Ufoo Saro: Niliokoka Kufa Kutokana na Miujiza ya Mungu, Namshukuru


Mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro akisoma somo kwenye biblia wakati wa ibada maalumu ya shukrani kwenye Kanisa la (KKKT ) Usharika wa Kibamba nje kidogo ya Jiji la Dare Salaam jana. Picha na Sanjito Msafiri.

Chanzo: Gazeti MWANANCHI

No comments:

Post a Comment