni kama utani wa aina fulani hivi.

Ila kiukweli, moja kati ya vitu ambavyo wanaume wengi huvutiwa au kutokea kuwatamani wanawake ni kwenye sehemu hii nyeti ambayo mara nyingi husitiliwa na mavazi.

Swali langu la msingi, je kuna kitu gani maalum chenye kumfanya mwanaume kuvutiwa na matiti ya mwanamke?
read more "Ni Kwa Nini Wanaume Wengi Huvutiwa Na Matiti Ya Wanawake?"

Picha: Ronaldo Akana Kumsaliti Demu Wake Na Miss Bum Bum Wa Brazil

Mshambuliaji Mreno na mchezaji wa klabu ya Real Madrid ya Hispania amekanusha habari kwamba alimsaliti mchumba wake na modo wa Brazil, Andressa Urach.
 
Andressa ambaye kwa sasa anashikiila taji la Brazil “Miss Bum Bum” juzi kati alisema kwamba, Ronaldo alimpigia simu baada ya kupata namba yake toka kwa rafiki anayehafamiana nae, kisha akamuomba wakutane kwenye hotel siku ya Jumatatu ya April 22 na wawili hao kuishia kwa kufanya ngono.
 
Cristiano anakanusha na kwa kupita urasa wake wa twitter ali-tweet haya kupinga shutuma hizo:





 
read more "Picha: Ronaldo Akana Kumsaliti Demu Wake Na Miss Bum Bum Wa Brazil"

Picha 10 Za Maajabu Yake

Naamini wengi wetu huwa tunapenda kupiga picha kwa ajili ya kupata kumbukumbu za mambo yetu mbalimbali.

Ila ukweli ni kwamba wakati mwengine hutokea kwa mtu mwengine kuwa na mtazamo tofauti juu ya uhalisi wa picha anayoiona, hali itakayompelekea kufurahi, kushangaa au kughafirika kwa namna moja au nyingine kutokana na mtazamo wa pili wa picha hiyo...

Usijali, fanya kama unacheki picha hizi 10, zenye ucheshi wa kimapenzi ambazo zinaweza kukuacha ukicheka.










Angalia kwa makini utagundua kitu tofati zaidi ya picha yenyewe
read more "Picha 10 Za Maajabu Yake"

2 Chainz Huru Kwa Kesi Ya Bangi

2 Chainz Na Mapolisi
Rapa mkali kutoka nchini Marekani 2 Chainz, amekutwa hana hatia dhidi ya kesi iliyokuwa inamkabili ya kukutwa na bangi.

Na mara baada ya kuisha kwa kesi hiyo polisi waliamua kupiga picha na rapa huyo.

Hukumu hiyo iliyotolewaJumatano iliyopita ndani ya Maryland, huku Jaji akikiri kutokuwepo kwa ushahidi wa kutosha kwenye kesi hiyo.
read more "2 Chainz Huru Kwa Kesi Ya Bangi"

Ronaldo Akana Kumsaliti Mchumba Wake

Mrembo Anayedai Kula Uroda Na Ronaldo
Cristiano Ronaldo amesisitiza kwamba alichokuwa anakifanya ni mahojiano, na si kuwa na muda mtamu na modo wa Brazil kama ambavyo mrembo huyo alitangaza.
 
Hii ni mara baada ya habari zilizoandikwa na gazeti la Sun la Nchini Uingereza kwamba amemsaliti mchumba wake Irina Shayk masaa 48 kabla ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya.

Hayo yamekuja mara baada ya mrembo huyo mwenye miaka 27 Andressa Urach, maarufu kama Miss BumBum, kubainisha kwamba mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United alikula uroda naye.

Ronaldo amesema kwenye ukurasa wake wa twitter ‘kuna mtu anajitafutia umaarufu kwa kupitia akaunti yangu’.

Aliendelea kwa kusema: ‘Na nashangaa kwa nini hii inatokea siku moja kabla ya mechi muhimu kwa timu yangu. Hakika ni kitu ambacho kama kimepangwa ili kuvuruga maisha yangu binafsi.’
Ronaldo Na Demu Wake
Kauli zake zimekuja baada ya Urach, kudai kwamba mchezaji huyo alimualika chumbani kwake na kumlipa kiasi cha paundi 2,500 kwenye hoteli ya Villa Magna, kabla ya pambano la Ligi ya Mpira wa miguu kati ya Real na timu toka Ujerumani ya Borussia Dortmund.

