James Avery Maarufu Kama Uncle Phil wa Fresh Prince of Bel-Air Afariki Dunia Dec. 31

Nyota wa Fresh Prince of Bel-Air James Avery amefariki akiwa na umri wa miaka 65 kwenye Hospityali moja ndani ya L.A mnamo siku ya Jumanne, Dec. 31.

Muigizaji huyo ambaye alijulikana kwa kuigiza kama Uncle Philip Banks kwenye Fresh Prince of Bel-Air -- amefariki mnamo siku ya Jumanne, Dec. 31.

Kwa mujibu wa TMZ, Avery hivi karibuni alifanyiwa upasuaji kwa ugongwa ambao haukutajwa. Mke wake, Barbara Avery, alikuwepo hospitali wakati mauti yalipomfika.
read more "James Avery Maarufu Kama Uncle Phil wa Fresh Prince of Bel-Air Afariki Dunia Dec. 31"

Mwalimu Asimamishwa Kazi kwa Kusema “Hatutaki Rais Mwengine Mweusi Marekani”

Mwalimu mmoja toka Kusini Magharibi mwa Ohio ambaye alimjibu Mwanafunzi wa Shuleni kwake mara baada ya kusema angependa kuja kuwa Rais na kisha mwalimu huyo kumjibu kuwa Taifa hilo halihitaji kuwa na Rais mwengine mweusi amesimamishwa kazi.

Bodi ya Elimu wiki hii imemsimamisha kazi bila nalipo Mwalimu Gil Voigt. Gazeti la Hamilton-Middletown Journal limetarifu kwamba Rasi wa bodi hiyo Dan Murray aliosema kusimamishwa huko ni hatua ya kwanza katika kuelekea kumtimua kimoja.
read more "Mwalimu Asimamishwa Kazi kwa Kusema “Hatutaki Rais Mwengine Mweusi Marekani”"

Waziri wa Fedha, Dr. Willliam Mgimwa Afariki Dunia

Dr. William Mgimwa 
Waziri wa Fedha, Dr. Willliam Mgimwa afariki dunia baada ya kuugua muda mrefu.
read more "Waziri wa Fedha, Dr. Willliam Mgimwa Afariki Dunia"