Mtoto wa Michael Jackson Aitwaye Paris Jackson Aanza Kuuanika Mwili Wake [PICHA]

Ndiyo kusema kwamba mtoto keshakua, maana kwa sasa inaonekana kuwa anaendeleza lile vuguvugu la watu walio mashuhuri kuonyesha miili kwa mitindo tofauti.

Mtoto wa kike wa Michael Jackson, Paris Jackson, 15 alisherehekea sikukuu ya Christmas ndani ya Hawaii akiwa na familia yake na kisha aliposti picha yake aliyopiga akiwa amevaa nguo ya kuogelea kupitia ukurasa wake wa Instahrm huku chini yake akiandika maneno haya ‘sare ya kuogea’ huku akionekana ameweka mkono wake kwenye kiuno.

Chanzo kiliieleza E! News kwamba mtoto huyo wa Michael Jackson alirudi nyumbani kwa bibi yake aitwaye Katherine Jackson ndani ya Calabasas, California, siku ya Jumanne – ikiwa ni mara ya kwanza toka alipolazwa baada ya kutaka kujiua mnamo mwezi June.

No comments:

Post a Comment