Ila Ronaldo anasema kwamba hakuwa kumsaliti mchumba wake ambaye wapo kwenye mahusiano kwa miaka mitatu sasa.

Ronaldo  alimalizia kwa kuandika kwenye akaunti yake ya twitter: ‘Nataka kutanabaisha ni kweli kwamba nilikuwa kwenye hoteli ya Villa Magna siku ya April 22, kwa lengo la kufanya mahojiano na Manu Sainz, kitu ambacho muandishi huyo anaweza kukielezea. Mambo mengine yote yanayosemwa ni ya kubuni na sio halisi.’
read more "Ronaldo Akana Kumsaliti Mchumba Wake"

Mkaka, Je Demu Wako Anaweza Kufanya Hivi? Mdada, Je Wewe Unaweza Kufanya Hivi?

Ni siku nyingine ya Jumatatu,
Nikiamini kwamba sote tumerudi kwenye majukumu yetu ya kila siku, ila kuna picha moja ya kukuongezea raha ya siku.

Ni muda wa kupumzika..... sio

Ila, kwa akina Kaka, Je demu wako anauwezo kufanya hivi?

Kwa Wanawake, Je una uwezo wa kufanya hivi..?
read more "Mkaka, Je Demu Wako Anaweza Kufanya Hivi? Mdada, Je Wewe Unaweza Kufanya Hivi?"

Dada Poa Amkwida Jamaa Kudai Ujira Baada Ya Kungonoka

Kazi Ilikuwa Hapa
Msichana huyu kwenye video anamkwida jamaa ili amlipe hela kama ujira mara baada ya kumpa unyumba.

Wakati huo mshikaji anasema asingeweza kumlipa kwa kazi ambayo msichana huyo hakuifanya, na sababu ni kwamba hawakulala pamoja.

Jamaa amekataa kulipa, kwa mujibu wake anasema "yeye huwa halipii ngono wakati msichana naye huwa anakula mayai yake"

Mwisho wa siku alimtaka aondoke kama kweli anataka kutengeneza hela.



Je ni wewe ni mmoja kati ya watu wanaonunua wadada poa..?
read more "Dada Poa Amkwida Jamaa Kudai Ujira Baada Ya Kungonoka"

Rooney Aongoza Kwa Utajiri Miongoni Mwa Wachezaji Wa EPL

Wayne Rooney
Mchezaji wa timu ya Manchester United na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Uingereza Wayne Rooney, anatajwa kuwa ndiye mchezaji tajiri kuliko wote kati ya wanaocheza kwenye Ligi Kuu ya Uingereza kwa sasa.
 
Kwa mujibu wa gazeti la The Sunday Times kwenye orodha yake ya wachezaji matajiri wanaocheza kwenye Ligi hiyo kwa sasa, utajiri wa Rooney unakadiliwa kuwa ni paundi za Uingereza millioni 79.01.

Jumla ya wachezaji ishirini na nne wanaocheza kwenye ligi kuu ya Uingereza ni miongoni mwa wanamichezo 100 tajiri wa Britain na Ireland.
 
Utajiri wa Rooneys umepanda kwa paundi millioni sita kutoka mwaka 2012 huku akichanganya na utajiri wa mke wake Coleen ambae utajiri wake unakadiliwa kufika paundi millioni 64.

Mchezaji mwenzake wa United, Rio Ferdinand anashika nafasi ya pili, akiwa na utajiri wa paundi millioni 42 huku mshambuliaji wa klabu ta Stoke City Michael Owen akiwa ni wa tatu kwa kuwa na utajiri wa paundi millioni 38.

Utajiri huo umepimwa kwa mali zinazotambulika kama ardhi, thamani pamoja na hisa mbalimbali zilizopo kwenye makampuni.

Nahodha wa zamani wa Uingereza David Beckham, ambaye kwa sasa anaichezea Paris St Germain, anashika nafasi ya 11 ya matajiri michezo wa dunia iliyotajwa na gazeti hilo la Sunday Times, huku akikadiliwa kuwa na utajiri wa paundi millioni 165.

Mchezaji namba moja wa mchezo wa gofu Duniani Tiger Woods ndiye anayeshika nafasi ya kwanza huku utajiri wake ukikadiliwa kuwa wa paundi millioni 570.

