Lady Gaga Ampa Busu la Halloween Mshabiki wa Kike Ndani ya London [PICHA]


Kila mmoja naamini anafahamu msimamo wa Lady Gaga juu ya ishu za usagaji, hivyo isionekane kuwa kitu kipya na cha ajabu kwake kuamua kumpa mwanamke huyu busu la kimtindo.

Mashabiki wake wengi ambao huendana naye wanafahamika kuwa moja kati ya watu wa kipekee duniani. Ilipofika Alhamisi kwenye sherehe za Halloween akiwa na mashabiki wake wa ukweli wa London, Lady Gaga aliamua kuwazawadia mashabiki hao aina ya busu hili la kimtindo.

Angalia picha zaidi hapo chini alipokuwa London....








 
read more "Lady Gaga Ampa Busu la Halloween Mshabiki wa Kike Ndani ya London [PICHA]"

Wanaijeria 92 Wafariki Jangwa la Sahara kwa Kiu ya Maji [PICHA]

Jumla ya Wanaijeria 92 waliofariki kutokana sababu ya KIU kwenye Jangwa la Sahara walipokuwa njiani kuelekea nchini Algeria mara baada ya gari lao kuharibika wamezikwa leo na Maafisa wa Serikali ya Jimbo la Agadez.

Muandishi wa kigeni ambaye alikuwa shuhuda wa tukio hilo aliwaeleza Waandishi wa Sahara kwamba, wengi kati ya waliofariki walikuwa ni wanawake na watoto ambao miili yao iliishia kuliwa na wanyamana ndege wa kwenye jangwa hilo.



read more "Wanaijeria 92 Wafariki Jangwa la Sahara kwa Kiu ya Maji [PICHA]"

Rihanna Kama Shetani Mwenye Mvuto [PICHA]


Hapo jana Rihanna aliziweka baadhi ya picha zake katika kusherehekea mzuka wa Halloween. RiRi, aliwatakia wadau wake wa Instagram “Happy Halloween” wakati alipoziweka picha hizo, huku akiwa amepaka lipstick ya rangi ya zambarau.

Cheki picha hapo chini:








read more "Rihanna Kama Shetani Mwenye Mvuto [PICHA]"