Kwa wiki ya Tano mfululizo wimbo wa Diamond - My Number One (Ngololo) umeendelea kukamata nafasi ya kwanza huku ngoma ya Shilole - Nakomaa na Jiji ukipanda toka nafasi ya Tatu mpaka ya Pili, wimbo wa Kassim Mganga - I Love You umepanda kutoka nafasi ya Nne mpaka ya Tatu huku wimbo wa Vumbe - Wasiwasi ukishuka toka nafasi ya Pili mpaka nafasi ya Tano.
Wiki hii chart imeingiza wimbo wa Matonya - Utata ndani huku Fukuto kwenye chart kwa wiki hii ikiwa ni nyimbo za Abby Skillz Feat. Alikiba & Shetta na wimbo wa Dochi - Niambie.....
CHART KAMILI WIKI HII....
1. My Number One - Diamond
2. Nakomaa na Jiji - Shilole
3. I Love You - Cassim Mganga
4. Wasiwasi - Vumbe
5. Pesa - Mr. Blue Feat. Becka Title & Akili The Brain
6. Roho Yangu - Richie Mavoko
7. Tupogo - Ommy Dimpoz Feat. J Martin
8. Mwambie - Stamina Feat. Darasa & Warda
9. Salam Zao - Ney Wamitego
10. Cheza Bila Kukunja Goti - AY & FA Feat. J Martin
11. Kibabababa - Makomandoo
12. My Baby - Quick Racka Feat. Ngwea & Shaa
13. Weka Ngoma - Darasa Feat. Ditto
14. Pesonally - P Square
15. Tema Mate Tuwachape
16. Nikumbatie - Joh Makini Feat. Fundi Samweli
17. Nakupenda Pia - Wyre Feat. Alaine
18. Siri Ya Mchezo - Fid Q Feat. Juma Nature
19. Utata - Matonya {MPYA}
20. Yahaya - Lady Jay Dee
Je unakubaliana na chart hii kwa asilimia ngapi...?
No comments:
Post a Comment