Hii orodha ya Wachezaji 10 Matajiri wanaocheza kwenye Ligi Kuu ya Uingereza kwa sasa:

1. Wayne Rooney (Manchester United) paundi millioni 51

2. Rio Ferdinand (Manchester United) paundi millioni 42

3. Michael Owen (Stoke City) paundi millioni 38

4. Ryan Giggs (Manchester United) paundi millioni 34

4. Frank Lampard (Chelsea) paundi millioni 34

6. Steven Gerrard (Liverpool) paundi millioni 33

7. Fernando Torres (Chelsea) paundi millioni 26
8. John Terry (Chelsea) paundi millioni 24

9. Joe Cole (West Ham United) paundi millioni 21

10. Petr Cech (Chelsea) paundi millioni 20
 


(Paundi 1 =  Shilingi 2500)
read more "Rooney Aongoza Kwa Utajiri Miongoni Mwa Wachezaji Wa EPL"

Mtoto Wa Michael Jackson Akutana Na Mama Yake

Paris Jackson Na Mama Yake
Hii ni picha ya kwanza inayomuonyesha mtoto wa Michael Jackson aitwaye Paris Jackson, akiwa na mama yake aliyemzaa Debbie Rowe.
Wawili hao walikutana kwenye siku ambayo Paris alikuwa anasherehekea miaka 15 ya kuzaliwa kwakeya kuzaliwa, picha amabyo ilipigwa Ahi Sushi ndani ya Studio City, pande za Calif mnamo April 3, 2013.
Kwa mujibu wa Rowe, ambaye ni mke wa zamani wa Mfalme huyo wa muziki wa Pop, wawili hao walisherehekea kwa kufanya shopping na kuwa na muda mzuri wa mama na mwanawe.

Kwenye ukurasa wake wa twitter Paris ali-twee kwenye siku yake ya kuzaliwa: "Asante kila mmoja kwa pongezi zenu za siku hii!! ninyi ni watu wazuri na nawapenda!!"

Rowe, 54, alioana na Jackson mnamo November 14, 1996, jijini Sydney, Australia, na baadae kuja kuachana na nyota huyo wa muziki mnamo Oct. 1999.

Walibahatika kupata watoto wawili wakiwa pamoja: wa kwanza ni Prince Michael Jackson Jr., aliyezaliwa February 13, 1997, na Paris Jackson, aliyezaliwa April 3, 1998.

Watoto wote wawili wanaishi na mama wa Michael Jackson, aitwae Katherine Jackson, ambaye pia ndie muangalizi wa mtoto wa mwisho wa Michael aitwaye Prince Michael Jackson II, mwenye umri wa miaka 11.
read more "Mtoto Wa Michael Jackson Akutana Na Mama Yake"

Kutanana Na Waziri Wa Michezo Mrembo Zaidi Duniani

Alejandra Benitez
 Huyu ni Waziri wa Michezo wa nchi ya Venezuela aitwaye Alejandra Benitez, ambaye ni mkimbiaji hodari na huku akiwa ameshinda medali kadhaa za kwenye mashindano ya Olimpiki ya mwaka 2004, 2008 na 2012.

Hivi karibuni ameteuliwa kuwa waziri na mrithi wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Hugo Chavez, aitwae Nicolas Maduro.

Benitez, 32, amekuwa akivigusa vyombo vingi vya habari toka alipoteuliwa kuwa waziri, huku picha zake zikiwa zinasambazwa na kuonyeshwa kwa wingi kwenye majarida na mitandao mbalimbali, hasa zile ambazo alipigwa akiwa kwenye michuano ya olimpiki ya mwaka 2008.


Kwa sasa anatajwa kuwa ndiye Waziri mrembo kuliko wote juu ya udongo huu, fanya kuangalia baadhi ya picha zake.


read more "Kutanana Na Waziri Wa Michezo Mrembo Zaidi Duniani"

Gareth Bale Ashinda Tuzo Mbili Za PFA

Gareth Bale
Winga na mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspurs na timu ya Taifa ya Wales Gareth Bale, amefanikiwa kushinda tuzo mbili nchini Uingereza, ya kwanza ni ile ya Mchezaji bora wa Mwaka na ya pili ikiwa ni ya mchezaji Chipukizi wa mwaka, tuzo ambazo hutolewa na Chama cha Wachezaji wa Kulipwa England PFA, huku akiwashinda Luis Suarez wa Liverpool na Robin Van Perse wa Man Uinted.

 Kawaida ya Tuzo hizo mchezaji hupigiwa kura na wachezaji wenzake katika ligi, Bale anakua mchezaji wa Tatu katika historia ya tuzo hizo kuchukua tuzo zote mbili kwa wakati mmoja, huku wa kwanza akiwa Andy Grayambapo msimu wa 1976/1977 akiwa anaichezea Aston Villa na wa pili akiwa ni Cristiano Ronaldo wa Man United msimu wa 2006/2007.

