Nani Amependeza Zaidi Kwenye Kivazi Hiki...?
|
Rihanna, Yvonne na Paris |
Nyota wa muziki wa pop Rihanna, muigizaji marufu toka Ghana Yvonne Nelson na nyota wa muziki Paris Hilton wakiwa wamevaa vazi la SS Alexander Wang.Je ni nani amependeza zaidi kwenye kivazi hiki...?
No comments:
Post a Comment