Kula Samaki Kidogo Kipindi Cha Ujauzito Husababisha Ufahamu Mdogo Kwa Watoto (UCHUNGUZI)


Wanasayansi wamegundua kwamba kuna uhusiano kati ya kile anachokula mama mjamzito na ufahamu wa mtoto.

Wakiwatumia Wanawake wa nchini Uingereza kwenye somo hilo, Watafiti hao walimaliza kwa kusema kwamba Wanawake ambao wanakula samaki kidogo husababisha watoto wao kuwa ufahamu mdogo tofauti na wale ambao mama zao hula samaki wengi zaidi.
read more "Kula Samaki Kidogo Kipindi Cha Ujauzito Husababisha Ufahamu Mdogo Kwa Watoto (UCHUNGUZI)"

Mcheki Mama Mwenye Miaka 47 Na Watoto Watano Akiwa Na Bikini


Huyu sio mwengine ni aliyekuwa mke wa nyota wa filamu nchini Marekani Eddy Murphy aitwaye Nicole Murphy.
 
Picha hizi zilichukuliwa siku ya Ijumaa alipokuwa akila bata ndani ya Hawaii na mchumba wake wa sasa Michael Strahan, ambaye ni mchezaji wa zamani wa NFL ila kwa sasa ni mtangazaji wa TV.

 
read more "Mcheki Mama Mwenye Miaka 47 Na Watoto Watano Akiwa Na Bikini"

Kwani Kuna Tatizo Gani Na Picha Hii Ya Harusi..?

Ongea japo neno moja.....
read more "Kwani Kuna Tatizo Gani Na Picha Hii Ya Harusi..?"