Orodha ya Wachezaji wailoshinda tuzo ya PFA kwa Miaka sita iliyopita hawa hapa:

2012-13: Gareth Bale (Tottenham)
2011-12: Robin van Persie (Arsenal)
2010-11: Gareth Bale (Tottenham)
2009-10: Wayne Rooney (Man Utd)
2008-09: Ryan Giggs (Man Utd)
2007-08: Cristiano Ronaldo (Man Utd)

Kikosi cha Mwaka cha Ligi Kuu ya Uingereza ni hiki:

David de Gea (Manchester United), Pablo Zabaleta (Manchester City), Jan Vertonghen (Tottenham Hotspur), Rio Ferdinand (Manchester United), Leighton Baines (Everton), Michael Carrick (Manchester United), Juan Mata (Chelsea), Gareth Bale (Tottenham Hotspur), Luis Suarez (Liverpool), Eden Hazard (Chelsea), Robin van Persie (Manchester United).
read more "Gareth Bale Ashinda Tuzo Mbili Za PFA"

Christiano Ronaldo Alifanya Ngono Kabla Ya Mechi Ya Madrid Na Dortmund

Ronaldo Na Irina Wakitoka Mgahawani
Si ajabu kuona ni kwa nini Cristiano Ronaldo hakuwa kwenye kiwango kizuri kwenye mechi kati ya timu yake ya Real Madrid vs Borussia Dortmund, mechi iliyochezwa siku ya Jumatano April 24 na kuisha kwa Real kufungwa 4-1 na Dortmund...... ukweli ni kwamba siku mbili kabla ya mechi hiyo Ronaldo alifanya mapenzi...

Andressa Urach (kwenye picha chini)  anasema kwamba mchezaji huyo ambaye yupo kwenye mapenzi mazito na modo waki-russia aitwae Irina Shayk  alilala naye na kumlipa kiasi cha paundi 12,500 kwenye hoteli ya Villa Magna siku ya Jumatatu April 22nd.

Andressa ndiye Malkia kwa mwaka 2013 wa shindano la Bum Bum la nchini Brazil, amelieleza gazeti la The Sun la nchini Uingereza kwamba aliwasiliana na Cristiano mara baada ya kuona picha zake kwenye mtandao, na kufanya mapenzi naye siku moja baada ya Ronaldo kupigwa picha akiondoka kwenye mgahawa huo na mpenzi wake Irina (picha ya juu).
Andressa amesema siku ya Jumatatu alichukua tax mpaka kwenye hoteli hiyo na kumsubiri Ronaldo kwenye sehemu ya kupumzikia. Hatimaye Ronaldo aliwasili akiwa na gari aina ya Audi R3 na kupaki kwenye parking za chini kabla ya kuchukua lifti binafsi mpaka chumbani kwake, na alipofika ndipo alipoamtumia ujumbe wa maandishi (sms) kumjulisha chumba alichofikia.

Mrembo huyo alisema mapenzi yalikuwa sio mchezo huku akiongeza "Ilikuwa ni hatari, mwili wake ni mzuri kama Mungu wa Kigiriki. Tulifanya mapenzi kwa masaa na hakusita kila mara kuyasifia makalio yangu.'

Demu wa Cristiano aitwae Irina, anajulikana kama ni mmoja kati ya waogeleaji wazuri duniani na ni mtu wa mitindo. Ikimaanisha kwamba mwili wake ni sio wenye nyama na ni mbaya kwa wastani, na kwa mantiki hiyo kuna uwezekano mkubwa kwamba Ronaldo anacheza sana kazi za nje.
Andressa
Je kwa kiasi gani binadamu afanyiwe ili aridhike! Duh…..!!
read more "Christiano Ronaldo Alifanya Ngono Kabla Ya Mechi Ya Madrid Na Dortmund"

Tonight & Every Saturday GrooveBack @ EAST 24, The ARCADE Mikocheni

Tonight & Every Saturday GrooveBack @ EAST 24, The ARCADE Mikocheni..!
It's All About Dancing With Dj Peter Moe, KT & Dj PQ Feat. Tony!
Stars 9pm...!

read more "Tonight & Every Saturday GrooveBack @ EAST 24, The ARCADE Mikocheni"

