Kim Kardashian Akiwa Kitaa na Nguo ya Nyavu Nyavu [PICHA]

Kim
Kim Kardashian mara zote huwa ni mtu makini sana linapokuja suala la mtoko huku hasa pale anapofahamu atakutana na jamii.

Mcheki hapa kwenye mitaa ya jiji la New York akiwa na nguo hii ambayo top yake ni ya nyavu nyavu.


No comments:

Post a Comment