Mancini Atimuliwa Man City


Roberto Mancini amefukuzwa kazi kama bosi wa klabu ya Manchester City, huku klabu hiyo ikisema kuwa ameshindwa kufikia mengi kati ya malengo yao.

No comments:

Post a Comment