Wanaume Wameumbwa Kuwa na Zaidi ya Mwanamke Mmoja - Akon

Akon
Hivyo ndivyo Akon alivyoieleza TMZ. Soma maneno yake hapo chini;

"Wanawake hawajaumbwa kuwa na wanaume wengi kwa wakati mmoja... ila wanaume wameumbwa hivyo. Kama wanaume, ndivyo ambavyo tumeumbwa kwa asili yetu na wanawake wanahitaji kuchukua muda zaidi ili kufahamu vile wanaume walivyoumbwa. Hatuweza kuikimbia hali hii hata kama tunataka iwe hivyo."

Hmmmm, Unasemaje juu ya hii kauli yake ......?

No comments:

Post a Comment