Mtoto wa Peter Okoye wa P Square Tayari Ana Girlfriend [PICHA]


Mtoto handsome wa Peter Okoye na Lola Omotayo, aitwaye Cameron hakika yupo njiani kuwa mtu wa watoto. Mama wa mtoto huyo aitwaye Lola alishea picha hizi za Cameron akiwa na Girlfriend wake.

Angalia hapa....


No comments:

Post a Comment