Ni Disco la Dadaz Ijumaa hii na kila Ijumaa likiwa na Swagga tofauti, huku watu waki-party toka 4 Usiku mpaka chwee
 |
| Dancing Competation mpaka kieleweke |
Ni ndani ya Galapo Club Masai iliyopo Ilala Sharif Shamba, karibu na BASATA
 |
| Kwaito ikichezwa kwa style mpya |
Disco linasimamiwa na Dj Dan Chibo & Dj Fax, kwa aina zote za ngoma, RnB, Hip Hop, Bongo Fleva, Ragga, Kwaito na nyinginezo...!
 |
| Unaijua hii, mabega kiuno |
Wanawake huingia BUREEE na wanaume huchangia Buku Tatu tu...!
 |
| Ni full kujiachia |
Watoto wakali toka vyuo vya DSJ, TIME, St. John na Data Star hapa ndio kiwanja chao kila siku za Ijumaa...!
 |
| Warembo ni wakali |
Kuna watu wa aina tofauti toka pande za jiji, Mastaa kibao pia ni kiwanja chao, Ney Wamitego, Dj Bura, K-One for Real, Baucha, Hakeem 5, Dj Zirro na wengin kibao
 |
| Hapo je..!? |
Huduma ya vyakula na vinywaji ni nzuri na kwa bei poa sana
 |
| Ni wewe tu..! |
Kuna Parking ya kutosha, ulinzi wako na mali yako ni wa uhakika kwa 100%
Fika Ijumaa hii na kila Ijumaa ujionee....!!
read more "Friday Dadaz NITE ndani ya Galapo ni Funiko"