Mandela Bado Hawezi Kuongea – Winnie [Aliyekuwa Mke Wake]
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Bwana Nelson Mandela bado hawezi kuongea ila anatumia ishara kuweza kuwasiliana na watu, mke wa zamani wa Rais huyo ameeleza gazeti moja la nchi hiyo.
Winnie Madikizela-Mandela amesema kwamba Mandela mwenye umri wa miaka 95 bado ni mgonjwa ila sio kweli kwamba anatumia mashine katika kumsaidia kuweza kuishi.
No comments:
Post a Comment