Filamu Kuhusu Maisha ya Tupac Kuanza Kutengenezwa Mwakani

 Ni muda mrefu sasa ila hatimaye filamu kuhusu maisha ya Tupac ipo tayari kutengenezwa, kwa mujibu wa taarifa, filamu hiyo itakayozungumzia maisha ya Tupac itaanza kutengenezwa mapema mwakani.

Bado hakuna taarifa rasmi ju ya nani atakayekuwa muhusika mkuu wa filamu hiyo. Je unadhani ni nani ataweza kucheza kama Tupac vizuri.....?

No comments:

Post a Comment