Kim Kardashian & Kanye Wachumbiana

Kim na Kanye
Hatimaye Kim & Kanye wamechumbiana rasmi. Kanye alizua jambo kwenye birthday ya kutimiza miaka 33 ya Kim. Hii ni kwa mujibu wa E!

Kim Kardashian na Kanye West wamechumbiana, E! Online imethibitisha. Kanye alizua swali ambalo kama hakuwa anafahamu jibu lake, pale alipomuuliza Kim kama yupo tayari kuolewa naye.

Tumaini langu kwamba mda si mrefu tutapata maelezo ya kina juu ya habari hii kutoka kwa wahusika wenyewe.

No comments:

Post a Comment