Genevieve ni Mwanamke Mkali Ndani ya Nollywood Asema Ramsey Noah

Genevieve na Ramsey Noah
Ni wangapi waliwahi kusikia au kuhisi kwamba waigizaji maarufu wa filamu toka Nigeria Ramsey Noah na Genevieve Nnaji kwamba walishawahi kuwa kwenye mahusiani, je uliamini au hukuamini?

Hivi karibuni alipokuwa anafanya mahojiano, Ramsey alifunguka kwa kauli iliyozidi kuwachanganya watu juu ya ukweli kuhusiana na jambo hilo, ya kwamba hakunaga mwanamke mkali na bomba miongoni mwa waigizaji wanawake wa Nigeria kama yeye, "Genevieve ni mwanamke mkali ndani ya Nollywood" alisema Ramsey.

Kwani uzuri wa mtu ni upi hasa, sura na umbo lake au mambo ya ndani?

Kwenye mahojiano hayo pia alizungumzia kuhusiana na ndoa yake na kipindi ambacho alikwama nyumbani kwake kwa siku tatu baada ya kukutana na mwanamke aliyemwambia kuwa ametumwa na Mungu aje kuolewa naye.
read more "Genevieve ni Mwanamke Mkali Ndani ya Nollywood Asema Ramsey Noah"

Beverly na Angelo Wafanya Ngono Ndani ya Jumba la BBA


Tendo hilo lilifanyika usiku wa jana kwenye muda wa saa 5 usiku.

Wakiwa kwenye shuka Angelo alimkalia kwa nyuma huku wakionekana kushugulika kwa sana na milio ya kimahaba ilisikika... Choi! Beverly ooo.

Walirudia kitendo hicho kimsisitizo zaidi usiku wa jana wakiwa kwenye bathtub.

Picha chini ni kwa watu zaifi ya miaka 18.....



read more "Beverly na Angelo Wafanya Ngono Ndani ya Jumba la BBA"

Shakira Anaiuza Nyumba Yake Iliyopo Miami Beach kwa $14.95 Million


Mwanamuziki Shakira anaiuza nyumba yake iliyopo kwenye ufukwe wa Miami huku akitaja kiasi cha $14.95 million kama ndiyo ofa yake, akionekana kutotengeneza faida hata ndogo.

Mkali huyo mwenye sauti ya kipekee aliinunua nyumba hiyo kwa kiasi kidogo cha $3.38 million, kwa mujibu wa Redfin, na kufanikiwa kuipandisha thamani zaidi ya mara tatu ya ile iloyokuwa nayo mwanzoni alipoinunua, katika kufanikisha mpango huo alijenga vyumba na mabafu ambayo yaliongeza thamani ya nyumba hiyo yenye eneo la skwea mita 1,663.

Majirani zake kwenye eneo hilo liliilopo barabara ya North Bay ni pamoja na Alex Rodriguez, Matt Damon, Jennifer Lopez, na Ricky Martin.

Icheki kwa karibu kwenye picha hapo chini......




read more "Shakira Anaiuza Nyumba Yake Iliyopo Miami Beach kwa $14.95 Million"