Nokia Yazindua Tablet ya Kwanza ya Windows


Tablet ya kwanza ya Windows aina ya Nokia imezinduliwa rasmi mnamo siku ya Jumanne.

Kwa kuanzia, kifaa hiki cha Nokia, kilichopewa jina la Lumia 2520, kilizinduliwa siku moja ambapo kampuni ya Microsoft nayo ilizindua tablet yake mpya iitwayo Surface 2 iliyoingia sokoni moja kwa moja.

Inaaminika kwamba Microsoft bado haijamiliki biashara ya vifaa vya Nokia, na kama itakuwa imemiliki, kuna swali litakalokuwa linajitokeza kwamba, Surface 2 na Lumia 2520 zinaweza endelea kuwepo? Sababu zinaonekana kufanana kwa mambo mengi sana.

No comments:

Post a Comment