Ukichaa Jukwaani; Msichana Avua Nguo Kwenye Tamasha [PICHA]


Msichana huyu toka Accra nchini Ghana alipandwa na mzuka kwenye tamasha moja nchini humo ambalo lilifanyika Jumamosi iliyopita kwenye uwanja wa Accra Sports Stadium.

Mmoja kati ya wasanii toka Ghana, Asem, ndiye ambaye alimpandisha mzuka msichana huyo katika kipindi alichokuwa anatumbuiza jukwaani.



Wasanii kama P-square, M.I, Edem, Sherifa Gunu, Kwabena Kwabena, Asem na Gyedu Blay Ambolley walikuwepo kwenye tamasha hilo kuwaburudisha mashabiki wao.

No comments:

Post a Comment