Kwa mara nyingine tena macho ya Rihanna yameangaza kwa mwanaume mwengine. Ameamua kuposti pich ya mchezaji nyota wa NFL aitwaye Mychal Kendricks kwenye ukurasa wake wa instagram leo na kukiri kuwa huyu ndiyewake #MCM, ikirefushwa kama #ManCrushMonday, huku akimaanisha kuwa ndiye mtu aliyemzimikia kwa siku ya Jumatatu.
Mychal ana miaka 23 anaonekana kufana sana na Chris Brown. Unamuonaje na unadhani Rihanna atakuwa anamaanisha kitu! Twende...
No comments:
Post a Comment