Kutanana Na Waziri Wa Michezo Mrembo Zaidi Duniani

Alejandra Benitez
 Huyu ni Waziri wa Michezo wa nchi ya Venezuela aitwaye Alejandra Benitez, ambaye ni mkimbiaji hodari na huku akiwa ameshinda medali kadhaa za kwenye mashindano ya Olimpiki ya mwaka 2004, 2008 na 2012.

Hivi karibuni ameteuliwa kuwa waziri na mrithi wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Hugo Chavez, aitwae Nicolas Maduro.

Benitez, 32, amekuwa akivigusa vyombo vingi vya habari toka alipoteuliwa kuwa waziri, huku picha zake zikiwa zinasambazwa na kuonyeshwa kwa wingi kwenye majarida na mitandao mbalimbali, hasa zile ambazo alipigwa akiwa kwenye michuano ya olimpiki ya mwaka 2008.


Kwa sasa anatajwa kuwa ndiye Waziri mrembo kuliko wote juu ya udongo huu, fanya kuangalia baadhi ya picha zake.


No comments:

Post a Comment