Balotelli Na Demu Wake |
Kwenye gazeti la Kispanish liitwalo AS and Marca, mchezaji huyo wa kimataifa wa Italia amenukuliwa akisema: ‘Kama Real Madrid watatoka nyuma kwenye mechi hiyo ya Klabu Bingwa na kushinda, basi nitamruhusu demu wangu alale nao!’ alisema Balottelli.
Kwenye mechi iliyopita timu ya Dortmund iliikimbiza vibaya Real kwenye mchezo uliochezwa ndani ya uwanja wa Westfalen, huku wachezaji wao kama Robert Lewandowski, Mario Gotze na Marco Reus wakionekana kuisambaratisha vibaya beki ya Real.
No comments:
Post a Comment