Rihanna Aliporudi Kwao Barbados Kuparee Kwenye Tamasha (PICHA)

Watu wote waliyehusika naye ilibidi nao wajumuike na kuwa sehemu ya tamasha la mavuno ambalo hufanyika Barbados nyumbani kwa kina Rihanna, kuanzia walinzi wake wa kike hadi wapambe wake.

Mwanamuziki huyo alienda kwenye tamasha hilo la Barbados mapema ya mnamo siku ya Jumamosi kwenye makao makuu ya kisiwa hicho panapofahamika kama Bridgetown.

Cheki hapo chino picha za Rihanna wa akiwa kwenye tamasha hilo na wadau wake....







read more "Rihanna Aliporudi Kwao Barbados Kuparee Kwenye Tamasha (PICHA)"

TBC fm TOP 20 Wiki Hii - August 4

1. Pesonally  - P Square
2. Yahaya - Lady JD
3. Majanga - Snura
4. Kama Huwezi - Rama Dee Feat. Lady JD
5. Antenna - Fuse ODG
6. Nani Kamwaga Pombe Yangu -  Madee Feat. Raymond
7. Bila Kukunja Goti - Mwana FA & AY Feat. J Martin
8. I Love You - Kassim Mganga
9. Joto Hasira -Lady JD Feat. Prof. Jay
10. Sina Imani - Shetta Feat. Richie Mavoko
11. Nakupenda Pia -Wyre Feat. Alaine
12. Shout Up - Jos Mtambo Feat. Pipi
13. Nikumbatie - Joh Makini Feat. Fundi Samweli
14. Ukimuona - Diamond 
15. No Beef (Yupo Juu) - Ngwear. Feat. TID
16. Muziki Gani - Ney Wamitego Feat. Diamond
17. Love Me - Izzo B Feat. Barnaba & Shaa
18. Weka Ngoma - Darasa Feat. Ditto {MPYA}
19. Wasi Wasi - Vumbe 
20. My Baby - Quick Racka Feat. Ngwea & Shaa {MPYA}


Kila siku ya Jumapili Saa 8 mpaka 10 Jioni kupitia TBC fm na Dan Chibo
read more "TBC fm TOP 20 Wiki Hii - August 4"

Rihanna Atoka na Kivazi Cheusi cha Mitego

Rihanna na Kivazi
Mrembo huyu wa Bajan alinaswa na kamera akiwa anatoka kwenye night club ya Play House iliyopo ndani ya Hollywood mnamo siku ya Alhamisi usikuakiwa amevaa nguo hii ambayo inaonyesha maungo yake kimtindo.

Je umeupenda fasheni hii...?

Alipokuwa Anatoka
read more "Rihanna Atoka na Kivazi Cheusi cha Mitego"