Rob Kardashian Mwanzoni Na Alivyo Sasa |
Baada ya kuachana na Rita Ora mnamo mwezi December mwaka jana, imeripotiwa kwamba Rob Kardashian ameongezeka uzito kwa paundi 40, kitu ambacho kinamuathiri sana kwenye moja kati ya sehemu muhimu za mwili - uume wake.
Rob aliyasema hayo alipokuwa anafanya mahojiano kwa ajili ya “Ryan Seacrest with the Kardashians” kipindi kinachoonyeshwa kwenye channeli ya E!, nyota huyo alielezea kwamba huwa analia kila anapoingia bafuni na kujiangalia.

No comments:
Post a Comment