Album ya Beyonce Yauza Kopi Millioni 1 Ndani ya Siku Sita na Kufika Hadhi ya Platinum
Bila kufanyika kwa promo au kuuzwa madukani, Beyonce ameshauza kopi millioni 1 za album yake Duniani kupitia iTunes.Album hiyo inayokwenda kwa jina la Queen Bey imefikia platinum kwa mauzo ya nchini Marekani pekee. Album hiyo inaanza kuuzwa madukani leo December 20.
No comments:
Post a Comment