Midnight remixed Selebrities
Profesa Jay Ajiunga Rasmi CHADEMA
Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Joseph Haule a.k.a Prof. Jay leo amejiunga rasmi na chama cha CHADEMA.
Washabiki wake kwa mara kadhaa wamekuwa wakitaka kujua msimamo wake kisiasa uko upand gani, hili litakuwa ni jibu tosha kwao.
Mapema leo kupitia akaunti yake ya twitter Prof ali-tweet aliandika ujumbe huu
Sugu Na Jay
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment