Usain Bolt anaweza kuwa ameshinda mataji matatu ya dunia ila yeye mwenyewe anasema kwa sasa hayupo kwenye kiwango chake bora.
Bolt ameshinda mbio za mita 100 kwenye mashindano ya Diamond League yanayofanyika sels kwa kutukia sekunde 9.80, mbele ya Mike Rodgers wa Marekani aliyetumia sekunde (9.90) na Mjamaika mwenzake Nesta Carter aliyetumia (9.94).
"Nilipata majeraha mwanzoni kwa hiyo haukuwa msimu mzuri kwangu katika kipindi cha maisha yangu," alieleza BBC Sport.
"Kitu muhimu ni kwamba nimemeliza juu."
read more "Bolt Asema Mwaka 2013 Sio Mzuri Kwenye Mbio"
Wapenzi wa wawili nchini China walibambwa wakifanya mapenzi kwenye viti vya nyuma ya tax mchana kweupe.
Dereva mmoja aliamua kuwapiga picha wawili hao kwenye mida ambayo watu wengi huwa wako bize kwenye mitaa mingi ya jiji la Shangai.
Kwenye picha hizi ukiangalia utamuona mwanamke akiwa juu akimkumbatia mwanaume kwenye kiti cha nyuma cha tax huku kichwa cha mwanaume huyo kikiwa kimelala kwa nyuma kutokana na kukolezwa na tendo hilo.Mwendesha pikipiki mmoja aliyeona tukio hilo la kushangaza alisema: 'Nilikuwa kwenye msafara karibu na wao na niliwaona wakiwa wanatomasana. 'Baadaye wakakolea na kuamua kuanza kufanya ngono mule mule ndani ya tax na ndipo nilipoamua kuwapiga picha.' Alisema shuhuda huyo.
read more "Wabambwa Wakifanya Ngono Kwenye Tax Mchana Kweupe (PICHA)"