Rob Kardashian: Unene Umepunguza Ukubwa Wa Uume Wangu

Rob Kardashian Mwanzoni Na Alivyo Sasa
Baada ya kuachana na Rita Ora mnamo mwezi December mwaka jana, imeripotiwa kwamba Rob Kardashian ameongezeka uzito kwa paundi 40, kitu ambacho kinamuathiri sana kwenye moja kati ya sehemu muhimu za mwili - uume wake.
Rob aliyasema hayo alipokuwa anafanya mahojiano kwa ajili ya “Ryan Seacrest with the Kardashians” kipindi kinachoonyeshwa kwenye channeli ya E!, nyota huyo alielezea kwamba huwa analia kila anapoingia bafuni na kujiangalia.
read more "Rob Kardashian: Unene Umepunguza Ukubwa Wa Uume Wangu"

Ndoa Ya Uzeeni

Wu Conghan, 101, na mke wake Wu Sognshi, 103, walioana kisha kutengana na wakaja kuoana tena baada ya miaka 88.
read more "Ndoa Ya Uzeeni"

Muigizaji, Ramsey Noah Na Familia Yake

Wakionekana ni wenye furaha, ni Muigizaji toka Nigeria Ramsey Noah na Familia yake....
read more "Muigizaji, Ramsey Noah Na Familia Yake"

Omar Borkan: Uzuri Wake Ni Hatari Kwa Usalama Wa Wanawake Wa Watu (PICHA)

Jamaa ni muigizaji wa filamu, ambaye pia ni muandishi wa mashairi na mpiga picha wa fasheni, anaitwa Omar Borkan Al Gala (kwenye picha hapo juu)kutoka UAE, mmoja kati ya watu watatu waliofukuzwa kwenye tamasha la asili mapema mwezi huu nchini Saudi Arabia, kisha baadae waliondolewa kabisa nje ya nchi hiyo, huku sababu kuu ni juu ya muonekano wao unaweza kusababisha madhara makubwa kwa watoto wa kike.

Gazeti la moja la Kiarabu liitwalo Elaph limeandika: ‘Msemaji wa tamsha hilo amesema watu watatu toka Uarabuni wametolewa kwenye viwanja hivyo, ni wazuri sana  na mamlaka kwa ajili ya tamasha hilo ilihofia wageni wa kike wanaweza kuzama kwenye mapenzi nao.’








read more "Omar Borkan: Uzuri Wake Ni Hatari Kwa Usalama Wa Wanawake Wa Watu (PICHA)"

Watu Wanovaa Suti Huonekana Watanashati Ila Ni Wafanyakazi Wa Watu Kama Mimi


Peter Okoye Wa P Square
Hakika sasa inadhihirisha kwamba, ndani ya kipindi flani kipaji kinalipa zaidi ya vyeti
Ila kuna ambao hawataki kuamini juu ya ukweli huu, huku wakiwaona waburudishaji na wanamichezo wakiwa na maisha poa zaidi.
Hapo chini kupitia ukurasa wake wa twitter, kuna kitu ambacho mmoja kati ya wanaounda kundi la P Square, Peter Okoye, alisema kwa watu ambao wana vyeti vya viwango vya juu duniani:
Akimaanisha: Watu kwenye suti huonekana wenye mafanaikio, mpaka utakapogundua wanafanya kazi kwa watu wanaovaa jeans na t-shirt kama mimi. Hahaha
read more "Watu Wanovaa Suti Huonekana Watanashati Ila Ni Wafanyakazi Wa Watu Kama Mimi"

Kutana Na Mwanamke Mzuri Kuliko Wote Duniani Kwa Mwaka 2013

Huyu sio mwingine bali ni Malkia wa Saudi Arabian, aitwae Fatima Zohar-Godabari.

Fathima Kulsum Zohar Godabari ambaye awali alikuwa kwenye familia ya kifalme kwa sasa yeye ndie Malkia wa Saudi Arabia.
Hivi karibuni alipigwa picha bila kuwa amevaa niqab ikiwa imefunika uso wake, na picha hizo kuchapishwa kisha kusambazwa kwenye mitandao, zikionyesha uzuri wa sura yake duniani ikiwa ni mara ya kwanza.
Toka picha hizo zitoke, watu wengi wamekuwa wakimtaja kuwa ndiye mwanamke mzuri duniani kwa sasa.

Fanya kucheki picha zake:



Zake sifa tumpe...
read more "Kutana Na Mwanamke Mzuri Kuliko Wote Duniani Kwa Mwaka 2013"