Mtoto wa Will Smith, Trey Smith Afikisha Miaka 21


Taarifa nyingi za kidaku za hivi karibuni zimekuwa zikielezea juu ya Will Smith kumsaliti mke wake Jada Smith kwa muigizaji wa kike aitwaye Margot Robbie, mpaka imefika hatua ya mbali kwa mwanamke huyo kuamua kushiriki kwenye tafrija hiyo pasipo kuwa na pete yake ya ndoa kidoleni. 

Licha ya hivyo haijalishi kwa sana kwenye hili kutokana na ukweli kwamba kwa pamoja kama familia moja walishiriki kwenye kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa mtoto wao Trey Smith. 

Birthday ya Trey Smith akiwa anatimiza miaka 21 ilifanyika ndani ya Las Vegas mnamo siku ya Jumapili November 10, 2013. 

Angalia picha zaidi hapo chini;



No comments:

Post a Comment