Mr.Blue atarajia kupata Mtoto soon


Wahda & Bayser
Ni Baada ya zile story zilizovuma na hatimae Byser mwenyewe kakubali kuwa anategemea kupata mtoto na mpenzi wake wa long time kitambo anayejulikana kama Wahda Mohamed....!
Sasa Nyota njema imeshaanza kuonekana ambapo mwanadada huyo tayari ameshaanza kuvaa nguo kubwaaaaaa kama unavyoona katika picha...!
Inavyosemekana muda si mrefu Blu a.k.a Byser ataanza kuitwa baba....!

CHANZO -Teen tz
read more "Mr.Blue atarajia kupata Mtoto soon"

Masai Ilala Ijumaa hii ni Mdada Nyonga



Mdada Nyonga
Ijumaa hii kwenye Dadaz NITE @ GalaPO Club MaSai ILALA!
Swagga yetu ni MDADA NYONGA a.k.a Mwanamke Kiuno...!
Fika uonyeshe chako, kiufundi zaidi na uwe mshindi...!
Zawadi za Pesa, Vinywaji na Samani kutoka kwa Wadhamini kutolewa! 
Onyesha Wako Ufundi
Kwenye 1&2 ni Dj Dan Chibo & Dj Fax a.k.a Mguu Target!
Kama kawa kama dawaz Dadaz wanaingia FREE na Kakaz Wanalipa Buku tatu tu....!
Hakika hii si sehemu ya kukosa kwa Siku hii, Mademu Wakali, Disco Bab Kubwa na Mastaa Kibao.....!
Kiroho safi Mnakaribishwa sana!

read more "Masai Ilala Ijumaa hii ni Mdada Nyonga"

Friday Dadaz Nite Funiko Bovu

Watoto Wa Dsj in Da House

Kwaito Kwa kwenda Mbele
Warembo Kwa House
Watu Wangu na Steps
Cheki hii Nje ya Dance
Wamilazo, Gina & Manji






read more "Friday Dadaz Nite Funiko Bovu"